LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Marekani na NATO kwa ujumla wamemwingiza choo cha kike Rais wa Ukraine. Hakuna anayetia mguu kumsaidia zaidi ya kupiga makelele!
?engo la NATO ilikuwa ni:
1. Kutafuta sababu ili kuiwekea vikwazo vya kiuchumi URUSI. Lengo ni kuipunguza kasi ya maendeleo.
2. kufanyia majaribio silaha zao dhidi ya silaha za urusi.
Ukweli kwamba silaha zao za ulinzi wa anga zimeshindwa kuulinda uwanja wa Ndege uliopo Kiev lakini ukatekwa siku ya kwanza ya uvamizi, hapo ujue maji yamezidi unga!
 
Katafiti NATO hawana ballistic missiles
Upo serious na hichi ulichoandika au unataniana na huyo mwamba? if yes umemaanisha basi utakua umejaza takataka kichwani kama vitu vidogo kama hivi vinakupiga chenga halafu kwa kujiamin unasema nenda google..
 
Upo serious na hichi ulichoandika au unataniana na huyo mwamba? if yes umemaanisha basi utakua umejaza takataka kichwani kama vitu vidogo kama hivi vinakupiga chenga halafu kwa kujiamin unasema nenda google..
NATO hawana ballistic missiles katafiti vizuri ninahakika Marekani ndo anaendelea kuziendeleza lakini bado hawajafanikiwa.no research no right to talk.
 
Wakuu, hii dunia vita ni jadi yake.

Asipopigana Urusi, atapigana Mmarekani, akipumzika huyo, Israel na Palestina wanakiwasha, hao wakichoka kuna vita somewhere in Africa.

Kuna kipindi hapa katikati palitulia kidogo nikajiuliza kulikoni, sisikii vita? Hadi kuna nchi unajiuliza kama bado zipo. Dunia ni uwanja wa vita, imekuwa hivyo siku zote.

Hii vita nayo itaisha tu kuipa nafasi nyingine, hii si mara ya kwanza Urusi kumtandika Ukraine. Nadhani Ukraine aache ukorofi na kumsikiliza sana Mmarekani anayemchochea kwa nia ya kumchokonoa Mrusi.
 
NATO hawana ballistic missiles katafiti vizuri ninahakika Marekani ndo anaendelea kuziendeleza lakini bado hawajafanikiwa.no research no right to talk.
Kwa maneno yako unajidhihirisha kuwa wewe ni mjinga na unaelekea kwenye upumbavu.
You're lacking something in international geopolitics.
 
Africa na sehemu nyingi tu duniani hakujawahi kutulia, labda kama uko mbali sana na media...... lakini hata kama unaangalia tibisii ungejua kuwa dunia haijatulia
 
Futa ulichoandika haraka
 
Lengo la kwanza halijafanikiwa kama lilivyokusudiwa awali kwa sababu mabeberu wameogopa kuweka vikwazo vikali ambavyo vingewagharimu pia. Ndo maana hawajaing'oa Urusi ksenye mtandao wa kibenki wa dunia uitwao SWIFT. Lzkini mataifa mengine yamegoma kuingia gharama kwa kuiwekea vikwazo urusi.
Lengo la pili la kufanyia majaribio silaha za magharibi ambazo wenyewe huzinadi kama LETHAL WEAPONS lenyewe limefanikiwa kwa asilimia 100!! Majibu wameyapata kuwa zilaha hizi haziwezi kuzuia silaha za kirusi. kwa mfano hizo silaha wanazoziita anti tanks ndo kabisa ni sifuri!! Vifaru vya kirusi vimeingia hadi kiev salama. Mbaya zaidi ni mfumo wa ulinzi wa anga!! Mfumo huu umeshindwa kabisa kuulinda mji mkuu wa Ukrein uitwao Kiev. Uwanja wake wa ndege ulitekwa ndani ya siku ya kwanza ya mashambulizi, na mvua za missiles zinainyeshea Kiev bila kikwazo!!
Mabeberu hawajawahi kuipenda nchi yoyote, hata wao kwa wao hawapendani!
 
Hapo kati unaona kama palisimama kwa kuwa Corona iliamua kuchukua nafasi ya vita na kupunguza watu, hasa wazee kwa kasi ya 5G. Corona Ilisababisha hata wale wahuni wanaopenda kupigana vita kuogopa na wao kuangamia kwa COVID. Kwa sasa nchi nyingi hakuna corona kwa ile spidi ya 2020/21. Sasa wamerudi na chokochomo ya vita. Vita ni mbaya sana. Milipuko ya magonjwa nayo ni mbaya sana. Tumuombe Mungu kila wakati atunusuru na haya majanga.
 
Reports: The Armed Forces of #Ukraine surrendered Starobelsk and Severodonetsk without a fight
 
Nafikiri alichofanya Russia ni kuwahi kushambulia kabla silaha zilizoingizwa toka west zikiwa hazijafungwa na mazoezi ya kuzitumia hayajafanyika!

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…