LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Alinde mipaka yake.
 
Alinde mipaka yake.
Unaongea kirahisi mno,lkn mambo ya kiusalama hayako hivyo unavyorahisisha maneno.
Marekani na Urusi ni maadui wakubwa mno,uadui wao ni hauruhusu mtu kupepesa macho.
Alichokua anakifanya USA hapo Ukraine yalikua ni maandalizi yenye Nia mbaya kwa dhidi ya Urusi huko mbeleni.
Urusi alichokifanya ni kulinda mipaka yake kwa staili ya kuwahi kabla hayajatokea.
Vyombo vya usalama hua vinajua mambo mengi mno ambayo hua hayatangazwi na sisi raia wa kawaida huwq hatutangaziwi.
Majasusi wa nchi kubwa hizo wanajua kwa undani sababu za Urusi kuivamia Ukraine.

Ulinzi wa nchi hauhusishi TU kulinda mipaka peke,Bali pia Kuna kulinda usalama wa nchi hata nje ya mipaka ya nchi.
Kuua,kuangamiza na kuteketeza ikibidi, ili taifa libaki salama.
 
Americans took part in the coup in the DRC, and the American ambassador to the Congo says his country has nothing to do with them
 

Attachments

  • 1a6ed9a7-7f6d-4d65-9376-727a864fa75e.jpg
    42.9 KB · Views: 3
  • ff2f1535-73c5-4b14-b6f6-4ac4a1b425f3.jpg
    52.8 KB · Views: 2
  • 01e2bd7a-bdb0-4e29-a250-ac3d2ab19dad.jpg
    27.1 KB · Views: 3
Americans took part in the coup in the DRC, and the American ambassador to the Congo says his country has nothing to do with them
Haya mambo ndio yanaifanya Marekani izidi kuchukiwa.
Umbali kati ya Marekani na congo ni sawa na mbinguni na ardhini.sasa sijui kinachowapeleka wamarekani kupindua nchi ya congo ni Nini
 
Russia's South Group of Forces Eliminates Over 680 Ukrainian Soldiers

Russia's Yug (South) Group of Forces improved its position along the front line in the past 24 hours, with the Ukrainian armed forces losing over 680 soldiers and two tanks, the Russian Defense Ministry said on Saturday.
"The enemy lost more than 680 troops, two tanks, two infantry fighting vehicles and 10 cars. A 122-mm Gvozdika self-propelled artillery unit, a 122-mm D-30 howitzer, three UK-made 105-mm L-119 howitzers and a US-made 105-mm M119 gun were hit in the course of counter-battery warfare. Two ammunition depots of the Ukrainian armed forces were destroyed," the ministry said
 
Naona putin kadhamilia kabisa kuwamaliza vijana wa urusi,vita mbaya sana aisee! Hii ni Jana tu, zaidi ya elf Moja na mianne walilambishwa mchanga 🥱 🥱 🥱
 

Attachments

  • 1716186686247.jpg
    258.1 KB · Views: 2
Mmeona kwanini huwa siiweki Iran katika heavyweights wa drones?
Iran wamekaa masaa 16 bila kujua helicopter iliyokuwa na Rais imedondoka wapi, Uturuki imeombwa itume drones zake na ikatuma Acinci na ikafanya kazi
 
Mmeona kwanini huwa siiweki Iran katika heavyweights wa drones?
Iran wamekaa masaa 16 bila kujua helicopter iliyokuwa na Rais imedondoka wapi, Uturuki imeombwa itume drones zake na ikatuma Acinci na ikafanya kazi View attachment 2994797
Kwanza sio kweli ya kuwa eneo la ajali limepatikana kwa msaada wa drone tu bali limepatikana baada ya kupata location ya simu ya rais baada ya kuitrack kupitia Satalaiti.

Ndege ya Malasia ilipotea na ilitafutwa kwa msaada wa nchi zote zenye uwezo duniani na haikupatikana mpaka leo.

Israel na washirika wake ni mwezi wa 8 hawajui mateka wako wapi hali yakuwa wana drone za kisasa za upelelezi.
Siku zote nchi nyingi huwa zina jifunza kutokana na makosa kama kuna uzembe umefanyika juu ya hili basi wamejifunza.
 
Nazungumzia Iranian vs Turkish technology.

Iran wanadai ndege ya Rais haikuwa na mawasiliano hawakuipata sababu ya hali ya hewa mbaya, hapohapo unakubali kuwa walipata location ya simu ya Rais?
Yaani ndege waikose hata transponder, waje wapate location ya simu?
Kati ya ndege na simu kipi kina mawimbi makubwa ya kusikilizwa haraka?

Na si ni hao Iran walidai waliwasiliana watu wawili waliokuwa kwenye hiyo ndege. Then baadae wreckage inakutwa wote wamekufa kwenye impact.

Na kama unakataa eneo la ajari halijapatikana kwa msaada wa drone. Twambie ni kifaa gani kimeipata ndege ya Rais. Ninachojua Bayraktar Akinci drone ya Uturuki ndiyo imeipata ile helicopter. Na video zipo. Kwanza Iran ndio iliomba msaada baada ya usiku kuingia na hawana night vision capability kumbe. Wamejitutumua masaa zaidi ya 16, uliza Uturuki na superby technology katumia masaa mangapi kuipata.

Niliwaambia Iran kwa Uturuki bado sana mkabisha.
 
“The European elites lost their sense of national self-consciousness and became dependent on the US, so that they don’t even afford the opportunity to fulfill their main duties, what people elected them for, to defend the interests of their countries and people. This is the main Europe tragedy” - President Putin
 
Kumbe upo mzee wa Night vision[emoji23][emoji23][emoji23].

Vipi Urusi anazo au nae hana[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…