Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwasasa to focus huko Ukraine mambo ya Gaza tutayajadili kwenye Uzi mwengineMi sijaona picha zilizopostiwa na IDF za huko gaza ila naona za HAMAS zile za kuedit na kale ka-mwimbo kao ka Taqbiiir; Allah'Akabar.
Urusi amekataa kufanya mazungumzo yeyote ya amani na Ukraine. Hali ni mbaya wanajeshi wa Ukraine wanakufa kama kumbikumbi. Umoja wa mataifa upo wapi jamani kuisaidia Ukraine? Jioneeni wenyewe.View attachment 3075122View attachment 3075123
Huyo mjomba jau Sana.kcmc ya Monduli
Vita😭😭😭😭 Dunia🤲
Naombea Yatokee na Mbeya sijui kwanini 😁😭😭😭😭 Dunia🤲
Labda tupate definition ya neno kimbari mkuu. Sijaona unafiki hapoBasi boss jaribu kuficha unafiki.
Usitegeke na western media kwa kupika habari za uongo.
KImbari ni wananchi na siyo wapuuzi wanaotumwa kuua na wakaishia kunyolewa wao.
Marekani na washirika wake wanapigana na Urusi kwa gharama ya maisha ya Waukraine. Hivyo suala hili la vita ni matokeo ya upumbavu wa hao wajaopigana
Ila maisha haya,wanadamu tumegeuka wanyama kabisa🙌Vita
Labda tupate definition ya neno Genocide mkuuNdio umekosea sasa na hutaki elimikia...
Yaani unashindwa kufungua link na ukasoma comment yenye sentensi 2 tu...
Mauaji ya vita vya jeshi na jeshi hayawezi kuwa genocide
Hizo haki za Binadamu hawazioni huko Gaza? Haya maigizo ya haki za binadamu hayaaminiki tena,Mrusi tembeza kichapo mpaka wanyooke hao LGBTQAisee urusi amechafukwa zelensky na marekani wanasema urusi anavunja sheria na anakiuka Haki za kibinadamu
Labda tupate definition ya neno Genocide mkuu
Wanasema Dunia ingekua na wanawake watupu kusingekua na vita. Hivi Leo ungekuta Ukraine anamsuta Urusi huku Israel anamwendea mpalestina na kigoma cha mzaramo kumsuta.Ila maisha haya,wanadamu tumegeuka wanyama kabisa🙌
Sifungui hiyo post wewe weka hapa definition ya neno kimbari.Ndio ipo kwenye hiyo post uliyogoma kuifuata...
Ushapigana vita vingapi hadi sasa mjeshi?Mbona Hilo ni suala la kawaida kwenye Vita , Adui ni ama ajisalimishe, au umuue au akuue yeye.
Sifungui hiyo post wewe weka hapa definition ya neno kimbari.
Huo Udaktari uliupatia wapi ?
Mwacheni Comedian akipate mtu anadangan'ywa na yule kichaa Biden atakuwa na akili sawa sawa 😄Wameyataka
Alifikiri vita ni sawa na commedian za kina Steve Mweusi na Ndaro.Mwacheni Comedian akipate mtu anadangan'ywa na yule kichaa Biden atakuwa na akili sawa sawa 😄
Una ID ngapi Dokta mbona unachanganya wagonjwa sasa ?Faida ya ile Phd, ya Korea kusini hii hapaYulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzani.. - MK
Yulho announced on the 12th that its global mining development and trading subsidiary "Yulho Tanzania" has established a joint venture "LOK Mining Company" with a local partner. After securing the rig..www.mk.co.kr