[emoji23][emoji23]Wanajua ukweli mioyoni ila wa Ukraine wa isukamahela Wanakaza fuvu!
[emoji1255] American military assistance to Kiev will not stop the advance of the Russian Armed Forces, since Russia is ahead of the West in weapons production.
Kuleba stated this in an interview with The Guardian.
View attachment 2973135
Sio la kuuliza!Ina maana kharkiv inaenda kuwa yetu Tena?
Mjinga, anafikiri kuna mtu atamsikiliza tena huko? Hawajifunzi. Scholz juzijuzi alipokelewa na naibu meya wa jiji hukohuko China.Antony Blinken amekimbilia China kwenda kuwapiga mkwara waache ukaribu na Russia.
Mfano ameuona kwenye mapokezi yake. Hakuna zulia jekundu Wala wala hata waziri tu aliekwenda kumpokea.Mjinga, anafikiri kuna mtu atamsikiliza tena huko? Hawajifunzi. Scholz juzijuzi alipokelewa na naibu meya wa jiji hukohuko China.
$400 Million ni kama Trilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sanaHivi kile kifurushi ni $ ngapi?
Russia to seize $440 million from JPMorgan. This comes after the United States passed a bill to transfer seized Russian assets to Ukraine.
Kwa exchange rate ya sh ngapi! π©$400 Million ni kama Bilioni 1 tu ya kitanzania
$400 Million ni kama Bilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
Huu wamepewa msaada, au mkopo!Huo mkopo wa USD 62bil haujatokana na assets za Russia.
Mna hasira kweli π€£π€£Mfano ameuona kwenye mapokezi yake. Hakuna zulia jekundu Wala wala hata waziri tu aliekwenda kumpokea.
Muache kelele tuendelee kushuhudia vizuri game la Russia na Ukraine!Huo mkopo wa USD 62bil haujatokana na assets za Russia.
Bado Kuna debate kubwa inaendelea kuhusu namna gani ya kutumia faida inayozalishwa na hizo assets ili kuwapa Ukraine kama mkopo.
Wanachotaka kuchukua ni proceedings from assets.
Huu wamepewa msaada, au mkopo!
$400 Million ni Sawa na TZS 1 B$400 Million ni kama Bilioni 1 tu ya kitanzania huku msaada aliopewa Ukraine wa $61 Billion ni kama Trillion 120 za kitanzania. Margin kubwa sana
Hapo had nimechekaπ€£π€£$400 Million ni Sawa na TZS 1 B
Unatumia Common Sense Kwelii πππ
Wakubwa wa Ukraine wanasema bila wapiganaji hayo mapesa na silaha hayatabadili kitu, wanataka wapewe na askari toka NATO, wewe huku unashangilia! ππMuache kelele tuendelee kushuhudia vizuri game la Russia na Ukraine!