Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Patamu hapa Sasa. Tunasubiri NATO Sasa watie miguu ngoma ichezwe vizuri[emoji599]Update: “China is ready to intervene militarily anywhere if the US or NATO decide to attack Russia," according to the representative of the Chinese Ministry of Defense!
Leta na Ukraine forces lossesNaam, ni zaidi ya mia nane walilambishwa mchanga Jana 🥱🥱🥱View attachment 2938096
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
North Korea wameambiwa wajiandae Kwa vitaPatamu hapa Sasa. Tunasubiri NATO Sasa watie miguu ngoma ichezwe vizuri
Wapenda-vita utawajua tu. Hakuna manufaa yoyote ya vita.Patamu hapa Sasa. Tunasubiri NATO Sasa watie miguu ngoma ichezwe vizuri
Acha tuanze upya hamna namna. Wale wote waliofucha dola nje sijui watakuwa na hali gani😂😂Wapenda-vita utawajua tu. Hakuna manufaa yoyote ya vita.
Kila kitu kinaenda kuvurugika. Dunia inakuwa tanuru la vifo badala ya bustani ya amani.
Warning! This is not a drill!!!
Wache Wazungu wauane bhana!Wapenda-vita utawajua tu. Hakuna manufaa yoyote ya vita.
Kila kitu kinaenda kuvurugika. Dunia inakuwa tanuru la vifo badala ya bustani ya amani.
Warning! This is not a drill!!!
Very well [emoji122][emoji108] ongeza na wapumbavu waarabu wote hao wachinjane na kubomoa nchi zao walizo jenga kwa dhurumaWache Wazungu wauane bhana!
Sisi tutavumilia maandamu nvua inanyesha na tunapanda miogo na kuvuna. Wacha wauane!
This is what this war is about.Ushawishi wa Marekani unalegea
===
Ingekuwa ni rahisi hivyo, Putin siku nyingi sana angeshamrushia kitu kizito huyo kiranja tajuwani (self-appointed prefect).Acha tuanze upya hamna namna. Wale wote waliofucha dola nje sijui watakuwa na hali gani😂😂
Ingekuwa ni rahisi hivyo, Putin siku nyingi sana angeshamrushia kitu kizito huyo kiranja tajuwani (self-appointed prefect).
Lakini iko wazi kwamba anapiga hesabu zake vizuri huku akizingatia ile kanuni ya tushinde sote (win-win).
Pamoja na kujali maslahi ya taifa lake, anajua vyema kwamba Urusi ni sehemu ya dunia, na kamwe haiwezi kuishi bila wengine.
Si ajabu kila akihutubia, anakariri kauli yake muhimu kwamba Urusi iko tayari kwa mazungumzo yoyote yenye tija.
Lakini ameonya dhidi ya makubaliano yoyote yale yatokanayo na matumizi ya viamuli (psychotropic drugs).
Hivi unadhani NATO hawana sababu ya kuingia Ukreni?Kuhusu kupeleka wanajeshi wa NATO
Collectively, hawawezi kukubaliana kwa sababu Ukraine sio NATO member.
Hongera sana Rais Putin kwa ushindi wa kishindo. Mungu akubariki na wapenda Amani na haki wote Ulimwenguni. Amen
Uchambuzi kama huu ndio sisi wapenda haki tunapenda kusikia.Kitendo cha Rais Putin kuwa anarudia rudia kauli ya Meaningful Negotiation hii anawaweka viongozi wa western njia panda kwenye hii SMO.
Ukiangalia kwenye grounds, Russia Forces wanasonga mbele na wanateka maeneo mengi sana. Wakati huo huo, Ukraine wanapoteza kuanzia wapiganaji hadi vifaa vita.
Sasa tukija kwa viongozi wa westerns, wanajiuliza, pamoja na kupeleka misaada na Hela zote lakini Ukraine anapoteza hii vita. Na hapo hapo Russia anasema yupo tayari kwa mazungumzo, Je, Tuzungumze nae?
Na vilevile, upande wa US na wao wamegoma kutoa pesa za kwa sababu wanaona zinaenda kupotea tu, ndio maana Kuna kusua sua. Je, tupeleke pesa zikapotee au tufanye mazungumzo?
Kuhusu kupeleka wanajeshi wa NATO
Collectively, hawawezi kukubaliana kwa sababu Ukraine sio NATO member.
Ukisikia malumbano ya hoja ndio haya Sasa,watu mnachangia hoja Hadi msomaji anajuta kwa Nini hukuandika Jana.Hivi unadhani NATO hawana sababu ya kuingia Ukreni?
Wana nia na sababu zao, ila kuhusu uwezo ndipo penye kasheshe.
Kila mmoja anajua fika kwamba wakithubutu tu kufungua hilo kasha, hakuna kurudi nyuma tena.
Na hapo ndipo historia ya dunia itaandikwa upya.
Katika zama hizi za mapinduzi makubwa ya sayansi na teknolojia, ukweli mchungu ni kwamba hakuna mshindi katika uwanja halisi wa vita.
Hilo Mmarekani anajua. Ukreni anajua. NATO wanajua. Na pia Putin na washirika wake wote wanajua.
Halafu, ukivuta karata ya silaha za nyuklia, kwa mfano, hakuna siku utatazamwa na dunia kwa jicho la wema, hata kama ulikuwa na haki hiyo 100%.
Ndiyo maana Putin anatamani mazungumzo yawepo, amani itawale, licha ya kwamba ameendesha SMO kwa tahadhari na busara kubwa mno.
Russia is where there are most ellite people under the earth and not those killers praised them self to be most prevelegde😁😁😁🙌🇷🇺🇷🇺Russia has shown that it is capable of restoring its military-industrial complex, despite all the restrictive measures of the West," - the US Secretary of the Army, Christine Wormuth.