Kwa nini Poland hawaeleni na Russia. Kila siku Duda analia. Poland anataka nini kwa Russia, maana askali wake wanakufa sana uko Russia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi wa tisa ukiisha bila Ukraine kunyoosha mkono, basi nchi nzima sijui wataishije na baridi lote hilo, watu watakufa sana kwa baridi. Marekani+ Zelensky+ NATO hawana huruma na raia wa Ukraine.Ukraine is preparing a response with weapons of its own production to the Russian mass attack on Aug. 26, Defense Minister Rustem Umerov wrote on Facebook.
Ndio faida ya kuuza utu wako hiyo.zelensky Hana akiliKwakweli hii Hali inafikirisha sana. Adui anaonwa akikuijia, kisha waambiwa asishambuliwe mpaka akufikie!
Hata vita vilipokuwa vinaanza sasa na kufikia kipindi cha baridi mlisema hivihivi kama ukraine hataweza kuhimili kipindi cha baridi na hali itakuwa mbaya sana wananchi watakufa kwakukosa gesi, leo ni mwaka karibu wa tatu.Mwezi wa tisa ukiisha bila Ukraine kunyoosha mkono, basi nchi nzima sijui wataishije na baridi lote hilo, watu watakufa sana kwa baridi. Marekani+ Zelensky+ NATO hawana huruma na raia wa Ukraine.
Na wewe ukaamini Propaganda hizi. Nyie ndio wale mnaamini mnaposikia Israel imeshambuliwa na rocket za Hamas na kwamba hakuna aliyekufa.What Ukrainedid yesterday has never been done by any one country100 Modern Cruise Missiles, 2 Ballistic Missiles, and 99 Kamikaze Drones were shot down within only a few hours timespan by Ukrainian air defenses with no help in interceptions by foreign militaries yesterday![]()
Dub,,,,heeeWhat Ukrainedid yesterday has never been done by any one country100 Modern Cruise Missiles, 2 Ballistic Missiles, and 99 Kamikaze Drones were shot down within only a few hours timespan by Ukrainian air defenses with no help in interceptions by foreign militaries yesterday![]()
Ehhh Jamani Mbona Urusi amekasirika sana?. Muombeni Radhi Mzee wetu Putin Mwamba asieshindika ametoa kichapo ambacho makenge maji na Nyeto yote yanalia mlio.Mashambulizi makubwa kabisa yanaendelea huko ukren kuanzia usiku mpaka sasa, kuweni karibu na mitandao Kuna habari kubwa leo au kesho.