LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Basi boss jaribu kuficha unafiki.

Usitegeke na western media kwa kupika habari za uongo.

KImbari ni wananchi na siyo wapuuzi wanaotumwa kuua na wakaishia kunyolewa wao.

Marekani na washirika wake wanapigana na Urusi kwa gharama ya maisha ya Waukraine. Hivyo suala hili la vita ni matokeo ya upumbavu wa hao wajaopigana
Labda tupate definition ya neno kimbari mkuu. Sijaona unafiki hapo
 
Back
Top Bottom