Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Western propoganda haha πRussian troops surrender to an elite brigade as the Kharkiv front holds, Ukraine says
In a video released by Ukraine's 3rd Assault Brigade, Russian troops appear to be surrendering in Vovchansk.www.yahoo.com
Weka chapisho lako ambalo linakanusha hii badala ya kubisha tu wewe mvaa vipedo, misuli na makobazi π€Western propoganda haha π
Kwani hawajapatiwa silaha hizo. Wewe kweli NDEZIWaUkraine wakipatiwa silaha wanazohitaji wana mmudu mrusi π€
Kwa hapa duniani hazipo maana mwenye mitambo ya mwisho ni Mrusi na hata NATO wakienda kwa shetani hizo silaha za kumpiga Mrusi hawanaWaUkraine wakipatiwa silaha wanazohitaji wana mmudu mrusi π€
Una uhakika au ushabiki tu wa vijiwe vya kahawa vya Simba na Yanga unaleta. Nchi za magharibi zinaisaidia Ukraine silaha kwa awamu. Ni kama vile mngonjwa anavyotibiwa ana badilishiwa dozi. Mwisho wa siku Russia atajikuta katumia silaha za aina zote alizonazo bila mafanikio na kubakia na manyuklia tu π€Kwa hapa duniani hazipo maana mwenye mitambo ya mwisho ni Mrusi na hata NATO wakienda kwa shetani hizo silaha za kumpiga Mrusi hawana
Wameona ni upuuzi tu unao endelea.Mimi huwa nadhani Ulaya na nchi zingine zinazoitii Marekani katika kila jambo ni kama viongozi wa nchi hizo wamefanyiwa kitu mbaya sana.Hivi niamini kwamba hawajui uovu na hila za Marekani kweli?Au lao moja..........!Yaani mnaingiza watu down the drain huku mnaona, lakini hamjali mna kenua tu.Inatisha na kuhuzunisha sana frankly.Wenzako wa Spain, wameishaona kuitenga Russia ni sawa na kukataa Maji ukiwa jangwa la Kalahari. Spain ameamua kukubali yaishe.
====
EU nation resumes imports of Russian iron and steel β media
Spain reportedly began purchasing the metals in April after a three-month hiatus
Β© Sputnik / Konstantin Chalabov
Spain has returned to importing Russian steel and iron after a three-month pause, RIA Novosti reported on Saturday, citing statistical data.
Madrid halted purchases of the metals from the sanction-hit country last December but resumed the imports this past April. Statistics analyzed by the news agency showed that since then Spain has bought 21,300 tons of Russian iron and steel worth β¬8 million ($8.57 million).
Spanish imports of Russian aluminum reportedly increased 50% to β¬13 million, while purchases of titanium nearly doubled to β¬1.5 million. This comes even as bilateral trade between Russia and Spain dropped 14% in April to β¬248 million, with Russian exports totaling β¬177.2 million.
The EU banned imports of Russian iron and steel products in 2022, shortly after the launch of Moscowβs military campaign against Ukraine. Further restrictions barred the import of iron or steel products processed in third countries but containing Russian-origin iron or steel inputs.
Hawajapewa silaha zote wanazohitaji. Hizi zilizopo ni baadhi tu. Ndezi ni neno la watu wa kaskazini ya Tanzania, hupenda kutumia. Umetokea masama nini, arifu? π€Kwani hawajapatiwa silaha hizo. Wewe kweli NDEZI
Imagine scenario ambapo Kipanya ndiye Rais wa Ukraine,unategemea nini.πππππππππUkrain kweli inaongozwa na comedian, media zimekaa kicomedy kila siku hizi takwimu zao zinaonyesha heavily loss on Russian side lakin baadae unasikia Russia wanazidi kuadvance at front line... how π€
Silaha gani wapatiwe ili wamalize vita!?WaUkraine wakipatiwa silaha wanazohitaji wana mmudu mrusi π€
walilambishwa mchanga Jana π₯± π₯± π₯±
....wadai kupoteza wanajeshi wao wengi na vifaa huko Kharkiv