Kuna ile unakua na uwezo wa kufanya kitu lakini hutaki kufanya, asio na akili anakuona kama mdhaifu hivi. Anapata kiburi na hamasa ya kukuchokoza zaidi...
Mda ukiamua kusema sasa yatosha anaanza kulalamika unamuonea.
Sidhani hata kama masaa manne yamefika ila Ukraine nzima imedunguliwa. Kiev, Odessa, Nikolaev, Zaporozhye, Zhitomir - no electricity at all.
Chini hapo ni raman ya maeneo yaliyopigwa.
View attachment 3079558
Hakuna Air defence inafanya kazi Ukraine, imetokea mara chache tu upande wa mikoa ya Vinnystia na Kiev mara chache kwasabab Air force yote imepelekwa mpakani karibu na Kursk.
Taratibu wanaanza kuelewa kwanini Mrusi aliwaacha wajazane huko Kursk.
Vita ni sanaa, ila wengi washabiki wa nje tunaendeshwa na mihemko hapa. Kelele mingiiiii haya sasa kumekucha huko.
Kwa kuitaja, mikoa iliyogusa joto la asbh ni hiyo hapo.
▪️Kirovograd
▪️Kremenchuk
▪️Vinnytsia region
▪️Kharkov
▪️Kiev
▪️Mirgorod (Poltava region)
▪️Ternopil region
▪️Poltava region
▪️Lvov region
▪️Zhytomyr region
▪️Vinnytsia region
▪️Ivano-Frankivsk region
▪️Khmelnytskyi region
▪️Odessa region
▪️Chernigov region
▪️Kharkov region
▪️Zaporozhya region
▪️Rivne region
Assume hii mikoa ingekua ya Russia, na Kursk ndio Ukraine. Kisha imagine reactions ya team flan hapa jukwaani namna ambavyo ingekua.