Jacob kalokola
JF-Expert Member
- Mar 26, 2022
- 901
- 2,734
Kiboko ya mashoga amerudi!!!!Latest result
View attachment 2937537
Mnapenda sana kujifariji...,na urusi alipokuwa analipua miundombinu ya nishati ya umeme alikuwa ameshindwa?Mheshimiwa MZANZIBARI,
Nahisi concern Yako,huenda unaonya juu ya mashambilizi anayofanya Ukraine kwenye facilities za Urusi,mfano visima vya mafuta,majengo ya serikali na hata maeneo ya jeshi.
Kwa mtazamo wangu naona haya mashambulizi anayoyafanya Ukraine hayana mafanikio kijeshi kama vile kukomboa eneo au Kuua askari wengi wa adui,Bali yamejikita katika kutia hasara.
Mtindo huu wa mashambulizi hufanywa na jeshi linaloelekea kishindwa na ni dalili ya kukata tamaa.
Mshambukizi haya yamekaa mfano wa mashambulizi ya kigaidi.
Na Ukiona jeshi limeanza kufanya vitendo vinavyofanana na vya kigaidi ujue maana yake limeona linaenda kushindwa.
Hebu fikiria jeshi la ujeremani linapanga mpango wa kulipua daraja la Urusi,hiyo ni dalili ya kishindwa kwenye uwanja wa vita.
Hata katika mchezo wa mpira timu yenye uhakika wa ushindi hua haichezi rafu,Bali timu iliyozidiwa ndio hucheza rafu.
Haiwezekani timu yenye matokeo mazuri ikaanza kucheza rafu.
Vivyohivyo kwenye vita,hata ingekua Urusi ndio inashindwa nayo ingeanza kufanya mashambulizi yasiyo na faida Bali kutia hasara adui.
Ukraine inajua inaenda kushindwa hivyo wanashambulia kwa drone maeneo ya Urusi kwa ajili ya kutia hasara na kusababisha uharibifu,hayo sio mashambulizi ya kimkakakati kwa ajili ya kumshinda adui,ama kukomboa maeneo ama kumrudisha nyuma.
Haya ni mashambulizi yasiyo na faida na hayatabadilisha chochote.
Huko mbele Ukraine itaanza uporaji na kuharibu miji,ubakaji na kitega mabomu katika maeneo wanayoyakimbia.
Wamesema vita inaendelea hakuna cha Ramadhani. Israel walitaka Ishmame wao wamegomaHawajafunga Ramadan? 🐼
Huyu Trump noma kweliTrump: Ukraine must repay our debt:
"I'll tell you, Zelensky is the greatest salesman in history. Every time he comes to the country, he leaves with 50 or 60 billion dollars."
What to do... The USA is only about business. Therefore, they see only what they want to see - dollars.
Zelensky is not only a thief, but also a murderer. The bloody executioner.
Unataka Putin aige mfano wa ukatili wa Al Shabab + Al Qaeda Mmarekani?Nimewahi kulisema hili mara nyingi sana.
Russia ujinga wake wa kujifanya ana huruma soon utamtokea puani.
Aangalie alichokifanya Israel ndio na yeye aige uone kama kuna ngonjera zitaendelea pale.
Hii vita kama ndio Marekani angekuwa anagombana na jirani yake sasa hivi tungekuwa tunashuhudia maafa makubwa sana ya maangamizi.
Huwa hapendi ujinga wakuipeleka vita nyumbani kwake.
Imo wazi hakuna msaada Kwa Ukraine kama akishindaNajiuliza tu huyu jamaa akishinda itakuaje?
Yani anasema Zelensky ni mwizi na muuaji, tena mnyonya damu [emoji3]
Usishangae wakampa uraisi ili ajitoe wapate sababuHuyu ndiye karata pekee ya kuinusuru Marekani kutoka kwenye aibu ya kushindwa.
Kama alifanya kwa Watalibani, atarudia tena kwa Ukreni.