LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Lakini mkuu kujidanganya kwamba Ukraine anaendelea vizuri wakati Hali halisi yupo ICU sidhani kama ni jambo jema sana. Anyway tujipe muda
Tangu day one Ukraine ilipoingia Russia mlikuwa mnasema wamechinjwa na kumalizwa wote and everything is under control. Matokeo yake Ukraine waliomalizwa wakazidi kusonga mbele na sasa wameanza kuingia mji unaofuata baada ya Kursk, hapo anayejidanganya ni nani?
 
Kawaida sana hiyo wala haiogopeshi warusi kibao wamekufa kwenye hayo mapigano.
 
Lakini tangu hivi vita vianze urusi hakuwahi kuuwa kiasi hiki Tena kwa speed ya Kasi sana kwenye kuwaua hawa wanajeshi wa ukraine.kuna tatizo gani? Nini kimemkasirisha kiasi hiki?
Kwa hiyo kwa kasi hii tutegemee siku ngapi tu Urusi kuwamaliza wanajeshi wote wa Ukraine na kuweza kuitwaa nchi, kisha Putin kujitangaza mbabe wa dunia?
 
Hapa ni Russia kuhusu Gaza nitafungua Uzi mwengine utakuja kuchangia
Basi boss jaribu kuficha unafiki.

Usitegeke na western media kwa kupika habari za uongo.

KImbari ni wananchi na siyo wapuuzi wanaotumwa kuua na wakaishia kunyolewa wao.

Marekani na washirika wake wanapigana na Urusi kwa gharama ya maisha ya Waukraine. Hivyo suala hili la vita ni matokeo ya upumbavu wa hao wajaopigana
 
Sisomi hiyo maana umeshindwa kuniambia ulikua unataka nifanyeje.

Ndio umekosea sasa na hutaki elimikia...

Yaani unashindwa kufungua link na ukasoma comment yenye sentensi 2 tu...

Mauaji ya vita vya jeshi na jeshi hayawezi kuwa genocide
 
Back
Top Bottom