Shalom
Kwa wakristo halisi ambao hawajafungwa na kanuni za kimadhehebu,ambazo zinapingana na neno la Mungu .
Armageddon itapiganwa middle east, katika mji wa DAUDI
Na mfalme wa kaskazini ataiangamiza babeli mji ule mkuu mama wa machafuko ya dunia, na atapoigeukia israel ndipo Armageddon itakamilika
Wakati huo bibi arusI amekwisha nyakuliwa mbinguni,lakini makanisa yataendelea na segere makanisani bila kujua Bwana arusi alishakuja.
Ukiona umeyashuhudia ayo yote basi jua umekwisha achwa.
Mkuu mbona ni kama kwako kila habari ya kimataifa inastahili kuwa kwenye huu uzi? Sasa mfano mgogoro wa Bangladesh unahusikaja hapa?Bangladesh
Wazee wa propaganda hamuishiwi vituko 😅🤣😁 kipigo kinaendelea hata mkijifarijMchezo umemalizika huko Kursk. Wapiganaji wa Ukraine walijaribu kuvuka mpaka lakini wameshindwa. Wamekula kichapo cha nguvu kutoka kwa vijana wa Kadyov. Halafu unaambiwa hicho kikosi kilicho jaribu kuingia Kursk ni highly trained Commandos. Kiasi cha 260 wameuliwa na magari yao 50 kuteketezwa.
🚨🇺🇦🇷🇺 It is now official: Ukraine has liberated Kursk People's Republic from Russia.Walichojaribu kufanya Ukraine ni jambo la ovyo sana. Kwa mujibu wa V Putin Leo Pale walikuwa wanapiga indiscriminated raia, soldiers, ambulance na majengo. Kwahali ya kawaida kivita walitakiwa watumie nguvu hiyo kukomboa maeneo. Ni ngumu sana Kwa jeshi la Ukraine kuikalia eneo la Urusi japo Kwa saa nzima na wanajua.
Kimalengo wamefeli. Kwa hili walilofanya adhabu yake bila shaka ni kubwa kuliko na inakuja soon.
Matumizi mabovu kabisa ya vijana wa Ukraine waliojitolea kuikomboa Ukraine
Kursk tayari imekombolewa, amka comred 🇺🇦🇺🇦🇺🇦Ukraine wanapigana kama nyumbu wa Vietnam mwisho wao wanauwawa kwa mafungu
Safi🚨🇺🇦🇷🇺 It is now official: Ukraine has liberated Kursk People's Republic from Russia.View attachment 3063998
Trump aliposhambuliwa sikio, Russia iliishutumu Ukraine.Shida ya serikali ya ukraine inapenda sifa za kijinga bila ya kujali impact yake.
Kwao wanaamini popote patakapo kuwepo neno RUSSIA basi lifuate neno ukraine mbele yake au kabla yake.
Madhara yake ndio haya, juzi walijisifia kuwa sehemu ya walioandaa na kutekeleza mkakati wa kuwashambulia WAGNER kule MALI kwa kushirikiana na magaidi.
Mali wamevunja mahusiano ya kidiplomasia na ukraine, now wanajitoa kimasomaso kwa kukanusha kutokuhusika na shambulizi lile.
Huwezi kusifia ushirikiano wako na magaidi tena mbele ya hadhira
View attachment 3062507
Unajilisha upepo blaza