Taarifa mwenyekitiUmeamua kujiokotea maiti zako ulizoamua kuinyesha, hongera.
Halafu hizo picha ni za huko Doneski siyo Kursk.
Kursk Ukraine anazidi kukamata maeneo huku akimsambaratisha Russia na kila silaha anayoijaribu.
Kuzidiwa kule Kursk ndiyo kaamua alianzishe Doneski akijaribu ku divide attention lakini anaishia kuona kama anapigana na majeshi tofauti yasiyohusiana.
Hapo anakutaka ubainishe ni kwa nini mauaji yaitwe ni ya kimbari na mauaji mengine yaitwe ni vita kwa mana kwamba:Sisomi hiyo maana umeshindwa kuniambia ulikua unataka nifanyeje.
Ushabiki kwa kile usichokijua umemsababishia huyo jamaa kuja kuyaona yale ambayo hakutarajia kuyaona. Nadhani Next time atakuwa mwangalifu zaidi.Wewr unasikia mauaji halafu unakuja mbiombio ulidhani utakutana na watu wanakula ekaristi?
Hebu subiri kidogo tafadhali. Utapewa nafasi.Taarifa mwenyekiti
Mwenyekiti Taarifa tafadhari
Unataka kusemajeUshabiki kwa kile usichokijua umemsababishia huyo jamaa kuja kuyaona yale ambayo hakutarajia kuyaona. Nadhani Next time atakuwa mwangalifu zaidi.
Hao Nato wako kule wanapigana na Mrusi, lakini vifaranga wa Ukraine wanatangulizwa machinjioni kwa maelfu hio ni hasara kwa Ukraine.Jana wameuwawa wanajeshi watatu wa marekani Leo urusi imemwita balozi wa marekani Moscow kujieleza walikua wanafanya Nini ndani ya mipaka ya Russia.
Nakuunga mkono kwa jibu ulilotoa kwa huyo aliyekuja mbio-mbio aliposikia ni mauaji na ww ukamwambia alidhani ni watu wanakula Ekaristi? Samahani lakini kama nimekukera.Unataka kusemaje
ni historia ndefu sana ndugu kwa ufupi chimbuko lake ni katika moja ya shule ya jumuiya ya wazazi ccm na hitimisho lake lilikua pale Nelson Mandela African Institution of Science and TechnologyHuo Udaktari uliupatia wapi ?
Hao wote ni ndugu mmoja watapigana mtasikia wamekaa kwenye meza na kumaliza tofauti zao..Kuzidiwa kupo kutegemeama na ubavu wa mtu.
Marekani tangu lini wazijue haki za binadamu?Aisee urusi amechafukwa zelensky na marekani wanasema urusi anavunja sheria na anakiuka Haki za kibinadamu
Kimbari ni slang ya halaiki.Labda tupate definition ya neno kimbari mkuu. Sijaona unafiki hapo
Hii ni kweli!?
Watu wengi au raia wengi?Kimbari ni slang ya halaiki.
Mauaji yanayofanywa na state against raia wengi (wa nchi yeyote)
ICC wameweka viwango vya namna gani mauaji yanahedabika ya kimbari na uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu
Na wanachapika haswa. Mrusi anajuwa kuninyoonyea huyu mtu.Marekani tangu lini wazijue haki za binadamu?
Unafiki wa Marekani utatesa Dunia..
Acha wapigike tuone wanafiki watakavyotoka shimoni