Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Mpendwa! Umerudi tena kwa comments? Safi, asante. Ila Hayo umeshasema yote. Wote wanajua tayari akili yangu fupi, na mimi ni mjinga. sawasawa.Mzee nilishakwambia wewe akili zako ni fupi, nenda shule kwanza halafu kidooogo subiri umri wakk usogee ndio akili zako zitakomaa. Kwa sasa wewe bado ni mjinga.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti mmakonde,haya bwana.Wewe ni mmakonde tu, hamna Mrusi mwenye akili finyu kama zako wewe unataka auue kila bina damu uko Ukraine kwa kupate sifa zenu kwamba ameshinda haraka au, ?
Mimi ni mrusi kutoka Mbagala lakini niwe muwazi tu jeshi letu ni overrated,hamna kitu ni urojo mtupu.
blaza Putin ni mwepesi sana,nafikiria NATO na U.S wangeingia vitani naamini tungechapwa kichapo cha maana.
Putin abadili mbinu tofauti na hapo Ukreine watatusumbua sana hawa mbu.
Habari kama hizi pro Putin ,Nyundo ya Moto,Venus star,wakisikia wanashikwa na matumbo ya kuharisha kabisa[emoji23]View attachment 2152907