LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Unaambiwa Ukraine wameshateka maeneo zaidi ya Yale waliyoteka kwenye Ile counteroffensive ya mwaka uliopita

Hii ndio counteroffensive yenyewe Sasa.
 
Ukraine kuikalia Russia hili lifute kabisa akilini mwako
Anaanzaje labda kuikalia Russia kwa uwezo gani
Ukisikia nchi inaingia na kuikalia nchi nyengine sio jambo jepesi
Ni Russia pekee ambayo inaweza na imeweza kuiingilia nchi nyengine kijeshi na kuikalia
Hakuna nchi nyengine duniani imeweza hili
 
Iran kule hizbu na houthi kwasasa hapeleki tena silaha
Kwasasa hizbu na houthi wanatengeneza wenyewe majambo yao huko iran aliishatoka
 
Mnakuwa wasahaulifu mapema mbona Urusi ulinzi wa ndani wa kawaida tangu focus iwe Ukraine. Prigozhin na team yake ya Wagner wakiwa na magari ya kijeshi kiasi na air defense systems chache za short range kama Pantsir walitembea zaidi ya 24hrs bila upinzani wakielekea Moscow kutoka Rostov on Don. Njiani wakakosa upinzani wa maana mpaka mazungumzo yakafanyika. Kule Moscow mamlaka zikafunga airports watu wasipanick, M4 highway ikabomolewa sehemu na kuwekwa vizuizi. Putin akaomba msaada Belarus, huyu aliyekuwa replaced na Shoigu akaomba msaada Kazakhstan in case hali ingekuwa mbaya zaidi.

Wasiwasi wote huo ni dhidi ya wapiganaji 5,000 wa Wagner. Na hapo Wagner waliamua kuacha sio kwamba walishindwa battle ingawa wangeshindwa hata hivyo.
 
Waliepusha mapigano yaso muhimn kati ya friendly forces yaani Wagner na Russian army . Shida ilikua kubwa inayotatulika. Hivyo suluhisho likawa ni mazungumzo. Putin ni mtu wa visasi alichomfanyia Kwa msela ake wa zamani wote tulishangaa
 
Lakini shida ipo kubwa kwenye Jeshi la Urusi naona kabisa hawa Nato wakiamua wanampiga kama angekua mtu smart angemlabua huyu Ukraine ndio wale waone kweli huyu jamaa ukimchezea ni hatari au aue hao Wakuu wa Ukraine sasa anapigwa pigwa tu kila leo..
Ukiachana na manuclear, miezi miwili NATO wanaiteka Urusi yote.
 
The KGB of Belarus has introduced a counter-terrorist operation regime on the border with Ukraine

"Don't worry about the war. No one is attacking us yet. They tried to stick their noses in there [on Belarusian border] - we responded. They left - we left. That is, we are reacting. Today we have something to respond with. They are not fools, they understand this too. They know that the father is the father [as Lukashenko is called by many citizens], but he can hit as well"
- Lukashenko reassured Belarusians.
 
‼️ Ng@ đang chuyển lực lượng dự bị tác chiến tới khu vực Kursk, rút khỏi các hướng khác

Đánh giá theo thông tin trên mạng xã hội, dự trữ sẽ được thu thập từ các khu vực sau:
➡️ Khersonskyi;
➡️ Zaporizhia;
➡️ Kupyanskyi;
➡️ Kharkov;
➡️ Pokrovsky;
➡️ Belgorod.

Chạy về bảo vệ Kursk với Belgorod ae ngú ơi ko Ukraine cướ,p đất
 
Lakini shida ipo kubwa kwenye Jeshi la Urusi naona kabisa hawa Nato wakiamua wanampiga kama angekua mtu smart angemlabua huyu Ukraine ndio wale waone kweli huyu jamaa ukimchezea ni hatari au aue hao Wakuu wa Ukraine sasa anapigwa pigwa tu kila leo..
Wale ni ndugu ndio maana Urusi hajafanya full wall kafanya smo.
 
Meli nyingine ya urusi imesepa huko Crimea

 
Lakini shida ipo kubwa kwenye Jeshi la Urusi naona kabisa hawa Nato wakiamua wanampiga kama angekua mtu smart angemlabua huyu Ukraine ndio wale waone kweli huyu jamaa ukimchezea ni hatari au aue hao Wakuu wa Ukraine sasa anapigwa pigwa tu kila leo..
Kwenye vita mara nyingi sio approach nzuri kuua viongozi wa kisiasa, huwa wana reasoning na wana woga wa kiraia. Ukiua viongozi wa kisiasa baada ya hapo jeshi linakuwa kwenye revenge mode na maafisa wa kijeshi wanakuwa kwenye mode ya "tufe wote".
Hii ni hasa kwa nchi ambazo kiongozi ni mungu mtu kama North Korea, Iran na Urusi, nchi ambazo hakuna strong institutions bali personality ya aliye juu ukitoa kiongozi jeshi hata liwe na silaha hatari halitumii akili kujizuia linajiendea tu.

Kwa kawaida maofisa wa kijeshi huwa ni arrogant na wanaoona kila kitu kinawezekana, ndio maana nchi kama India inayoongozwa kiraia haiwezi pigwa na Pakistan inayoongozwa kijeshi. Hata Iddi Amin alishindwa kuipiga Tanzania sababu hiyo. Raia wanafanya analysis, wanajiepusha na madhara, wanajadili na adui, wanawekeana mipaka, wana hofu, wanatumia propaganda na kucheza kiakili. Maofisa wa jeshi wanakurupuka na nguvu tu wao lengo ushindi bila kuzingatia sana politics, international support, uchumi wala lolote.

Hata hapo Urusi kazi kubwa inafanywa na wataalam wa uchumi, wamefanya kazi exceptional kuiokoa Urusi na vikwazo hadi sasa uchumi umesimama. Na wanadiplomasia wanafanya kazi kubwa kama kupata support Iran na North Korea, kucheza na propaganda.

Jeshi la Urusi ni kama walijazana vilaza muda mrefu uko. Kigezo kikuu ilikuwa kuchagua akina ndio mzee, wenye akili ndio hawa kina General Surovikin walipigwa majungu hadi sasa haonekani, kina Prigozhin wamenyimwa silaha makusudi ili Wagner wasichukue credit maana wao wanachokifanya kinaonekana ila jeshi lenye kila kitu linaambulia matokeo kidogo. Sasa tangu lini machawa wakawa na uwezo mkubwa.
 
Sote tumesikia na kuona katika mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuhusina na mashambulizi makali yaliyoanza mnamo Agosti 6 katika mkoa wa Kursk Oblast na vitongoji vyake baina ya jeshi la Ukraini (Ukraine Armed Forces-UAF) na Urusi (Russia Armed Forces -RAF).

•Mkoa wa Kusrk Oblast ni moja ya maeneo ambayo yametwaliwa au kukombolewa (liberated) na RAF.

Update ya kinachoendelea
•Taarifa zilizopo ni kuwa AFR imepokea kipigo kizito cha kushtukiza kutoka kwa UAF.

•Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema jeshi lake linapambana na vikosi vya Ukraini katika mipaka ya mipakani ya Sudzhansky na Korenovsky iliyopo katika mkoa huo wa Kursk Oblast.

•Mpaka sasa, jesi la Urusi (RAF) limesema limefanikiwa kurudisha nyuma vikosi vya AFU vyalivyokuwa vinataka kuingia ndani zaidi mwa mkoa huo.

•Kwa upande wa Ukraini, kwa mujimbu wa chanzo kimoja kiitwacho "Institute for the Study of War" kimeripoti ya kuwa UAF wamefanikiwa kuingia ndani ya mkoa huo kilomita 10 (sawa na maili 6) baada ya kuvunja ng'ome mbili za RAF.

•Hali kadhalika, Urusi imetangaza hali ya dharula Kursk na kuhimiza raia wake waondoke haraka katika maeneo hayo.

Ukweli wa mambo
•Inaaminika ya kuwa wanajeshi na mamluki wa NATO ndio wanaoongoza uvamizi huo wa Kursk Oblast huku wakishirikiana na wanajeshi wa UAF wapatao Elfu kumi.

•Kwa muda mrefu jeshi la NATO lilikuwa likijipanga na operesheni hii ambayo ni muendelezo wa kumchokoza Urusi ili aingie mazima vitani.


•Sasa endapo kama operesheni ya Kursk Oblast itafeli, basi ni dhahiri ndio utakuwa mwisho wa vita hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…