Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,795
- 9,143
Nawatumia No ya Mwamposa watume Tgo pesa kwanza zaka halafu awaombee.
Maombi sio bure pumbafff..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwanini hamna umeme kama mlizitungua hizo?? Na leo Jumanne mmetungua ngapi?? BBC wenyewe ambao ni mouth piece wenu wanalia kama fisi..kichapo kitaendelea pale hamna nchi tena..What Ukrainedid yesterday has never been done by any one country100 Modern Cruise Missiles, 2 Ballistic Missiles, and 99 Kamikaze Drones were shot down within only a few hours timespan by Ukrainian air defenses with no help in interceptions by foreign militaries yesterday![]()
Nimekosea nilitype ustaarabu wa Urusi likaja neno (Ukraine) sio uoga au udhaifu.Hii ni kweli kabisa, Ukraine wastaarabu sana!
Typing error.Hii ni kweli kabisa, Ukraine wastaarabu sana!
Kwa hiyo nchi nzima inapigwa sasa, hapo ndio imeshambuliwa sehemu ya mkoa tu majibu ni mazito sasa ukijifanya mjuaji si anakutoa ngeu.