Ulichoandika kingekuwa na ukweli, Marekani angeshaivamia Russia na kumng'oa Putin kama walivyofanya kwa Saddam.Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichoandika kingekuwa na ukweli, Marekani angeshaivamia Russia na kumng'oa Putin kama walivyofanya kwa Saddam.Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini,
Marekani imvamie Russia kwa lipi alilonalo. Aliwauzia Crimea kwa bei sawa na bure wamvamie ili iweje.Ulichoandika kingekuwa na ukweli, Marekani angeshaivamia Russia na kumng'oa Putin kama walivyofanya kwa Saddam.
Anaandika ng’ombe mmoja ambaye hajawahi hata kuvuka bahari na kuelewa dunia inavyokwenda.Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.
Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Haya maneno uliyoandika yanafaa nyuzi za kulea mume na kuandaa mapishi, nenda uko kwa level zako za housewives wenzako.Anaandika ng’ombe mmoja ambaye hajawahi hata kuvuka bahari na kuelewa dunia inavyokwenda.
Huwa na ghafirika sana nikiona koment za kindezi design hizi. Niwie radhi ndugu kwa kutumia lugha kali, ila nahisi umenivuruga mno kwa koment hii.
Punguza kula nyasi labda utaondokana na this kind of ignorance. It is too expensive to be ignorant and indeed frustrating to those who understand.
Acha kuropokwa hovyo lini Urusi aliuza Crimea?Marekani imvamie Russia kwa lipi alilonalo. Aliwauzia Crimea kwa bei sawa na bure wamvamie ili iweje.
Vipi Mlinganisho wa wavaa kobaz Taleban vs Marekani na washirika wake?Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.
Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Great powers kukutana na upinzani kivita ni kitu Cha kawaida. Historia inaonesha hili miaka Kwa miaka.Urusi ni incompetent kwenye mambo mengi jeshini, kinachoibeba ni numbers na landmass. Ukraine sio level za kijeshi za Urusi hivyo sio ulinganifu sahihi, Man City kuifunga Yanga sio ajabu ila ni ajabu Man City kukoswakoswa na kufunga goli dakika ya 89 wakati kwa kulinganisha vikosi tunatarajia ishinde goli hata nne tano uko. Urusi ilitakiwa iwe imemaliza vita, superpower unapigana na jirani mnyonge muda wote huu. Sasa ingekuwa dhidi ya China ingekuwaje au dhidi ya Brazil waliopo maelfu ya kilomita mbali.
Russia iko competent kiuchumi ila kijeshi sio sana. Mlikuwa mnanifokea humu ila sasa hata Putin mwenyewe alichagua Waziri wa Ulinzi mwanauchumi. Hata kipenzi chenu Prigozhin alilalamikia suala hili.
Wataalamu wa uchumi ndio wameifanya Urusi isimame kwa heshima.
Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.Great powers kukutana na upinzani kivita ni kitu Cha kawaida. Historia inaonesha hili miaka Kwa miaka.
Kwa miongo ya karibuni tumeona Ufaransa ikitimuliwa Vietnam. Vilevile Uingereza Kule Afghanistan. Pia Marekani Kule Vietnam. Vile vile Urusi Kule Afghanistan. Pia Marekani Kule Afghanistan.
Kwa wazo lako hayo mataifa yote ni incompetent militarily?
Mkuu umezingatia uongo na visingizio badala ya sababu kuu. Kinachoifanya Urusi ishindwe ni uwezo mdogo wa kujipanga wa maofisa wake wa kijeshi, kuna mijizi kule na mishibisha tumbo ilikuwa imekaa tu. Manaibu mawaziri wawili wa wizara ya ulinzi ya Urusi wamekamatwa kwa makosa ya ubadhirifu na rushwa. Ngoja nikutajie majizi:Ndugu, nikusaidie tu. Ile miezi miwili baada a kuanza kwa SMO jeshi la Ukraine lilikuwa limevurugwa kwa zaidi ya 85%. Kwa maana ya miundo mbinu ya kijeshi kuharibiwa, hii ni pamoja na zana za kivita kama vifaru, ndege, magari nk.
Ndio zikaanza zile packege za misaada toka west na marekani. Wamechagishana weee mzigo ukiisha, inatumwa packege nyingi. Mchezo ndio huo mpaka sasa.
Upande wa wanajeshi. Mpaka sasa wanajeshi waliopo front 70% sio waUkraine. Ni mamluki toka nchi mbali mbali. Kwa mazingira haya ulitegemea Russia amalize hii SMO?
Ndugu itoshe tu kusema kuwa ninatifautiana na wewe kimtazamo. Wewe ukiwa waamini kuwa mwenye nguvu ndo mwenye haki, mimi siamini hivyo. Wether ni Us, China, Tanzania, Burundi, Russia, ...............si sahihi kutumia nguvu kukanyaga haki za wengine. Kama hukupenda Us alivojitwalia Guantanamo, Unafurahiaje Russia avavojitwalia Zaporozhye?Shida yenu hamfuatilii majambo au mnafuatilia ila mmeamua tu kufumba macho
Anachokifanya Russia kwasasa basi marekani aliishakifanya pia na ikibidi atakifanya tena
Hujawahi kufatilia marekani aliipataje guantanamo bay?
Hujawahi kufuatilia marekani aliipataje texas?
Marekani na Russia pamoja na China kama alivyosema mwamba hapo juu wanatumia nguvu kubeba ardhi za watu
Ila americant mmajifanya hamumuoni kwamakusudi au kwakutokujua ila china, us ,na russia wote sawa tofauti kwamba wao kina russia wanadeal na mtu anavyokuja ukitaka nguvu unapewa anachopata sasa Ukraine
Hat u house wife unahitaji brain, kwa maneno yake hayo hapo juu, huyo anaweza ku manage nyumba?Haya maneno uliyoandika yanafaa nyuzi za kulea mume na kuandaa mapishi, nenda uko kwa level zako za housewives wenzako.
Hapa njoo ukishapata akili.
🤣Kuna ujinga mwingi anauzungumza @T14 Armata hususan kwenye ishu zinazohusu RUSSIA.
Nilipoiona hii Comment nikaanza kucheka, Nikajisemea kimoyo moyo "Mchambuzi" kasifiwa hizo "pumba" atakazoleta baada ya hapa hata "Nguruwe" atazionea kinyaa...Lakini kwenye swala la ulaji rushwa uliokithiri kwa viongozi waandamizi wa kijeshi yupo sahihi.
Usichanganye mambo bwana mdogo..kuna utofauti Kati ya kushinda vita na kushinda battle...Ufaransa ilikuwa ikisafiri kilomita 11,000 Vietnam kupigana na kupeleka war materiel.
Uingereza ilitimuliwa na nani Afghanistan? Uingereza hii ilipigana Falklands dhidi ya Argentina. Ilifanya mobilization ikasafirisha silaha na wanajeshi umbali wa kilomita 11,000 kuipiga Argentina.
Marekani imeipiga Afghanistan ndani ya miezi miwili pale mwaka 2001 unajua kwa kutumia wanajeshi wangapi? Tangu 2001 hadi 2021 Marekani ikaamua iondoke, ilikuwa bored kukaa miaka 20 yote kama vile imekuwa mkoloni wakati lengo lake lilitimia ndani ya miezi miwili ya 2001.
Meanwhile Russia inapaka na Ukraine hata kwa miguu unavuka huhitaji paratroopers wala meli. Imevamia Ukraine kwa kutumia fronts tatu. Ina Crimea ambayo ilichukua bure mwaka 2014, ina jeshi linalojua defensive lines na mbinu za Ukraine maana maofisa wote walisoma pamoja Soviet military schools na walikuwa wanajua kila kitu cha kijeshi cha Ukraine. Sasa kama sio incompetency ni nini?
Urusi hii tuitupie adui aliyepo 11,000 km itaweza? Kwanza kwa meli zipi ilizonazo, hizi hizi ambazo Black sea fleet yote karibia inaisha. Na hapo wala Ukraine haina naval force.
Sio crimea ni AlaskaMarekani imvamie Russia kwa lipi alilonalo. Aliwauzia Crimea kwa bei sawa na bure wamvamie ili iweje.