Nawatumia No ya Mwamposa watume Tgo pesa kwanza zaka halafu awaombee.
Sasa kwanini hamna umeme kama mlizitungua hizo?? Na leo Jumanne mmetungua ngapi?? BBC wenyewe ambao ni mouth piece wenu wanalia kama fisi..kichapo kitaendelea pale hamna nchi tena..What Ukrainedid yesterday has never been done by any one country100 Modern Cruise Missiles, 2 Ballistic Missiles, and 99 Kamikaze Drones were shot down within only a few hours timespan by Ukrainian air defenses with no help in interceptions by foreign militaries yesterday
Nimekosea nilitype ustaarabu wa Urusi likaja neno (Ukraine) sio uoga au udhaifu.Hii ni kweli kabisa, Ukraine wastaarabu sana!
Typing error.Hii ni kweli kabisa, Ukraine wastaarabu sana!
Kwa hiyo nchi nzima inapigwa sasa, hapo ndio imeshambuliwa sehemu ya mkoa tu majibu ni mazito sasa ukijifanya mjuaji si anakutoa ngeu.