LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Walichojaribu kufanya Ukraine ni jambo la ovyo sana. Kwa mujibu wa V Putin Leo Pale walikuwa wanapiga indiscriminated raia, soldiers, ambulance na majengo. Kwahali ya kawaida kivita walitakiwa watumie nguvu hiyo kukomboa maeneo. Ni ngumu sana Kwa jeshi la Ukraine kuikalia eneo la Urusi japo Kwa saa nzima na wanajua.
Kimalengo wamefeli. Kwa hili walilofanya adhabu yake bila shaka ni kubwa kuliko na inakuja soon.
Matumizi mabovu kabisa ya vijana wa Ukraine waliojitolea kuikomboa Ukraine
 
1723043198191.png
 
Shalom
Kwa wakristo halisi ambao hawajafungwa na kanuni za kimadhehebu,ambazo zinapingana na neno la Mungu .
Armageddon itapiganwa middle east, katika mji wa DAUDI
Na mfalme wa kaskazini ataiangamiza babeli mji ule mkuu mama wa machafuko ya dunia, na atapoigeukia israel ndipo Armageddon itakamilika

Wakati huo bibi arusI amekwisha nyakuliwa mbinguni,lakini makanisa yataendelea na segere makanisani bila kujua Bwana arusi alishakuja.
Ukiona umeyashuhudia ayo yote basi jua umekwisha achwa.

MKUU UNA UTHIBITISHO WOWOTE KUHUSU MANENO YAKO HAYA?
 
kama kweli wewe ni MRUSI kutoka Makunduchi, wataje hao mabwana majina yao na vyeo vyao wanavyovitumikia kwa sasa.

Tumuamini GERASIMOV au tuwaamini WAUKRAINE.
Ngoja tusubirie tuone panapovuja.

Vita inaendelea huko KURSK.
 
Mchezo umemalizika huko Kursk. Wapiganaji wa Ukraine walijaribu kuvuka mpaka lakini wameshindwa. Wamekula kichapo cha nguvu kutoka kwa vijana wa Kadyov. Halafu unaambiwa hicho kikosi kilicho jaribu kuingia Kursk ni highly trained Commandos. Kiasi cha 260 wameuliwa na magari yao 50 kuteketezwa.
Wazee wa propaganda hamuishiwi vituko 😅🤣😁 kipigo kinaendelea hata mkijifarij
Screenshot_20240807-190847.png
 
Walichojaribu kufanya Ukraine ni jambo la ovyo sana. Kwa mujibu wa V Putin Leo Pale walikuwa wanapiga indiscriminated raia, soldiers, ambulance na majengo. Kwahali ya kawaida kivita walitakiwa watumie nguvu hiyo kukomboa maeneo. Ni ngumu sana Kwa jeshi la Ukraine kuikalia eneo la Urusi japo Kwa saa nzima na wanajua.
Kimalengo wamefeli. Kwa hili walilofanya adhabu yake bila shaka ni kubwa kuliko na inakuja soon.
Matumizi mabovu kabisa ya vijana wa Ukraine waliojitolea kuikomboa Ukraine
🚨🇺🇦🇷🇺 It is now official: Ukraine has liberated Kursk People's Republic from Russia.
1723048211059.jpg
 
🇺🇦⚡The events unfolding in Russia’s Kursk region bordering Ukraine bear not only symbolic, but also practical significance for Ukraine, German Bundestag lawmaker and defense policy expert Roderich Kiesewetter told an Ukrinform correspondent.🇺🇦⚡
 
Waukrain wanazidi kuchanja mbuga tu, sijui baada ya Kursk ni mji gani tunafuatilia

🙌⚡The Telegram channel associated with Russian military intelligence "Rybar" claims that Ukrainian units managed to reach Korenevo, Kursk region, 20 kilometers from the northern border of the state.🇺🇦⚡
1723048949762.jpg
 
Shida ya serikali ya ukraine inapenda sifa za kijinga bila ya kujali impact yake.

Kwao wanaamini popote patakapo kuwepo neno RUSSIA basi lifuate neno ukraine mbele yake au kabla yake.

Madhara yake ndio haya, juzi walijisifia kuwa sehemu ya walioandaa na kutekeleza mkakati wa kuwashambulia WAGNER kule MALI kwa kushirikiana na magaidi.

Mali wamevunja mahusiano ya kidiplomasia na ukraine, now wanajitoa kimasomaso kwa kukanusha kutokuhusika na shambulizi lile.

Huwezi kusifia ushirikiano wako na magaidi tena mbele ya hadhira
View attachment 3062507
Trump aliposhambuliwa sikio, Russia iliishutumu Ukraine.
 
Back
Top Bottom