LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukraine kuikalia Russia hili lifute kabisa akilini mwako
Anaanzaje labda kuikalia Russia kwa uwezo gani
Ukisikia nchi inaingia na kuikalia nchi nyengine sio jambo jepesi
Ni Russia pekee ambayo inaweza na imeweza kuiingilia nchi nyengine kijeshi na kuikalia
Hakuna nchi nyengine duniani imeweza hili
Kwamba hakuna nchi nyengine?
 
Vita

Inaenda kuisha kwa aibu kubwa Ukraine itapoteza maeneo mengi zaidi.
Sijui utaficha wapi lisura lako humu😁😂
Ndugu yangu, tembelea huu ukurasa uone urusi anavyoendelea kupokea kichapo huko Kursk
Screenshot_20240810-134308.png
 
Sote tumesikia na kuona katika mitandao mbalimbali ya kijamii na vyombo vya habari kuhusina na mashambulizi makali yaliyoanza mnamo Agosti 6 katika mkoa wa Kursk Oblast na vitongoji vyake baina ya jeshi la Ukraini (Ukraine Armed Forces-UAF) na Urusi (Russia Armed Forces -RAF).

•Mkoa wa Kusrk Oblast ni moja ya maeneo ambayo yametwaliwa au kukombolewa (liberated) na RAF.

Update ya kinachoendelea
•Taarifa zilizopo ni kuwa AFR imepokea kipigo kizito cha kushtukiza kutoka kwa UAF.

•Waziri wa ulinzi wa Urusi amesema jeshi lake linapambana na vikosi vya Ukraini katika mipaka ya mipakani ya Sudzhansky na Korenovsky iliyopo katika mkoa huo wa Kursk Oblast.

•Mpaka sasa, jesi la Urusi (RAF) limesema limefanikiwa kurudisha nyuma vikosi vya AFU vyalivyokuwa vinataka kuingia ndani zaidi mwa mkoa huo.

•Kwa upande wa Ukraini, kwa mujimbu wa chanzo kimoja kiitwacho "Institute for the Study of War" kimeripoti ya kuwa UAF wamefanikiwa kuingia ndani ya mkoa huo kilomita 10 (sawa na maili 6) baada ya kuvunja ng'ome mbili za RAF.

•Hali kadhalika, Urusi imetangaza hali ya dharula Kursk na kuhimiza raia wake waondoke haraka katika maeneo hayo.

Ukweli wa mambo
•Inaaminika ya kuwa wanajeshi na mamluki wa NATO ndio wanaoongoza uvamizi huo wa Kursk Oblast huku wakishirikiana na wanajeshi wa UAF wapatao Elfu kumi.

•Kwa muda mrefu jeshi la NATO lilikuwa likijipanga na operesheni hii ambayo ni muendelezo wa kumchokoza Urusi ili aingie mazima vitani.

View attachment 3065955
•Sasa endapo kama operesheni ya Kursk Oblast itafeli, basi ni dhahiri ndio utakuwa mwisho wa vita hii.
Hakuna nchi ya NATO inaweza kutoa askari wake kufanya operation ya hatari namna hii. Russia kapigana kienyeji ndio Ukraine kampiga counter attack.
 
Ninachoipendea hii operation sio Ukraine kulikalia eneo la urusi,la hasha,Bali ni kuona vita vikali mithili ya vile vya Mariupol na bakhumut vikipiganwa katika ardhi ya urusi..,ni wazi huko Kursk kutakuwa na makabiliano makali mno maana pande zote zinapeleka reinforcement huko kwa Sasa
 
As Ukrainian troops march into Russia, occupying territory and capturing towns, the reality of Putin's war can no longer be hidden behind the facade of a "Special Military Operation.”
August 2024: Month When the War Reached Russia's Doorstep.
On August 7, 2024, Ukrainian troops launched a full-scale incursion into Russia, occupying 350 square kilometres of territory in Kursk region, including the town of Sudzha. Russian forces were unprepared, with conscripts and territorial defense bearing the brunt of the attack. Civilians and troops have been killed, and soldiers taken prisoner.
From the start, it was clear this was a full-scale war, not a "Special Military Operation" as Putin claimed. Lies cannot be a stable foundation for anything.
The incursion was possible because no one prepared for the possibility of a Ukrainian offensive into Russia. Putin's generals believed their own untruths. Conscripts, who should not be in combat, have been killed and captured. Kadyrov's "TikTok warriors" fled in the face of a real enemy. Putin downplays the incursion as a "provocation," appointing a civilian to coordinate aid, as if discussing a routine weather event. But this is unprecedented. It would be untrue to say that the Ukrainian incursion into Kursk region has brought war to Russia for the first time. The war really came to Russia on February 24, 2022 - when the first coffins of Russian soldiers killed in Putin's pointless invasion started arriving back in the country. Since then, there have been Ukrainian sabotage raids into Belgorod and Bryansk regions. Drones have struck targets deep inside Russia, even reaching as far as Moscow. Oil depots, military bases and other infrastructure have been set ablaze on an almost daily basis. Nonetheless, the scale and nature of what we see unfolding right now is unprecedented. August 2024 is when full-blown military clashes between the armed forces of two countries came directly to Russian territory. Putin's initial goal of "liberating" Ukraine has shifted now to simply reaching Russia's own state borders. Despite leadership changes in the Defense Ministry, the situation remains the same: lies, contradictions, and abandonment of civilians and soldiers.
This war is criminal and must be stopped. It serves no purpose but to maintain a dictator's power at the cost of countless lives on both sides.
I talk about recent developments in this new video [eng subs available]:
View: https://youtu.be/s2gosks3tXI
 
Ndugu yangu unawajua wanajeshi elfu kumi?
Wanaweza kuingia bila kuonekana?
Ok tufanye ni sawa.
Je unayajua madhara ya vikosi vya NATO vikiingia ndani ya Urusi?
Sikupingi wewe najua umeipata mahala.
Lkn nakuambia NATO katiu hawawezi kufanya ujinga huo,maana madhara yake ni makubwa mno katika usobwa Dunia.
Huu mchezo wameufanya Ukraine wenyewe.
Lakini kwa vila walifanya shambulio la kushiitukiza kwa kipindi hiki Wacha watambe lkn kwa Urusi Sasa hii ndio itakua vita kamili.
Na vita kamili kwa Urusi maana yake ni maangamizi kwa wavamizi.
Tujipe muda.
Maangamizi Urusi amekuwa akiyafanya Toka hivi vita vimeanza sijui unazungumzia maangamizi yepi kitu pekee Putin amebakiza ktk hii vita ni matumizi ya nyuklia tu maana silaha zote keshatumia.
 
Ninachoipendea hii operation sio Ukraine kulikalia eneo la urusi,la hasha,Bali ni kuona vita vikali mithili ya vile vya Mariupol na bakhumut vikipiganwa katika ardhi ya urusi..,ni wazi huko Kursk kutakuwa na makabiliano makali mno maana pande zote zinapeleka reinforcement huko kwa Sasa
Wewe kweli ujaona mbele ...kwa sasa urussi itateka maeneo yote ya ukrain ya mipakani kwa umbali wa zaidi ya 200km .
 
Maangamizi Urusi amekuwa akiyafanya Toka hivi vita vimeanza sijui unazungumzia maangamizi yepi kitu pekee Putin amebakiza ktk hii vita ni matumizi ya nyuklia tu maana silaha zote keshatumia.
Unajua ikoje ndugu yangu?
Siku zote Urusi ilikua inashambulia ndani kwa mwenzake,Leo imeshbuliwa ndani kwake kwa maana ya uvamizi.
Majibu ya kuvamiwa ni makubwa mno kwa nche yenyewe jeshi kubwa kama Urusi dhidi ya Ukraine.
Licha ya kusaidiwa na NATO.
 
The Russian Federation is in a panic transferring operational reserves from the following directions to the Kursk region, such as: Kherson, Zaporizhzhya, Kupyan, Kharkiv, Pokrovsky, Kherson and Belgorod, — Vanek
1723292443276.jpg
 
Back
Top Bottom