LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Muda huu ukraine itateketea kuna ndege angani nyingi

Kule baharini kuna manuari nyingi zinataka peleka kilio

Bila kusahau na drone zinataka peleka mauaji

Ukraine ichapwe tuuuu
Dah Leo Wamechezea Kichapo sio cha kawaida hivi Hawa jamaa hamna mwenye akili awambie hii nchi wataijengaje??? Leo miji yoote iko gizani kichapo kimetembea sio mchezo.
 
Leteni updates wapendwa. sisi wengine tunawania tuzo ya usomaji bora.
The Kremlin is skeptical about the talks between Russia and Ukraine, given their "loss of relevance," Russian state-controlled news agency RIA Novosti reported on Aug. 26, citing Kremlin spokesperson Dmitry Peskov.
 
Kuna ile unakua na uwezo wa kufanya kitu lakini hutaki kufanya, asio na akili anakuona kama mdhaifu hivi. Anapata kiburi na hamasa ya kukuchokoza zaidi...

Mda ukiamua kusema sasa yatosha anaanza kulalamika unamuonea.

Sidhani hata kama masaa manne yamefika ila Ukraine nzima imedunguliwa. Kiev, Odessa, Nikolaev, Zaporozhye, Zhitomir - no electricity at all.

Chini hapo ni raman ya maeneo yaliyopigwa.

View attachment 3079558

Hakuna Air defence inafanya kazi Ukraine, imetokea mara chache tu upande wa mikoa ya Vinnystia na Kiev mara chache kwasabab Air force yote imepelekwa mpakani karibu na Kursk.

Taratibu wanaanza kuelewa kwanini Mrusi aliwaacha wajazane huko Kursk.

Vita ni sanaa, ila wengi washabiki wa nje tunaendeshwa na mihemko hapa. Kelele mingiiiii haya sasa kumekucha huko.

Kwa kuitaja, mikoa iliyogusa joto la asbh ni hiyo hapo.
▪️Kirovograd
▪️Kremenchuk
▪️Vinnytsia region
▪️Kharkov
▪️Kiev
▪️Mirgorod (Poltava region)
▪️Ternopil region
▪️Poltava region
▪️Lvov region
▪️Zhytomyr region
▪️Vinnytsia region
▪️Ivano-Frankivsk region
▪️Khmelnytskyi region
▪️Odessa region
▪️Chernigov region
▪️Kharkov region
▪️Zaporozhya region
▪️Rivne region

Assume hii mikoa ingekua ya Russia, na Kursk ndio Ukraine. Kisha imagine reactions ya team flan hapa jukwaani namna ambavyo ingekua.
Aione Mapaya Kwenye Failiii...
 
Leteni updates wapendwa. sisi wengine tunawania tuzo ya usomaji bora.
For Russia, the more time that passes, it will only get worse. A new package of sanctions against Russia from the European Union is almost ready and will be released in the next few weeks after approval of the 27.
1724686471558.jpg
 
F-16s may have been hit in Russian strike on hangar in Ivano-Frankovsk — resistance

According to the report, fuel tanks were also hit in the strike

MOSCOW, August 26. /TASS/. F-16 fighters might have been hit as a hangar containing freshly provided Western aircraft was struck in Ivano-Frankovsk, Sergey Lebedev from the pro-Russian underground resistance said via Telegram.

"Not only power facilities come under attack, as a hangar with recently supplied aircraft has been hit in Ivano-Frankovsk. Two F-16s were hidden there, according to underground resistance," he wrote.

Also, fuel tanks were hit in the strike, Lebedev added. Lots of ambulances are being seen on the streets of the Ukrainian city as the military has cordoned off some of its sectors, he said.
Waliambiwa zitachomwa moto zote wanazificha kama Maiti haya sasa...Kula kitu hicho...CC mapanya
 
Ukrainian Special Forces defeated an armored attack on a military base near Krasnohorivka - mass media. According to the paratroopers, six units of Ork armored vehicles were destroyed: one tank, one armored personnel carrier and four infantry fighting vehicles.
1724698127611.jpg
 
Russian Orcs complain that the Tu-95 plane disappeared from radar when flying towards Ukraine😂😂. He picked up a gift along the way and fell. 😂😂😂😂😂😂😂😍😍😍View attachment 3079867View attachment 3079868
Sio mtaalam wa picture analysis ila hii picha ya ni ya kuunga unga. Haiwezekani ndege imeanguka na imo kwenye mlipuko wa namna hiyo halafu nyasi za zibaki kuwa intact na kijani namna hiyo. Yaani hapa mlichora moshi peke yake, mkachora vioande vya ndege peke take mkamalizia na nyasi then mkatengeneza collage mkatuletea hapa.
Panya zelensiky punguza kutupanga bana
 
Ha
Baada ya kichapo cha leo: Naombeni mnisaidie! Vipi hazifanyi kazi yake?? Au zimeisha??

Zelenskyy pleads with allies for help after deadly Russian strikes​


He says more than 100 missiles have been used, and around 100 drones, and has called upon Western allies to provide air defence resources.


Hakuna jipya kwa rusia kuishambulia ukraine ni mwaka karibu wa tatu huu. Kwahiyo hakuna la kushangaa.
 
F 16 zimekula kiberiti na marubani wake mmoja yule waliemlilia sana UK wanaswma alikua anatokea Reuters washenzi wameliwa Vichwa waliambiwa njooni lakini hamtatoka...Wanakuja tunamaliza wanaenda kuzikwa Miguu pekeee mbaafuuu
Kipicha
 

Attachments

  • Screenshot_20240826-232751.png
    Screenshot_20240826-232751.png
    416.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom