LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mungu aliengamiza matendo ya sodoma na gomora zaman leo hii tunaambiwa anawatetea mashoga Israeli ...akil za wakristo wanajua wenyewe hawajui adui yao nan
 

Maandiko yanasema siku moja kwa Mungu nimiaka elfu.
Na miaka elfu ya wanadamu ni siku moja kwa Mungu .

Kutoka Adam mpaka Nuhu ni miaka 2000 nuhu mpaka yesu 2000 yesu mpaka sasa ni miaka 2024.
Ni siku sita tu zimepita.

MUNGU ALIUMBA DUNIA SIKU 6
IBILISI ANAIHARIBU NA KUIANGAMIZA DUNIA NDANI YA SIKU IZO IZO SITA.
Mathayo 24:22
[22]Na kama siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo.

Mathayo 24 yote inaelezea kipindi tunachoshi.

Ufunuo wa Yohana 16:13-21
[13]Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na vyura, zikitoka katika kinywa cha yule joka, na katika kinywa cha yule mnyama, na katika kinywa cha yule nabii wa uongo.

[14]Hizo ndizo roho za mashetani, zifanyazo ishara, zitokazo na kuwaendea wafalme wa ulimwengu wote kuwakusanya kwa vita ya siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.

[15](Tazama, naja kama mwivi. Heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)

[16]Wakawakusanya hata mahali paitwapo kwa Kiebrania, Har-Magedoni.

[17]Na huyo wa saba akakimimina kitasa chake juu ya anga. Sauti kuu ikatoka katika hekalu, katika kile kiti cha enzi, ikisema, Imekwisha kuwa.

[18]Pakawa na umeme na sauti na radi; na palikuwa na tetemeko la nchi kubwa, ambalo tangu wanadamu kuwako juu ya nchi hapakuwa namna ile, jinsi lilivyokuwa kubwa tetemeko hilo.

[19]Na mji ule mkuu ukagawanyikana mafungu matatu, na miji ya mataifa ikaanguka; na Babeli ule mkuu ukakumbukwa mbele za Mungu, kupewa kikombe cha mvinyo ya ghadhabu ya hasira yake.

[20]Kila kisiwa kikakimbia, wala milima haikuonekana tena.
 
Mungu aliengamiza matendo ya sodoma na gomora zaman leo hii tunaambiwa anawatetea mashoga Israeli ...akil za wakristo wanajua wenyewe hawajui adui yao nan
Mungu hawezi kutetea ushoga na kama ataacha kuangamiza mataifa ya mashoga inabidi awafufue sodoma na gomora na awaombe msamaha
Kitu ambacha hakitakaa kitokee kamweeeeeee.
Mambo yote yanayoendelea yapo kwenye ratiba za Mungu.

Shetani yupo madhehebuni
Madhabahuni kabisa na anachunga watu,
Yesu anasema katika kanisa la mwisho ndipo alipofukizwa na kutolewa ndani
Yupo nje ya mlango wakanisa anabisha hodi,atakaemsikia amfate

KAMA ILIVYOWAYAHUDI NI WACHACHE SANAAAAA.
NA WAKRISTO TU NI WACHACHE MNOOOO
APA TANZANIA UNAWEZA KUTA WAPO 70 TUU
 
⚡️ Russian Defence Ministry report on the progress of the special military operation

(6 August 2024)

Part I

The Armed Forces of the Russian Federation continue the special military operation.

▫️Units of the Sever Group of Forces inflicted losses on manpower and hardware of the AFU 36th Marine Brigade, 117th, 129th territorial defence brigades, and 1st Special Operations Brigade near Stetskovka, Miropoliye (Sumi region), Ryasnoye, Volchansk, and Volchanskiye Khutora (Kharkov region). Two counter-attack launched by assault detachments of the AFU 63rd Mechanised Brigade were repelled.

The AFU losses amounted to up to 120 Ukrainian troops, two pickup trucks, two 152-mm D-20 howitzers, and two 122-mm D-30 howitzers.

▫️Units of the Zapad Group of Forces took more advantageous lines and positions and inflicted losses on formations of the AFU 14th, 43rd, 116th mechanised brigades, 77th Airmobile Brigade, 110th, and 115th territorial defence brigades near Sinkovka, Tabayevka (Kharkov region), Stelmakhovka (Lugansk People's Republic), and Torskoye (Donetsk People's Republic).

The AFU losses amounted to up to 370 Ukrainian troops, five motor vehicles, one UK-made 155-mm Braveheart self-propelled artillery system, one U.S.-made 155-mm M777 howitzer, one 152-mm D-20 howitzer, one 122-mm D-30 howitzer, and two UK-made 105-mm L119 howitzers. One U.S.-made AN/TPQ-36 counter-battery warfare station and three ammunition depots were destroyed.

▫️Units of the Yug Group of Forces improved the tactical situation and inflicted losses on manpower and hardware of the AFU 23rd, 24th, 54th, 72nd mechanised brigades, 5th, 10th, and 80th assault brigades near Verkhnekamenskoye, Ivano-Daryevka, Ivanopoliye, Grigorovka, Chasov Yar, Predtechino, Ostroye, and Konstantinovka (Donetsk People's Republic).

The AFU losses amounted to up to 520 Ukrainian troops, three motor vehicles, one U.S.-made 155-mm Paladin self-propelled artillery system, one French-made 155-mm Caesar self-propelled artillery system, one U.S.-made 155-mm M777 howitzer, one 152-mm Msta-B howitzer, and two 152-mm D-20 howitzers.

▫️As a result of active actions, units of the Tsentr Group of Forces liberated Timofeyevka (Donetsk People's Republic) and took more advantageous lines.

Moreover, losses were inflicted on formations of the AFU 31st, 32nd, 100th, 117th mechanised brigades, 142nd Infantry Brigade, and 109th Territorial Defence Brigade near Toretsk, Novgorodskoye, Vozdvizhenka, Grodovka, and Tarasovka (Donetsk People's Republic). Three counter-attacks launched by assault detachments of the AFU 53rd, 151st mechanised brigades, and 95th Air Assault Brigade were repelled.

The AFU losses amounted to up to 355 Ukrainian troops, one U.S.-made M113 armoured personnel carrier, one 122-mm D-30 howitzer, and one 100-mm Rapira anti-tank gun.

▫️Units of the Vostok Group of Forces improved the tactical situation along the front line and inflicted losses on manpower and hardware of the AFU 72nd Mechanised Brigade, 58th Motorised Infantry Brigade, and 128th Territorial Defence Brigade near Vodyanoye, Makarovka (Donetsk People's Republic), and Mirnoye (Zaporozhye region). Two counter-attacks launched by units of the AFU 108th Territorial Defence Brigade were repelled.

The AFU losses amounted to up to 105 Ukrainian troops, one tank, nine motor vehicles, three Polish-made 155-mm Krab self-propelled artillery systems, and one Anklav-N electronic warfare station.

🔹 Russian Defence Ministry (MoD Russia)
 
📊In total, 635 airplanes and 278 helicopters, 29,235 unmanned aerial vehicles, 561 air defence missile systems, 16,776 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,396 combat vehicles equipped with MLRS, 12,904 field artillery guns and mortars, as well as 24,419 units of special military equipment have been destroyed in the special military operation.
 
Nuh mp
Nuh mpaka Yesu ninmiaka 2368
 
The Telegraph writes:

"British submarines use software developed in Russia and Belarus

The software company covered it up and discussed whether it could hide the workers' whereabouts by giving them fake names of dead Britons."
Halaf wachafuzi wa jf wanakwambia nini sijui
Nadhani hii kashfa ndio imeifanya sirikali ya uingereza kuzua maandamano ya mchongo huko kwao ili kufunika kombe
 
Vifaa vya Ukraine vilivyoteketezwa mpaka leo 07 Aug 2024

▫️In total, 635 airplanes and 278 helicopters, 29,322 unmanned aerial vehicles, 563 air defence missile systems, 16,798 tanks and other armoured fighting vehicles, 1,396 combat vehicles equipped with MLRS, 12,926 field artillery guns and mortars, as well as 24,469 units of special military equipment have been destroyed during the special military operation.
 
Itakua wanataka kumpindua PUT IN hawa wanazi sababu anasimama dhidi ya wayahudi😀
Mchezo umemalizika huko Kursk. Wapiganaji wa Ukraine walijaribu kuvuka mpaka lakini wameshindwa. Wamekula kichapo cha nguvu kutoka kwa vijana wa Kadyov. Halafu unaambiwa hicho kikosi kilicho jaribu kuingia Kursk ni highly trained Commandos. Kiasi cha 260 wameuliwa na magari yao 50 kuteketezwa.
 
Safi sana ila ukraine akili hawana wajinga hao
Yaani komando 260 kweli ila sijajua walikua na mipango gani
Sema wale kwasasa wanapigana bila mahesabu maana washapoteza tayari huko kwao
Kwahio wanalotaka wao kwasasa wakipata kanafasi kakumtia hasara PUT IN (RUSSIA) wataitumia hio hio hatakama haitawasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…