LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naam, ni zaidi ya elf Moja walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱
 

Attachments

  • 1718604108202.jpg
    1718604108202.jpg
    255.5 KB · Views: 4
hapa JF kulikuwa na kikundi makao makuu yake urusi ya mbagara wenye mlengo wa hamas walikuwa wanashagalia sana kuwa urusi ni super power
 
Kwa hapa duniani hazipo maana mwenye mitambo ya mwisho ni Mrusi na hata NATO wakienda kwa shetani hizo silaha za kumpiga Mrusi hawana
Una uhakika au ushabiki tu wa vijiwe vya kahawa vya Simba na Yanga unaleta. Nchi za magharibi zinaisaidia Ukraine silaha kwa awamu. Ni kama vile mngonjwa anavyotibiwa ana badilishiwa dozi. Mwisho wa siku Russia atajikuta katumia silaha za aina zote alizonazo bila mafanikio na kubakia na manyuklia tu 🤔
 
Wenzako wa Spain, wameishaona kuitenga Russia ni sawa na kukataa Maji ukiwa jangwa la Kalahari. Spain ameamua kukubali yaishe.

====

EU nation resumes imports of Russian iron and steel – media​

Spain reportedly began purchasing the metals in April after a three-month hiatus
EU nation resumes imports of Russian iron and steel – media

© Sputnik / Konstantin Chalabov
Spain has returned to importing Russian steel and iron after a three-month pause, RIA Novosti reported on Saturday, citing statistical data.
Madrid halted purchases of the metals from the sanction-hit country last December but resumed the imports this past April. Statistics analyzed by the news agency showed that since then Spain has bought 21,300 tons of Russian iron and steel worth €8 million ($8.57 million).
Spanish imports of Russian aluminum reportedly increased 50% to €13 million, while purchases of titanium nearly doubled to €1.5 million. This comes even as bilateral trade between Russia and Spain dropped 14% in April to €248 million, with Russian exports totaling €177.2 million.
The EU banned imports of Russian iron and steel products in 2022, shortly after the launch of Moscow’s military campaign against Ukraine. Further restrictions barred the import of iron or steel products processed in third countries but containing Russian-origin iron or steel inputs.
Wameona ni upuuzi tu unao endelea.Mimi huwa nadhani Ulaya na nchi zingine zinazoitii Marekani katika kila jambo ni kama viongozi wa nchi hizo wamefanyiwa kitu mbaya sana.Hivi niamini kwamba hawajui uovu na hila za Marekani kweli?Au lao moja..........!Yaani mnaingiza watu down the drain huku mnaona, lakini hamjali mna kenua tu.Inatisha na kuhuzunisha sana frankly.
 
Ukrain kweli inaongozwa na comedian, media zimekaa kicomedy kila siku hizi takwimu zao zinaonyesha heavily loss on Russian side lakin baadae unasikia Russia wanazidi kuadvance at front line... how 🤔
Imagine scenario ambapo Kipanya ndiye Rais wa Ukraine,unategemea nini.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom