LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Anaandika ng’ombe mmoja ambaye hajawahi hata kuvuka bahari na kuelewa dunia inavyokwenda.

Huwa na ghafirika sana nikiona koment za kindezi design hizi. Niwie radhi ndugu kwa kutumia lugha kali, ila nahisi umenivuruga mno kwa koment hii.

Punguza kula nyasi labda utaondokana na this kind of ignorance. It is too expensive to be ignorant and indeed frustrating to those who understand.
 
Haya maneno uliyoandika yanafaa nyuzi za kulea mume na kuandaa mapishi, nenda uko kwa level zako za housewives wenzako.
Hapa njoo ukishapata akili.
 
Vipi Mlinganisho wa wavaa kobaz Taleban vs Marekani na washirika wake?
Iliwachukua miaka 20 na bado wakapigwa na kukimbia kwa aibu.

Unaposema numbers na Landmass una maanisha nini?

Kifupi Urusi kaonesha resilient na upper hand kwenye vita hii against NATO, European Union, Collective West na vassal states zake kama South Korea, Japan na Australia.
Misaada Yao si lolote na Wala chochote.

Ile waliyoitegemea kama hybrid warfare kuanzia Uchumi, kijeshi, information imeshindwa.

Kama Urusi ni incompetent, hao wengine utawaelezea vipi?
 
Great powers kukutana na upinzani kivita ni kitu Cha kawaida. Historia inaonesha hili miaka Kwa miaka.
Kwa miongo ya karibuni tumeona Ufaransa ikitimuliwa Vietnam. Vilevile Uingereza Kule Afghanistan. Pia Marekani Kule Vietnam. Vile vile Urusi Kule Afghanistan. Pia Marekani Kule Afghanistan.

Kwa wazo lako hayo mataifa yote ni incompetent militarily?
 
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.

Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.

Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.

Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?

Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
 
Mkuu umezingatia uongo na visingizio badala ya sababu kuu. Kinachoifanya Urusi ishindwe ni uwezo mdogo wa kujipanga wa maofisa wake wa kijeshi, kuna mijizi kule na mishibisha tumbo ilikuwa imekaa tu. Manaibu mawaziri wawili wa wizara ya ulinzi ya Urusi wamekamatwa kwa makosa ya ubadhirifu na rushwa. Ngoja nikutajie majizi:
1. Jenerali Dmitry Bulgakov, naibu waziri.
2. Timur Ivanov, naibu waziri.
3. Lt. Gen. Yury Kuznetsov, mkuu wa kitengo cha utumishi jeshini.
4. Maj. Gen. Ivan Popov, huyu mwanzoni mwa vita Ukraine alikuwa na nafasi kubwa.
5. Lt. Gen. Vadim Shamarin huyu alikuwa msaidizi wa Chief of Staff.
6. Vladimir Verteletsky, mkuu wa ugavi jeshini.

Sasa hata kama mnasema naichukia Urusi (in fact naikubali Urusi kuliko mashabiki walioipenda vita ilipoanza). Ina maana Putin anawaonea hawa wote sita?

Unajua siku 3 za mwanzo Ukraine ilizuia mashambulizi ya Urusi. Oleksandr Syrsky alipanga vikosi vyake vya ardhini kipindi kile ni mkuu wa jeshi la ardhi vikailinda Kyiv isianguke. Msaada wa silaha ulikuja baadae watu wamejitetea tiyari. Battle of Hostomel pale Urusi ilishindwa, hapo Ukraine haina silaha hata moja ya msaada.

Urusi ikikutana na China vitani ndio mnaweza jua kumbe ina uozo mwingi jeshini. Ukraine ilivyokuwa hata Misri ingeipiga.
 
Ndugu itoshe tu kusema kuwa ninatifautiana na wewe kimtazamo. Wewe ukiwa waamini kuwa mwenye nguvu ndo mwenye haki, mimi siamini hivyo. Wether ni Us, China, Tanzania, Burundi, Russia, ...............si sahihi kutumia nguvu kukanyaga haki za wengine. Kama hukupenda Us alivojitwalia Guantanamo, Unafurahiaje Russia avavojitwalia Zaporozhye?
 
⚡14 people were injured in an explosion at Europe's largest chemical plant, the BASF complex in Ludwigshafen, Germany.

The reasons for the explosion are not clear. The fire at the enterprise burned for about two hours and has already been extinguished.
 

Attachments

  • 45c6f72a-2ee4-4c74-ae66-4bb75b75b818.jpg
    19.2 KB · Views: 2
Kuna ujinga mwingi anauzungumza @T14 Armata hususan kwenye ishu zinazohusu RUSSIA.
🤣
Lakini kwenye swala la ulaji rushwa uliokithiri kwa viongozi waandamizi wa kijeshi yupo sahihi.
Nilipoiona hii Comment nikaanza kucheka, Nikajisemea kimoyo moyo "Mchambuzi" kasifiwa hizo "pumba" atakazoleta baada ya hapa hata "Nguruwe" atazionea kinyaa...

Baaana bana, kama kweli vile baada ya kufungua pages kadhaa nimekutana nazo 😁.

Eti "Russia dhaifu na incompetent" aseee!

Anyway ni 2024 hii Sio wakati wa kuelezea nani ni nani na kafanya nini ilhali kila kitu kipo wazi. Kila mtu wacha achuje kwa upana wa fuvu lake na hisia zake zinavyomtuma.
 
Usichanganye mambo bwana mdogo..kuna utofauti Kati ya kushinda vita na kushinda battle...

Maelezo yako ya marekani kuipiga Afghanistan in two months ni kweli, ilishinda its main battle in two months.... Ila wataleban walishinda vita ..same Kwa wavietnam walishinda vita.

Kusema Ufaransa alisafiri km 11000 kupigana na Vietnam Si kweli, japo kuna support ya wanajeshi toka main land France waliparticipate vitani.. ila usisahau Ufaransa anavikalia visiwa vingi Sana Bahari ya Pacific na anamilitary bases pale ambazo ziko few miles from the battle field.
 
The Russian Armed Forces have advanced two kilometers southwest of Peschany and are beginning to approach Kruglyakovka

▪️Over the past week, many Ukrainian Armed Forces fighters from the Terrestrial Defense Forces and the Shkval special battalion of prisoners surrendered in this area.
 
advanced medical science.

In addition, we in the West – even the Russians – have been well shepherded into this new entity that is taking shape.

The question is whether or not the process is reversible – and if not, when it became irreversible.

I think it happened in 2001, when we in the West decided to invite China to join the World Trade Organisation – better known as the WTO.

Since then this process has been almost unstoppable and irreversible."
 

Attachments

  • 7d1f1c28-acc5-444d-8f51-872930f5d5f9.jpg
    19 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…