LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hiii ni karata mbaya sana kwa ukrein apaa naamini counter offensive imeshaanza ubaya unakuja kushindwa kwa hii litakuwa pigo bays sana kwa ukrein naona kaamua kusogeza kete ngumu sana ngoja tuone hiii wiki
Hakuna pigo kama kuua maelfu ya wanajeshi na raia wasio na hatia wa Ukraine ambayo yalishafanyanywa na Putin kwahiyo sioni kama Wana la kupoteza yaani kiufupi Ukraine wamejilipua na watafanikiwa japo watakutana na upinzani mkali.
 
Kinachotokea Kursk Ndio sababu kubwa Russia hataki Ukraine awe ndani ya NATO. Russia na Ukraine ni Nchi tambarare ambazo Jeshi kubwa likitokea ndani ya Ukraine linafika Moscow ndani ya Mwaka
Naona akina @ bwana utamu na @ s v sulovikin wamekupa likes,kumbe wenzetu wanauchungulia Uzi na kurudi japo kwa uchungu sana😅🤣😁

Tutaendelea kuwaletea updates
 
Unavuka boda na wanajeshi 1000, unafanyiwa encirclement, unabaki ndani. Petty trick by Ukranian Army, the plan does not bring the significant changes on the battle field, I bet.
Wataalam wa kijeshi wa Ukraine hawakuliona Hilo,lkn umekuja kuona wew mrusi kutoka makambako ..,Hadi hii vita inaisha tutaona mengi!
 
The Ukrainian Army 🇺🇦 is preparing an attack on Russia's Belgorod region.

- Russian News Reports

Well, they are probably right: Ukraine is about to liberate a second Russian Region.
 
In Kursk Oblast, the settlements of Staraya Sorochyna, Kosytsa, Cherkasskoye Porechnoe, Pravda, Yuzhny, Ivashovsky, Martynovka, Bogdanovka, Kubatkin, 1st Knyazhy, Knyazhy, Zaoleshenka, Suzha came under the control of the Armed Forces of Ukraine.
In total, Ukraine has ≈504km² under control and is preparing another brigade of 5000 men to enter the Border.
 
Na mnamuona Mrusi kama vile hapigiki.
Hapigiki huo ndiyo ukweli urusi ingekuwa na rais kichaa ungejua nini ninacho kuambia ...NATO inamsumbua urusi kwa sababu anawalea la akiamua kuchapa mifumo yao ya mawasiliano ya anga za juu inayo tumika kuendezha siraha zote muhimu za USA NA NATO hapo ndiyo utajua kuwa URUSI inaguvu kiasi gani? Marekani huwa inakwamishwa misheni zake na back up ya nchi moja tu yoyote yenye nguvu.ila urusi inapambana na ukrain mwenye back up ya nchi zote za NATO kwa asilimia 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…