Nadhani Kursk haikua na askari wengi wa Urusi kwa sababu naamini Urusi haikuwaza kama Ukraine wataivamia.Ukraine bado wanasonga mbele huko Kursk mpaka kuteka maeneo kadhaa.
Urusi ni dhaifu sana wakati huu kuliko kabla ya hii vita ndio maana imeshindwa kulinda ardhi yake.
lee Vladimir cleef T14 Armata Gagnija TUJITEGEMEE dudus
Hata kama hutaki soon watamalizwa walikuja jeshi la Hitler hapo wakamalizwa itakuwa hao?
Wakati Jeshi la Hitler wanamalizwa Ukraine haikushiriki kuwamaliza? Vita ni kamari...kataa au kubali hakuna vita iliyowahi kumaliza wanajeshi wa upande mmoja.Hata kama hutaki soon watamalizwa walikuja jeshi la Hitler hapo wakamalizwa itakuwa hao?
Katafute takwimu waliopoteza maisha wengi ni warusi halisi na hawa wanazi wapya watapigwa hivyohivyo.Wakati Jeshi la Hitler wanamalizwa Ukraine haikushiriki kuwamaliza? Vita ni kamari...kataa au kubali hakuna vita iliyowahi kumaliza wanajeshi wa upande mmoja.
Hii Vita itapigwa sana, kama kweli Ukraine inayo uwezo wa kupata wanajeshi zaidi ya 10,000 na kuwapeleka mkoa mmoja tu basi bado inayo hazina kubwa sana ya wanajeshi.
Vita bado itaendelea kwa miaka mingi zaidi kila mbinu itatumika hii ni jaribio la kwanza la Ukraine kuingia Russia hivyo wataanza implementation zao walizonazo za kuiweka adui wao bize huku wakimsukuma nyuma kutoka kwenye Maeneo yao walioyakalia.
Jamaa muongo wewe balaa sasa 74 Cities ni zipi?? duh UONGO HUU BALAA74 cities, towns and villages in the Kursk region are already under Ukrainian control.
Will we reach Zadovo? God help UkraineView attachment 3068959View attachment 3068959.
Nimeona Sky news video jamaa wanashusha bendera za Russia74 cities, towns and villages in the Kursk region are already under Ukrainian control.
Will we reach Zadovo? God help UkraineView attachment 3068959View attachment 3068959.
Waukrain ni kama hawakutani na upinzani wowote, wanajizolea tu maeneo,Jana gervernor wa Kursk alisema wameshateka vijiji 28 Leo hii idadi imeongezeka na kuwa vijiji 74.,na hii imeripotiwa na commander in chief mwenyewe, Alexander syskyNimeona Sky news video jamaa wanashusha bendera za Russia
Yaani wewe ambae hata mfumo wenu wa elimu mbovu umezalisha kilaza ndio uwe na uwezo wakushauri kuhusu putin,very funnyPutin anaumbuliwa... tulimuonya sana ila hakusikia kwamba watu wa Magharibi ni mafia hawawezi.
Warusi wa BUZA nao washakimbia humu.
Ukraine waungwana Sana...Putin anaumbuliwa... tulimuonya sana ila hakusikia kwamba watu wa Magharibi ni mafia hawawezi.
Warusi wa BUZA nao washakimbia humu.
Supapawa uchwara huyo. Uliwahi sikia wapi Marekani amevamiwa na yeyote yule. Unachoweza fanya dhidi ya Marekani ni kushambulia, sio kuvamia ukakaa siku ngapi uko akiwa anapuyanga.Supapawa haamini na yeye Leo kavamiwa.
Urusi ametepeta kweli kweli na hii vita.... Urusi itahitaji miaka mingi Sana kurudisha uwezo wake kijeshi na ushawishi uliokuwepo kabla ya hii vita
lee Vladimir cleef T14 Armata