Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Citizens of Ukraine confirm Ukranian forces are firing on their own people.

Remember that Kindergarten that was blown up?

Your browser is not able to display this video.

Raia wa Ukraine wamethibitisha kuwa vikosi vya Ukraine vinawafyatulia risasi watu wao wenyewe.

Unakumbuka ile Chekechea iliyolipuliwa?
 
Wanakera sana wanasiasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ikitokea mkaenda vitani mkashinda wanakapongeza uko ofisini utasikia "Makongoro Shujaa kashinda vita vile"
🤣🤣🤣 Kwa kweli linapoingia suala la Afya na usalama wangu sinamchezo kabisa. Jaribu kufikiri wanajeshi washakifa huko Ukraine na kilichosalia ni wajane lakn waosifiwa ni Putin na huyo msanii wa Ukraine
 
Sasa kama jengo lina raia na unakuta risasi zinatokea humo humo utafanya nini, kosa kubwa la wapiganaji ni kujichanganya na raia wa kawaida wakiwatumia kama ngao.

Hayo majengo hayaangushwi kwa bahati mbaya.
 
Basi kuanzia leo jitambue ya kwamba wewe ni mbumbumbu usiye jua lolote.

Hii ni mojawapo kati ya Vita kati ya matafa mawili iliyo na vifo vichache sana.

Vita ya Iraq na Marekani ndani ya wiki tu zaidi ya watu elfu hamsini (50,000) walikuwa wameshauawa wakati vita ya sasa ina zaidi ya wiki 3 waliokufa hawazidi hata 7,000.
Kabla hujaongea jambo fanya utafiti kwanza sio unaongea ili na ww uonekane umechangia.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa kweli linapoingia suala la Afya na usalama wangu sinamchezo kabisa. Jaribu kufikiri wanajeshi washakifa huko Ukraine na kilichosalia ni wajane lakn waosifiwa ni Putin na huyo msanii wa Ukraine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaacha kbs... Tena nasikia uingereza wana mpango wa kumuita "Sir" huyo Comedian wa Ukraine [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] life liko speed mno.
 
We are fighting for our lives. We fight for our lives in missiles, air bombs, artillery, tanks and mortars. And everything else that Russian troops are using to destroy us. Everything else than Russia is destroying itself now. Because every shot at Ukraine, every blow at Ukraine are steps towards Russia's self-destruction.
 
Great Britain has expanded the sanctions list against the Russian Federation.

The full list is published on the website of the government of the kingdom.
 
Russia is withdrawing from the Council of Europe of its own free will, said Vice Speaker of the State Duma Pyotr Tolstoy.

A letter from Russian Foreign Minister Lavrov on Russia's withdrawal from the organization was handed over to the Secretary General of the Council of Europe.
 
Hivi huyu akili zake ziko Sawa?
 
Russia is withdrawing from the Council of Europe of its own free will, said Vice Speaker of the State Duma Pyotr Tolstoy.

A letter from Russian Foreign Minister Lavrov on Russia's withdrawal from the organization was handed over to the Secretary General of the Council of Europe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…