jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,037
- 15,839
Inaenda kuisha kwa aibu kubwa Ukraine itapoteza maeneo mengi zaidi.
Wewe mjinga kweli, historia za miaka mingi sana hizo.Invasions of Russia
Napoleon 600,000 men
Hitler 3.5 million men
Zelenski 1000 men
Weka wachumba wako wa NATO apo ..wote hao wali liwa kichwa
Kwamba hakuna nchi nyengine?Ukraine kuikalia Russia hili lifute kabisa akilini mwako
Anaanzaje labda kuikalia Russia kwa uwezo gani
Ukisikia nchi inaingia na kuikalia nchi nyengine sio jambo jepesi
Ni Russia pekee ambayo inaweza na imeweza kuiingilia nchi nyengine kijeshi na kuikalia
Hakuna nchi nyengine duniani imeweza hili
Ndugu yangu, tembelea huu ukurasa uone urusi anavyoendelea kupokea kichapo huko KurskVita
Inaenda kuisha kwa aibu kubwa Ukraine itapoteza maeneo mengi zaidi.
Sijui utaficha wapi lisura lako humu😁😂
Hakuna nchi ya NATO inaweza kutoa askari wake kufanya operation ya hatari namna hii. Russia kapigana kienyeji ndio Ukraine kampiga counter attack.Sote tumesikia na kuona katika mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuhusina na mashambulizi makali yaliyoanza mnamo Agosti 6 katika mkoa wa Kursk Oblast na vitongoji vyake baina ya jeshi la Ukraini (Ukraine Armed Forces-UAF) na Urusi (Russia Armed Forces -RAF).
•Mkoa wa Kusrk Oblast ni moja ya maeneo ambayo yametwaliwa au kukombolewa (liberated) na RAF.
Update ya kinachoendelea
•Taarifa zilizopo ni kuwa AFR imepokea kipigo kizito cha kushtukiza kutoka kwa UAF.
•Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema jeshi lake linapambana na vikosi vya Ukraini katika mipaka ya mipakani ya Sudzhansky na Korenovsky iliyopo katika mkoa huo wa Kursk Oblast.
•Mpaka sasa, jesi la Urusi (RAF) limesema limefanikiwa kurudisha nyuma vikosi vya AFU vyalivyokuwa vinataka kuingia ndani zaidi mwa mkoa huo.
•Kwa upande wa Ukraini, kwa mujimbu wa chanzo kimoja kiitwacho "Institute for the Study of War" kimeripoti ya kuwa UAF wamefanikiwa kuingia ndani ya mkoa huo kilomita 10 (sawa na maili 6) baada ya kuvunja ng'ome mbili za RAF.
•Hali kadhalika, Urusi imetangaza hali ya dharula Kursk na kuhimiza raia wake waondoke haraka katika maeneo hayo.
Ukweli wa mambo
•Inaaminika ya kuwa wanajeshi na mamluki wa NATO ndio wanaoongoza uvamizi huo wa Kursk Oblast huku wakishirikiana na wanajeshi wa UAF wapatao Elfu kumi.
•Kwa muda mrefu jeshi la NATO lilikuwa likijipanga na operesheni hii ambayo ni muendelezo wa kumchokoza Urusi ili aingie mazima vitani.
View attachment 3065955
•Sasa endapo kama operesheni ya Kursk Oblast itafeli, basi ni dhahiri ndio utakuwa mwisho wa vita hii.
Nimeona silaha zinazopelekwa huko Kursk naogopa sana Urusi wanaenda kuangamiza kabisa,na Dunia haitakua na Cha kuwalaumu.Walienda kumtikisa RUSSIA ila hatingishiki
Wanataka RUSSIA aondoe baadhi ya vikosi kuvipeleka KURSK pole zao sana kwakweli
Wataikimbia KURSK kwa aibu sana nisuala la muda tuuuu
Maangamizi Urusi amekuwa akiyafanya Toka hivi vita vimeanza sijui unazungumzia maangamizi yepi kitu pekee Putin amebakiza ktk hii vita ni matumizi ya nyuklia tu maana silaha zote keshatumia.Ndugu yangu unawajua wanajeshi elfu kumi?
Wanaweza kuingia bila kuonekana?
Ok tufanye ni sawa.
Je unayajua madhara ya vikosi vya NATO vikiingia ndani ya Urusi?
Sikupingi wewe najua umeipata mahala.
Lkn nakuambia NATO katiu hawawezi kufanya ujinga huo,maana madhara yake ni makubwa mno katika usobwa Dunia.
Huu mchezo wameufanya Ukraine wenyewe.
Lakini kwa vila walifanya shambulio la kushiitukiza kwa kipindi hiki Wacha watambe lkn kwa Urusi Sasa hii ndio itakua vita kamili.
Na vita kamili kwa Urusi maana yake ni maangamizi kwa wavamizi.
Tujipe muda.
Wewe kweli ujaona mbele ...kwa sasa urussi itateka maeneo yote ya ukrain ya mipakani kwa umbali wa zaidi ya 200km .Ninachoipendea hii operation sio Ukraine kulikalia eneo la urusi,la hasha,Bali ni kuona vita vikali mithili ya vile vya Mariupol na bakhumut vikipiganwa katika ardhi ya urusi..,ni wazi huko Kursk kutakuwa na makabiliano makali mno maana pande zote zinapeleka reinforcement huko kwa Sasa
Mshaanza mawenge, mbona Urusi nae anatumia mercenaries wengi tu kutoka India, Nepal etc?NATO wameamua kumtetea ndugu yao kwa njia ya mercenaries.
===========
Many French, Pokes, many foreigners are attacking Kursks region
View attachment 3066083
Unajua ikoje ndugu yangu?Maangamizi Urusi amekuwa akiyafanya Toka hivi vita vimeanza sijui unazungumzia maangamizi yepi kitu pekee Putin amebakiza ktk hii vita ni matumizi ya nyuklia tu maana silaha zote keshatumia.
Bila shaka alijisahau kidogo kuhusu tabia ya Putin kutokuwa tayari kuwasamehe wasalitiMsaliti hastaili haki kwenye nafasi aliyosaliti