Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ndio lugha inayoeleweka kwa Putin! Sijajua kwa nini viongozi wengine wa West hawana udhubutu wakati mwenzao Putin ana udhubutu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hivi vizee vinapiga spana ile mbaya, muandishi alishakuja na majibu yake.

Aliyepata shida hawezi kuiachia fursa ya raha.

Hawa wazee bila ya shaka walipitia msoto wa maisha huko nyuma, kuimarika kwa maisha chini ya vladimir kunawaaminisha wazee hawa ya kwamba hakuna mfano wa putin.

Mzee anamuuliza muandishi, wewe ulikuwepo miaka 25 nyuma?

Unajua tuliopitia,
Your browser is not able to display this video.
 
A real life example of "Old is Gold"...

Pia kama mtakua mmetazama vizuri hiyo video kuna jina la Vladimir mwingine katajwa hapo na Babushka, Marehem Vladimir Zhirinovsky!

Kwa wasio mfaham mnaweza kujaribu kumtafuta, hasa kuna kitab chake kaandika kinaitwa IRAQI, The sore of Planet... Things Corporate media won't tell you! kaelezea mambo mengi kuhusu West na "Uchafu" wao pia na nahisi ndio kitabu pekee kilicho kwenye lugha ya kingereza ambacho kinamueleza Saddam Hussein kama shujaa.
 
Hili si suala la BAVICHA ni suala la yoyote anafikiri vizuri.Rostam awamu ya nne alimvuruga sana Chikwete naona sasa anataka kutuuuza jumla.
Rosti Tamu yupo bega kwa bega, hatua kwa hatua, mchongo kwa mchongo, kuhakikisha maza hapindishi maelekezo ya kibiashara....... Ipo siku tutalazimika kuelewa tu hata kama tumesha kufa kwa kuvimbiwa ubwabwa kitumbo..... Tumekuwa wapuuzi hata kwenye vitu vya msingi kwa kejeli na mipasho.... Twende tu.....
 
“The primary task is to ensure security, we will do this” - Putin made several statements on the situation in the Belgorod and Kursk regions

▪️Russia could respond in kind to the enemy who attacks civilian infrastructure, but it has its own plans.
▪️Putin thanked the residents of the Belgorod region for their courage and promised to do everything to support the people.
▪️Victory in the elections is a prologue to those victories that Russia needs and will definitely have.
- RVvoenkor
 
"This guy Putin has no idea what American foreign policy is, what our national security is", - President Biden

👀 "The idea that we would abandon a sacred commitment that has existed since World War II to keep Europe at peace is simply insane. But I am confident, I am confident that if we get our message across to the American people, we will win again", he said.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…