LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jikite kwenye mada iliyopo, supapawa imekuwaje na yeye kavamiwa?..... What went wrong?
Kuvamiwa supa pawa sio shida hata USA alipigwa Pentagon na wahuni tu,juzi Israel kavamiwa for 5 days na Hamas pamoja na ubora wote aliokuwa nao,bila kusahau Israel ndio taifa lililo na surveilance system bora zaidi duniani.Vita ni hesabu. Ukraine kapiga hesabu za kujimix na raia akijua URUSI itakuwa na jukumu la kwanza kuhakikisha usalama wa raia wake kabla ya kuwafurusha wavamizi.Hata Israel leo ni mwaka mzima anafukuzana na wahuni wa hamas ambao hawana silaha za maana na waliojifisha kwenye kaeneo kadogo usawa wa kuanzia Posta mpaka Msimbazi jijini DSm.Tukumbuke Israel ni USA 100% lkn hautosikia watu wakiwakosoa kwa kushindwa kumaliza operation na kikundi dhaifu cha wanamgambo walio na silaha za kujitengenezea wenyewe.
 
China haiwezi kuivamia RUSSIA kwanini NATO kushirikiana na GERMAN wasishirikiane kuichukua KALININGRAD au hawaitaki?😀
 
Achana na CHINA na JAPAN
RUSSIA analikalia eneo la memba NATO pale KALININGRAD nieneo lahalalj kabisa la GERMAN ila RUSSIA walilichukua
Sasa kwakua RUSSIA ni Super power wamchongo mwambie awapigie simu GERMAN wakishirikiana na NATO wakaichukue KALININGRAD yao
 
Jamaa najaribu kuwawekea habari kutoka vyanzo tofautitout lakini huwezi Amin bado wanakomaa!
 
Wachafuzi wa jf kina Proved na kina T14 Armata

Mukiwa munatolea udhaifu wa RUSSIA nakutishia kwamba sijui akivamiwa nanani akadai maeneo yake itakuwaje ana air force mbovu sijui nini

Tunawakumbusha tu kwamba RUSSIA kama super power wa mchongo anakalia eneo la KALININGRAD ambalo ni mahali halali kabisa kwa GERMAN tena sio halali tu limekaa kimkakati haswaaa

Wakumbusheni NATO pampja na GERMAN wakamtoe Super power wa mchongo huko kwenye eneo la GERMAN walirudishe

Au eneo lao hawalitaki tena😀
 

Asante kwa kunialika,kwa muda wa wiki kama moja hivi akaunti yangu ya "Lee Vladimir Creef" imepotea hewani,sijui Nini kimeikuta,nikeajaribu kuifufua lakini nimeshindwa,ila sijakata tamaa.
Ntakujibu baada ya kukusanya data.
 
kwahyo wewe uko front line?au na wewe unategemea story za Twitter?
Leta source yako inayosema Ukraine wameshafukuzwa.
 
Baada ya hii vita, Ukraine wanapaswa kudeal na Belarus.
 
Asante kwa kunialika,kwa muda wa wiki kama moja hivi akaunti yangu ya "Lee Vladimir Creef" imepotea hewani,sijui Nini kimeikuta,nikeajaribu kuifufua lakini nimeshindwa,ila sijakata tamaa.
Ntakujibu baada ya kukusanya data.
Hehehehe pole mzee
Kwahio now upo humu au kwa muda ?
 
Ukraine Wants to Start Talks Using Kursk Nuclear Plant Seizure as Ultimatum - Akhmat Head


MOSCOW, - On August 6, Ukrainian armed forces went on the offensive to seize territory in the Kursk region, their advance was stopped, said Valery Gerasimov, Chief of the General Staff of the Russian Armed Forces. He stressed that the operation in the Kursk region will be completed by defeating the enemy and reaching the state border.
Units of the Russian armed forces are in the Kursk city of Sudzha, the enemy does not control the city, there are daily clashes, commander of the Akhmat special forces Apti Alaudinov told Russian media.
"Today there are units of the Russian Defense Ministry in Sudzha. There is an enemy around and in some parts of the city. There are active clashes there every day. The enemy cannot say that he completely controls Sudzha, because he does not really control it," Alaudinov said.
The general mayor also said that Kiev planned to seize the Kursk nuclear power plant on August 11 and use this fact to start negotiations with Moscow with an ultimatum.

"We received very interesting materials — the whole layout of the operation, which was being prepared, by what forces and what was planned. What can I say: on the 11th [of August] it was necessary to take the nuclear power plant in Kurchatov... [Ukrainian President] Zelenskyy's blitzkrieg, which was planned with the seizure of the Kurchatov nuclear power plant and already entering negotiations with an ultimatum ... failed," Alaudinov explained.

The task had not been completed, despite all the reserves directed by Kiev in this direction, Alaudinov said.
"Most of the equipment has already been destroyed from what was deployed at the Kursk direction," Alaudinov concluded.
 
Three more villages in the Kursk region came under the control of the Armed Forces of Ukraine: Ukrainian defenders entered Olhovka, Mala Loknja and Kruglenka, - rosZMI
 
kwahyo wewe uko front line?au na wewe unategemea story za Twitter?
Leta source yako inayosema Ukraine wameshafukuzwa.
Mimi hapana siko Frontline, lakini habari nyingi kipanya anameza kama zilivyo, ndio maana nimemuambia anaileta habari za tare 4,5,6 akisema nizaleo. Kingine Aljazeera nitaarifa rasmi huku wakiwa wamemnukuu Zeleboy kama source ya taarifa sasa ni wewe kuchuja Zeleboy Kila anachosema nikweli au vingine uongo kazi inabaki kwako.taarifa rasmi nizile ambazo zinatoka Frontline kwa waandishi wa habari wanaochukua taarifa huko. Halafu pia Twitter kua source ya habari sio issue kama zinaonyesha video na geo location ya mahala picha ilipochukuliwa na taarifa, kwa usahihi zaidi unaweza thibitisha Mwenyewe kama nipicha halisi au video halisi kwa njia kadhaa wa kadhaa.
lakini kama huwezi chuja taarifa ipi ni kweli na uongo basi shida unayomsomaji.

Lakini jambo la kufurahisha zaidi, kipindi Russia kazidiwa huko Kurusk kama mnavyodai, West and USA wanalalamika Russia inaendelea kupeleka Siraha Iran na Leo ndege nyingine kubwa ya kubeba Siraha imetua Iran. Sasa akili mkichwa, mmoja anasambaza Siraha kwa nchi nyingine na huku kwake kakaliwa kooni, anaeshinda anaendelea kuomba Siraha, na kifurushi kingine Cha dola bil 4 kimeidhinishwa Leo kama msaada kwake.
 
The village of Plekhovo in the Kursk region was liberated by the Ukrainian Defense Army. See how beautiful the Ukrainian Flag looks in Russian lands.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…