Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii vita itachukua hata Miaka zaidi ya ishilini maana kila Mmoja kampania mwenzie
Haiwezi fikisha hata miaka mitano.

Mataifa ya Ulaya yanayoisaidia Ukraine yameathiriwa sana kiuchumi kutokana na vikwazo walivyomwekea Russia.

Vita inavyoendelea ndivyo wananchi walioathiriwa wanaishiwa uvumilivu, baadaye kuipinga vita hii utakuwa mtaji mkubwa kisiasa kwa wanasiasa wa EU. Tutarajie kuanguka kwa viongozi wengi.

Kwa US Trump akishinda urais msitegemee tena pesa toka US, na vita isipokwisha mapema wapiganaji kwa upande wa Ukraine labda watakuwa wamebaki mercernaries.
 
Naona kifurushi kipya kimeanza kufanya kazi yake ni takriban miezi 2 Sasa hawajachinjwa warusi zaidi ya elf Moja ndani ya siku Moja..,hii imetokea Jana baada ya takriban miezi 2 🥱🥱🥱🥱🥱
 

Attachments

  • 1714044931390.jpg
    256.9 KB · Views: 8
Ukraine to increase long-range strikes in Russia, — UK defense chief.

According to the Financial Times, Admiral Sir Tony Radakin expressed no apparent qualms over Ukrainian attacks and sabotage raids inside Russia. “As Ukraine gains more capabilities for the long-range fight. . . its ability to continue deep operations will [increasingly] become a feature” of the war, Radakin said, adding: “they definitely have an effect”.

“You also have to acknowledge that Russia has been able to conduct more effective long-range strikes than last year,” he added.
 
Unaambiwa silaha zinzotumika kwenye SMO ni kiduchu tu! Siku NATO wakijichanganya imekula kwao!

Majengo ya kijeshi na viwanda nchini Urusi yanazalisha silaha na risasi zaidi ya zile zinazohitajika kwa vita dhidi ya Ukraine, Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius alisema.
Kulingana naye, baadhi ya silaha zinazozalishwa hazipelekwi tena mstari wa mbele!-waziri wa ulinzi wa Ujerumani.
 
Yap! Lakini hakusema kwa kusifia kama unavyojaribu kutuaminisha hapa..,alichokisema kinaashiria kwamba hii vita itachukua muda mrefu maana kila upande Haina budikujidhatiti


Russia is producing more weapons than it needs in the war and is already filling up its warehouses, German Defense Minister Boris Pistorius says.

The head of the German Defense Ministry said that with the increase in spending on armaments and the Russian economy being put on a “war footing,” much of what is produced no longer goes to the front, but ends up in warehouses.

Pistorius warned about Putin's further military ambitions.

“You can be naive and say that he is only doing this out of caution. As a skeptical person, I would say in this case that he is doing this because he has plans, or at least he may have plans,” n-tv quoting the German Defense Minister.
 

Attachments

  • 1714041395184.jpg
    364 KB · Views: 6
Hatimaye tumefikiwa😂😂😂

Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.

" The risks of being weakened, even overthrown, in the coming years are high. The risks of impoverishment for Europe are high, so the EU needs a new strategy for growth and development. Europe needs to remain strategically and technologically independent ," explains Macron.

-"Europe must be ready to build relations with Russia after the end of the conflict in Ukraine", emphasizes Macron.
Europe could collapse in the coming years. It may face a great risk of being weakened, warns French President Emmanuel Macron.

" The risks of being weakened, even overthrown, in the coming years are high. The risks of impoverishment for Europe are high, so the EU needs a new strategy for growth and development. Europe needs to remain strategically and technologically independent ," explains Macron.

-"Europe must be ready to build relations with Russia after the end of the conflict in Ukraine", emphasizes Macron.
😂😂😂😂 Tuliza boli Dogo
 
Tunaomba kujua idadi ya vifurushi na gharama zake na mpaka Sasa vimebadilisha nn?
Dah mpaka saizi Ukraine tumeshapewa kiasi cha $178 Billion kutoka kwa washirika wetu kama US, EU, NATO, G7, Japan, South Korea, Australia nk ila kwa masikitiko makubwa tumeambulia kupoteza zaidi ya 20% ya ardhi yetu.
 


Inavyoonekana, Russia Wana jambo lao kubwa zaidi ya hii ishu ya Ukraine.

Ndio maana Antony Blinken amekimbilia China kuomba Msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…