LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kinaenda kutokea nini na lini kama kweli unajua? au unasubiri kudura za Mungu tu?
Ukraine imeamua kuingia na kukalia eneo hilo kwa sababu ya masuala ya kisiasa yanayoendelea US, ipo wazi chochote kinaweza kutokea kwenye uchaguzi, Donald Trump alisema endapo akiingia madarakani atamaliza vita kwa kuiomba Ukraine ikae meza moja na Russia.

Tatizo ni Russia tayari kachukua maeneo mengi na makubwa ya kimkakati ya Ukraine, sasa Trump akiwaweka meza moja wamalize tofauti inawezekana Russia akang'ang'ania maeneo hayo.

Ndio maana Ukraine kaivamia Russia achukue maeneo ilibkusidi upepo wa kisiasa ukibadilika Trump akaingia Ukraine iwe na maeneo ya Russia tayari kufanya makubaliano na kubadilishana maeneo waliyopokonyana.

Ukraine amesukuma kete yake vyema japo sioni kama watatoboa kwenye hili, kwa maana Russia atashambulia kwa nguvu zaidi.

Ukraine amecheza kamari.

Ndio hivyo.
 
Borrell: "Putin was unable to break Ukraine's resistance" and now "he is forced to withdraw into" his territory.
Head of European Union diplomacy says he has contacted the Ukrainian MNE and has "reiterated the EU's full support for the struggle of the people of Ukraine", at a time when there is a massive counter-offensive in Kursk.
 
Russia akijarbu kutumia nguvu kuwaondoa Ukraine huko Kursk, automatically front lines za uko Ukraine ataziacha zikiwa dhaifu,si ajabu hata Sasa Ukraine anazidi kuchanja mbuga huko Kursk kwa sababu tu urusi hataki kuvihamisha vikosi vyake vilivyoko mstar wa mbele huko Ukraine na kuvihamishia Kursk maana anajua fika Ukraine ataitumia nafasi hiyo kujipatia faida.., urusi Ili aweze kujikwamua na hii dillema anaitaji another mobilization, suala hambalo ni gumu kwa Putin maana hatopata sapoti ya kisiasa na uma kwa ujumla
 
Urusi Ina mandhar nzur aisee 😇😇

Honcharovka in Russia is free from the Führer of the Kremelin, the Stalin of the 21st century.
 
Ngonjera zimeshazoeleka, kwahiyo Urusi wamesema watawafanyaje majeshi ya Ukraine?
Hawa ni kupuuzwa tu, mwanzoni walituambia Ukraine wakiigusa Crimea itakuja Ile " judgement" day,zile ngonjera sijui ziliishia wapi,Leo hii urusi anachakazwa chumbani kwake wataimba weee! Mwishowe uhalisia utawaumbua!
 
Ukraine haina uwezo huo.
Mahesabu yao ni ku hold hio position hadi uchaguzi wa US uishe...

Russia inajua hilo, Ukraine mtasikia wamekimbia.
Mwanzoni mwa uvamizi pro Russia walituambia kwamba Ukraine hawez kulikalia eneo la urusi hata wiki Moja., kwamba watafurushwa faster.,Leo hii mmeshahamisha magoli kwamba mpaka uchaguzi wa marekani uishe😁
 
WONDERFUL NEWS - In the direction of Kursk, Russky Porichnoy is already home to armored vehicles of the Armed Forces of Ukraine - Russian Z channels are panicking again.
It appears that another village is under Ukrainian control and dozens of Russians are being arrested. 2500 Russians are already waiting in the swap fund, captured in Kursk.
 
The Russian Army did not expect such humiliation. The Western World is still laughing.
Ukrainian Armed Forces advanced 20 kilometers. It is reported that the 92nd Airborne Assault Brigade managed to advance from the village of Guevo to Kamyshny and is now fighting for the territory of the village of Girya.
 
Mwanzoni mwa uvamizi pro Russia walituambia kwamba Ukraine hawez kulikalia eneo la urusi hata wiki Moja., kwamba watafurushwa faster.,Leo hii mmeshahamisha magoli kwamba mpaka uchaguzi wa marekani uishe😁
Ndio mahesabu ya Ukraine sio kwamba nasema watakaa hadi uchaguzi.

Hapo wanafanya one last good move ili kusudi muda wowote vita ikisimama tokana na upepo wa kisiasa US, dunia ione NATO isingesimamishwa vita, ingeingia zaidi Russia na kuteka maeneo mengi.

Russia hawezi kubali kudhalilishwa kiasi hiko kama superpower wa dunia.
 
Russia has acknowledged the inadequacy of the Pantsir-S1 air defense system against drones, including those tasked with protecting Putin's residence near Moscow, according to an analysis by Defense Express.

In response, Russia is promoting the use of a new version of the system, the Pantsir-SMD-E, which is equipped with up to 48 small-sized TKB-1055 missiles. However, this updated model lacks the guns present in its predecessor.

Analysts point out that anti-aircraft artillery is particularly effective against UAV-type targets. The German-made Gepard anti-aircraft system, for instance, has demonstrated remarkable efficiency in real combat with minimal ammunition consumption. Artillery systems that use ammunition with programmed detonation, like Skynex, have proven to be highly effective, something Russia has yet to replicate.

The decision to rely on TKB-1055 mini-missiles for intercepting drones is viewed as problematic by experts. They argue that effective anti-drone systems must be capable of intercepting large numbers of drones swiftly. The Pantsir system struggles with this due to its limitations: it can only target four drones within a ±45-degree sector and two within a ±90-degree sector. Additionally, all missiles must be guided to the target, rendering the system ineffective against a swarm of drones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…