LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ukraine nilisapoti kuchapwa kwasababu kadhaa
Kwanza wanahatarisha usalama wa russia
Pili walipeleka majeshi iraq wakaua watu sasa zamu yao
Acha wafe ikibidi hata wote watazaliwa wapya
Shida yako ni hapo kupeleka askari Iraq bado una kinyongo. Ingekuwa jambo la maana kama ungeichukia Libya kwa kiwango unachoichukia Ukraine kwani walimsapoti Amini dhidi ya Tanzania.
 
Habari ya siku nne zilizopita unaleta Leo, kweli mna uhaba wa habari njema 😅🤩
 
Shida yako ni hapo kupeleka askari Iraq bado una kinyongo. Ingekuwa jambo la maana kama ungeichukia Libya kwa kiwango unachoichukia Ukraine kwani walimsapoti Amini dhidi ya Tanzania.
Unaipangia kwenye shida napo kijana au sio?

Walimsapoti kwa matakwa yao kama mimi navyosapoti kula kichapo kwanatakwa yangu

Ukraine inastahili kupondwa pondwa zaidi
 
Ukraine tayari ishakua failed state nisuala la muda tuuu

Kuna mwaka walikaa vikao vyao vya kina mama wakapeana maeneo yakuijenga ukraine mwaka unaofuata sijui kile kikao chakina mama utekelezaji wake ulienda wapi

Ukraine ikikubali Don bass kuanguka hali yakua hawajakaa kwenye meza yakukubaliana basi imekula kwao ukraine yote itakua sehemu halali ya Moscow
 
Habari ya siku nne zilizopita unaleta Leo, kweli mna uhaba wa habari njema 😅🤩
Analeta zilipendwa wakati Moscow imechapika just jana tu kiasi cha governor kupagawa na kukiri haijawahi kutokea.
Sasa hivi wananchi wa Russia tena kwenye mji ambao ni Capital wameshaanza kuiishi taste na hofu ya vita.
Watu wamesnza kupiga just 40 Km away from Kremlin
 
Humu ni kama watu wapo uwanja wa mpira halafu kuna timu imezidiwa na kufungwa goli 10 halafu mashabiki wa timu chovu (kp kipanya 44 etc) wakiona timu yao imepata kona wananyanyuka na kushangilia sana na kutamba kuwa walidhani timu yetu haiwezi kufika golini kwao. Pia timu chovu ina wadhamini wakubwa sana na inatumia vyombo vikubwa vya habari.
 
Habari ya siku nne zilizopita unaleta Leo, kweli mna uhaba wa habari njema 😅🤩
Sikujua, nimeona kwa hawa wamagharibi au nao walipitwa??

Live: Russia says it has taken control of Zhelanne settlement in east Ukraine​


Issued on: 21/08/2024 - 07:34
Modified: 21/08/2024 - 13:27

 
Halafu kuna wahafuzi uchwara hapa walikua wanajikutia wanajuua😀

🇷🇺🇺🇦⚡- "I don't know what the plan of Butcher Syrsky is. The entire Ukrainian group in Kursk is helping Russia seize the Donetsk region! My comrades and I generally think that it would be a good idea to check this Russian General Syrsky for treason, because due to the withdrawal of reserves we are just sitting here naked. No equipment, no reinforcements. We are sitting and waiting for a miracle. But it won't happen. It turns out that the Russians haven't withdrawn their reserves from Donetsk and don't seem to be planning to, so what the hell is all this Kursk attack for then?" – Ukrainian 79th Brigade, 'Cyborgs', who operate in the Mariinka-Ugledar direction.
 
Vita siyo ya kuishabikia, pande mbili zinapokuwa vitani jua maumivu lazima kwanza yaziathiri pande zote pili itaathiri pande nyingine nyingi zaidi sababu ya mafungamano ya Kiuchumi, Kijigrafia, kiutamaduni, Kidiplomasia n.k
Kuaminishana kwamba ni upande mmoja pekee unaoathirika huo ni utoto wa miaka ya 80 huko
 
Kama mnafatilia vizuri,idadi ya askari waliokufa wa Ukraine waliovamia Kursk inazidi kuongezeka siku Hadi siku.
Sasa imefika 4400 Jana ilikua 4130.
Bila kusahau kua hata silaha zao nazo zinapungua.
Tuendelee.


21 AUG,
IN BRIEF: In Kursk Region, Ukraine forces regroup, suffer losses
A total of more than 4,400 Ukrainian servicemen have been destroyed during the hostilities

© Russian Defense Minstry
MOSCOW, August 21. /TASS/. Ukrainian troops lost up to 300 servicemen and 26 armored vehicles in the Kursk area over the past day, the Russian Defense Ministry said.

A total of more than 4,400 enemy servicemen have been destroyed during the hostilities.

Fighters of the Akhmat special force are preparing to repel a strike by Ukrainian forces, which are now busy regrouping in the Kursk area, said Akhmat commander Major General Apty Alaudinov.

TASS has put together the key facts about the situation.

Progress of the operation to destroy Ukrainian formations
- Units of the battlegroup North, supported by army aviation and artillery fire, thwarted attempts by enemy assault groups to attack the settlements of Komarovka, Korenevo, Malaya Loknya and Russkaya Konopelka.

- Strikes were delivered on clusters of the enemy's manpower and equipment in the areas of Apanasovka, Borki, Vishnyovka, Kositsa, Nizhny Klin, Snagost, Sverdlikovo and Kazachya Loknya.

- Russian aviation struck assembly areas of personnel and military equipment of Ukrainian reserves in the areas of Belopolye, Boyaro-Lezhachi, Glukhov, Krasnopolye, Novye Virki, Pokrovka, Pisarevka, Mogritsa and Yunakovka in the Sumy Region.

Ukrainian losses
- Over the past day, the enemy lost up to 300 soldiers and 26 armored vehicles, including six tanks, three armored personnel carriers, 17 armored fighting vehicles, as well as two motor vehicles, four artillery units and 2 MLRS launchers.

- During the combat operations, Ukraine lost a total of more than 4,400 servicemen, 65 tanks, 27 infantry fighting vehicles, 53 armored personnel carriers, 316 armored fighting vehicles, 133 motor vehicles, 31 artillery units, five anti-aircraft missile systems, nine multiple launch rocket systems, including three HIMARS and one MLRS, six electronic warfare stations, four pieces of engineering equipment, including two obstacle clearing vehicles and one UR-77 mine-clearing unit.

The enemy’s regrouping
- Ukrainian units in the Kursk area have already been blocked and are being flushed out of populated areas, said Major General Apty Alaudinov.
 
Satellite images of the bridge in occupied Crimea. Fortifications are being built everywhere. They have been building for a long time, they are afraid that democracy will arrive, and that the time for the Kerch bridge is coming.
 
Kumbe kweli wavamizi huko kursk wamebanwa mbavu kiasi kwamba hawawezi hata kusonga mbele.
Nasikia wanajikusanya ili wafanye shambulio maeneo mengine.


21 AUG, 14:13
Russian forces aware of where Ukraine may attack in Kursk Region, commander says

"I think they will carry out an attack in another area very soon in order to be able to move on from there," Major General Apty Alaudinov said

MOSCOW, August 21. /TASS/. Russian forces are aware of where Ukrainian troops may try to carry out an attack in the Kursk area, Major General Apty Alaudinov, commander of the Akhmat special forces commando unit, said.

"As far as I can see, they are regrouping because they have realized they cannot advance from where they are today. I think they will carry out an attack in another area very soon in order to be able to move on from there," he told Channel One.

"There are two areas where we believe an attack is possible," Alaudinov added.
 
The Ukrainian Armed Forces in Kursk liberated Vetreno, Zhebolovka and Durovka, near Korenevo. 3 more villages are under the control of the Ukrainian Defense Forces.
 
The Ukrainian Armed Forces in Kursk liberated Vetreno, Zhebolovka and Durovka, near Korenevo. 3 more villages are under the control of the Ukrainian Defense Forces.
 
Urusi Ina maswahiba wengi TU.
Mkianzisha WW111
Ndiotajua kama popo ni ndege au mnayama.

MILITARY DRILLS
21 AUG, 12:36
Russian, Mongolian forces hold first joint drill in Selenga 2024 exercise
It is repoted that the parties prepared tactical flight tasks for the helicopter crews of Russia’s Eastern Military District and the Mongolian Air Force

MOSCOW, August 21. /TASS/. The first joint training drill of the Russian-Mongolian exercise Selenga 2024 has taken place in Mongolia, Russia’s Eastern Military District said in a statement.

"The first joint training has been held at the Choibalsan training range in Mongolia. Troops of the joint group of forces from the Eastern Military District and the Mongolian Armed Forces defined a route of movement based on the training range’s terrain, and also worked out ways to organize communication and interaction. The Joint Command Staff approved common control signals for both parties," the statement reads.

"The Russian-Mongolian drills for the first time involved FPV drones. Almost all types of troops are participating in the exercise. Military servicemen from both countries are acting in a coherent and well-organized manner," the statement quoted Adam Matsiyev, chief of the joint task force, as saying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…