Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Inaonekana hawa walevi , wavuta bangi na wabwia unga wanafanya kazi nzuri sana wanastahili pongezi.Lakini usisahau pia kwamba Urusi nayo ilipeleka na hata sasa inapeleka wafungwa, walevi, wavuta bangi na wabwia unga.
Hiyo ndo inatakiwa safi sana nafurahi sana kuona watu wanakufa kiume safi sanaUrusi amekataa kufanya mazungumzo yeyote ya amani na Ukraine. Hali ni mbaya wanajeshi wa Ukraine wanakufa kama kumbikumbi. Umoja wa mataifa upo wapi jamani kuisaidia Ukraine? Jioneeni wenyewe.View attachment 3075122View attachment 3075123
Tangu day one Ukraine ilipoingia Russia mlikuwa mnasema wamechinjwa na kumalizwa wote and everything is under control. Matokeo yake Ukraine waliomalizwa wakazidi kusonga mbele na sasa wameanza kuingia mji unaofuata baada ya Kursk, hapo anayejidanganya ni nani?Lakini mkuu kujidanganya kwamba Ukraine anaendelea vizuri wakati Hali halisi yupo ICU sidhani kama ni jambo jema sana. Anyway tujipe muda
Tena hakuna watu wanaopenda publicity kama hao IDF uliowataja.Ku publish ni issue za kishamba wanajeshi wa Urusi tunaweza Kuwaweka kundi moja na Hamas ww lini umepona IDF wanatumia picha za maiti wa Hizbullah ama Hamas sana sana watakuambia tu eliminated.
Kazi yao Haijaoneshwa. Kwa nini?Inaonekana hawa walevi , wavuta bangi na wabwia unga wanafanya kazi nzuri sana wanastahili pongezi.
Huo Udaktari uliupatia wapi ?naishukuru serikali chama cha mapinduzi chini ya mama yetu kipenzi kwa kudumisha amani nchini
🤣Huo Udaktari uliupatia wapi ?
Sisomi hiyo maana umeshindwa kuniambia ulikua unataka nifanyeje.Soma post #6 kwenye huu uzi...
Thread 'Mauaji ya Kimbari ni nini hasa?' Mauaji ya Kimbari ni nini hasa?
Mi sijaona picha zilizopostiwa na IDF za huko gaza ila naona za HAMAS zile za kuedit na kale ka-mwimbo kao ka Taqbiiir; Allah'Akabar.Tena hakuna watu wanaopenda publicity kama hao IDF uliowataja.
kcmc ya MonduliHuo Udaktari uliupatia wapi ?
Hao ni binadamu mkuuHiyo ndo inatakiwa safi sana nafurahi sana kuona watu wanakufa kiume safi sana
Sawa tutaona.Tangu day one Ukraine ilipoingia Russia mlikuwa mnasema wamechinjwa na kumalizwa wote and everything is under control. Matokeo yake Ukraine waliomalizwa wakazidi kusonga mbele na sasa wameanza kuingia mji unaofuata baada ya Kursk, hapo anayejidanganya ni nani?
Kwa hiyo kwa kasi hii tutegemee siku ngapi tu Urusi kuwamaliza wanajeshi wote wa Ukraine na kuweza kuitwaa nchi, kisha Putin kujitangaza mbabe wa dunia?Lakini tangu hivi vita vianze urusi hakuwahi kuuwa kiasi hiki Tena kwa speed ya Kasi sana kwenye kuwaua hawa wanajeshi wa ukraine.kuna tatizo gani? Nini kimemkasirisha kiasi hiki?
Basi boss jaribu kuficha unafiki.Hapa ni Russia kuhusu Gaza nitafungua Uzi mwengine utakuja kuchangia
Sisomi hiyo maana umeshindwa kuniambia ulikua unataka nifanyeje.