Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alinde mipaka yake.Nimesema umeanzia kuifuatilia thread hii katikakti sio Kwa Nia ya kukudharau au kukubeza,Bali nimesema Kuna wadau humu walishaelezea huko nyuma kwa kina sababu za Urusi kumvamia jirani yake yaani Ukraine.
Tena sio TU ni jirani yake Bali pia ni ndugu yake wa damu
Unaongea kirahisi mno,lkn mambo ya kiusalama hayako hivyo unavyorahisisha maneno.Alinde mipaka yake.
Haya mambo ndio yanaifanya Marekani izidi kuchukiwa.Americans took part in the coup in the DRC, and the American ambassador to the Congo says his country has nothing to do with them
Analeta mbinu za Mourinho huyu, hamjui kipara ati...?Ukraine bado wanaamini watairudisha CRIMEA kwa mashambulizi ya kushitukiza?
Hawezi peleka wanajeshi ni mkwala tu wakipeleka oficially it means nucluer warMacaroni ameshaweka wazi kwamba Yuko tayari kutuma vikosi vyake Ukraine in case Ukraine akiomba..,unafikir ni kwa nini Ukraine wanapata kigugumizi kuomba usaidiz Kama kweli wamelemewa?
Mmeona kwanini huwa siiweki Iran katika heavyweights wa drones?Iran haiingii top 4 niliyoweka. Haingii kabisa, hapo kuna nchi zina drones nyingi tu ambazo Iran hana uwezo nazo hadi sasa. Kutengeneza drone kitu kingine, drone kuwa na uwezo wa kutishia ni jambo lingine.
Sijajua baada ya hao wanne nani anafuata either Russia, Iran, India na wengine wanaocheza karibu. Iran nimefuatilia drones zake kutokana na kuzagaa makundi ya Middle East. Na nimesoma hiyo historia ya drones zao kuanzia vita ya Iran-Iraq ila sanctions zinawazuia.
Mfano hapo Turkey katengeneza helicopter gunship, yuko anaunda stealth fighter, yuko na submarine ya AIP, yuko na amphibious assault ship. Yuko serious na majeshi, na aangaliwe huyu kuna kitu atasababisha miaka ijayo tena ikiwekezekana dhidi ya Russia huyuhuyu.
Iran kwa drones hajafika Israel, USA, China, Turkey. Niko na msimamo mkali katika hili
Kwanza sio kweli ya kuwa eneo la ajali limepatikana kwa msaada wa drone tu bali limepatikana baada ya kupata location ya simu ya rais baada ya kuitrack kupitia Satalaiti.Mmeona kwanini huwa siiweki Iran katika heavyweights wa drones?
Iran wamekaa masaa 16 bila kujua helicopter iliyokuwa na Rais imedondoka wapi, Uturuki imeombwa itume drones zake na ikatuma Acinci na ikafanya kazi View attachment 2994797
Nazungumzia Iranian vs Turkish technology.Kwanza sio kweli ya kuwa eneo la ajali limepatikana kwa msaada wa drone tu bali limepatikana baada ya kupata location ya simu ya rais baada ya kuitrack kupitia Satalaiti.
Ndege ya Malasia ilipotea na ilitafutwa kwa msaada wa nchi zote zenye uwezo duniani na haikupatikana mpaka leo.
Israel na washirika wake ni mwezi wa 8 hawajui mateka wako wapi hali yakuwa wana drone za kisasa za upelelezi.
Siku zote nchi nyingi huwa zina jifunza kutokana na makosa kama kuna uzembe umefanyika juu ya hili basi wamejifunza.
Kumbe upo mzee wa Night vision[emoji23][emoji23][emoji23].Nazungumzia Iranian vs Turkish technology.
Iran wanadai ndege ya Rais haikuwa na mawasiliano hawakuipata sababu ya hali ya hewa mbaya, hapohapo unakubali kuwa walipata location ya simu ya Rais?
Yaani ndege waikose hata transponder, waje wapate location ya simu?
Kati ya ndege na simu kipi kina mawimbi makubwa ya kusikilizwa haraka?
Na si ni hao Iran walidai waliwasiliana watu wawili waliokuwa kwenye hiyo ndege. Then baadae wreckage inakutwa wote wamekufa kwenye impact.
Na kama unakataa eneo la ajari halijapatikana kwa msaada wa drone. Twambie ni kifaa gani kimeipata ndege ya Rais. Ninachojua Bayraktar Akinci drone ya Uturuki ndiyo imeipata ile helicopter. Na video zipo. Kwanza Iran ndio iliomba msaada baada ya usiku kuingia na hawana night vision capability kumbe. Wamejitutumua masaa zaidi ya 16, uliza Uturuki na superby technology katumia masaa mangapi kuipata.
Niliwaambia Iran kwa Uturuki bado sana mkabisha.