and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Ukraine imeamua kuingia na kukalia eneo hilo kwa sababu ya masuala ya kisiasa yanayoendelea US, ipo wazi chochote kinaweza kutokea kwenye uchaguzi, Donald Trump alisema endapo akiingia madarakani atamaliza vita kwa kuiomba Ukraine ikae meza moja na Russia.Kinaenda kutokea nini na lini kama kweli unajua? au unasubiri kudura za Mungu tu?
Tatizo ni Russia tayari kachukua maeneo mengi na makubwa ya kimkakati ya Ukraine, sasa Trump akiwaweka meza moja wamalize tofauti inawezekana Russia akang'ang'ania maeneo hayo.
Ndio maana Ukraine kaivamia Russia achukue maeneo ilibkusidi upepo wa kisiasa ukibadilika Trump akaingia Ukraine iwe na maeneo ya Russia tayari kufanya makubaliano na kubadilishana maeneo waliyopokonyana.
Ukraine amesukuma kete yake vyema japo sioni kama watatoboa kwenye hili, kwa maana Russia atashambulia kwa nguvu zaidi.
Ukraine amecheza kamari.
Ndio hivyo.