Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Lengo la NATO ni kuicontrol URUSI, na adui namba moja wa NATO ni URUSI, na adui namba moja wa URUSI ni NATO.Labda kwa sababu huko iko bahari pande zote mbili?
Na hakuna jirani kubwa yenye silaha za nyuklia aliyewahi kuvamia nchi nyingi?
Unaonaje?
Marekani anatafuta wenye hela, yuko na Canada jirani yake wa Kaskazini ila hayuko na majirani wa Kusini. Mexico ilivamiwa na Marekani wakapigana sana mwishowe wakasaini mkataba kuachia 55% ya ardhi yao! Majimbo ya California, New Mexico, Nevada, Utah na Colorado maeneo yao yalikuwa ni sehemu ya Mexico. Ndio maana Zimmermann alituma Telegram kuwaambia Mexico waivamie Marekani wakati Ujerumani inapigana na Waingereza uko Ulaya ili WW1 ikiisha Mexico ichukue majimbo yake. Kama Ufaransa ilivyoungana na Uingereza kupigana na Ujerumani ili irudishe majimbo yake ya Alsace na Lorraine yaliyotekwa mwishoni mwa 1800s.We unadhani kwann MAREKANI asiungane na wenzake wa AMERIKA YA KUSINI na KASKAZINI kuunda UMOJA wao wa KUJIHAMI??
Huwe una leta ushahidi sio kuongea tu.Pro Putin mnajua kuwa Uwanja wa ndege wa Kherson imerejeshwa na Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russia ni Simba wa kuchora
Mkuu bora ubakie FBPro Putin mnajua kuwa Uwanja wa ndege wa Kherson imerejeshwa na Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russia ni Simba wa kuchora
Sababu za US kusita kuishambulia North Korea ni kutokana na North Korea kuwa na nukes. Hata Ukraine angekuwa na zile nukes Putin asingeingia kirahisi hivi.Mkuu siraha hazizuii uonevu,
Siraha haipigani vita ila watu ndo wanapigana vita na watu ndo wakuzuia uonevu.
Ukiwa na siraha za hatari ila vionguzi wa hovyo Ni sawa na jeshi la Simba linaloongozwa na kondoo.
Urusi anajipigia huko sababu NATO hamna kiongozi, US kaonekana sio real super power yaana Nchi inavamiwa halafu wakusaidia anakaa pembeni wanakimbilia vikwazo vya kipuuzi.
Hiyo vita ikiisha Urusi akashinda US hatakuwa Superpower Tena na vikwazo vitakuwa vimeondoka automatically.
Je unashindwa kujibu? Unakimbia kuleta mapya kila safari. Unasemaje kuhusu orodha ya nchi zilizovamiwa na Urusi na makoloni yake?Lengo la NATO ni kuicontrol URUSI, na adui namba moja wa NATO ni URUSI, na adui namba moja wa URUSI ni NATO.
Huu mzozo hauwezi isha mpaka siku NATO ikivunjika.
Magari yanagongana.Sputnik V ndio chanjo ya kwanza ya COVID-19 kutolewa sasa wanasemaje kuna technical difficulties kwenye evaluation. Vikwazo gani vinazuia evaluation ya mambo muhimu ya afya
Hivi zile zilizoshambulia pale ni rockets au artillery. Nimeona picha kwa Maxar na Planet Lab kuna madhara mengi yametokea hasa kwenye helicopters. Huu uwanja mara ya pili Ukraine wanaushambulia. Wao wenyewe waliondoka haraka Urusi ilipovamia na kutaka kuuchukua mapema iutumie kiasi waliacha silaha zao nyingi.Pro Putin mnajua kuwa Uwanja wa ndege wa Kherson imerejeshwa na Ukraine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russia ni Simba wa kuchora
Yes na hapo ndipo mzozo ulipo, USA yeye amepora maeneo mengi lkn kwakuwa ana nguvu inaonekana kawaida. Ufaransa hadi leo anatawala maeneo mengi nje ya mipaka yake kama hapo MAYOTTE nk.Marekani anatafuta wenye hela, yuko na Canada jirani yake wa Kaskazini ila hayuko na majirani wa Kusini. Mexico ilivamiwa na Marekani wakapigana sana mwishowe wakasaini mkataba kuachia 55% ya ardhi yao! Majimbo ya California, New Mexico, Nevada, Utah na Colorado maeneo yao yalikuwa ni sehemu ya Mexico. Ndio maana Zimmermann alituma Telegram kuwaambia Mexico waivamie Marekani wakati Ujerumani inapigana na Waingereza uko Ulaya ili WW1 ikiisha Mexico ichukue majimbo yake. Kama Ufaransa ilivyoungana na Uingereza kupigana na Ujerumani ili irudishe majimbo yake ya Alsace na Lorraine yaliyotekwa mwishoni mwa 1800s.
Mataifa makubwa ni weziwezi. Inabidi wawe na nguvu sawa sio mmoja ana nguvu sana kiasi anatuvamia sisi tunchi tudogo
Hawana.Wao hawana?
Boss unafikili kila Nchi ikiwa na nukes haitatokea vita Tena Duniani?Sababu za US kusita kuishambulia North Korea ni kutokana na North Korea kuwa na nukes. Hata Ukraine angekuwa na zile nukes Putin asingeingia kirahisi hivi.
Zama za mawe hizo mzee, Czechslovakia unayoisema ilikuwa ndani ya USSR.Je unashindwa kujibu? Unakimbia kuleta mapya kila safari. Unasemaje kuhusu orodha ya nchi zilizovamiwa na Urusi na makoloni yake?
This is a common propaganda during war times. Without verification it's hard to believe on its verasity. Usually the opposite sides will issue information indicating the other side has bitten more than it can chew but on the ground it might be something different.“It’s a trap, they’re cutting up our passports and sending us to the front”.
American volunteer complains of mistreatment by Ukrainian forces - those he came to fight for - and claims losses suffered by foreign volunteers are being understated by Ukrainian authorities
View attachment 2153116
"Ni mtego, wanakata pasipoti zetu na kutupeleka mbele".
Mmarekani aliyejitolea analalamika kudhulumiwa na vikosi vya Ukraine - wale aliokuja kuwapigania - na anadai hasara walizopata walofika wageni wa kujitolea zinapuuzwa na mamlaka ya Ukraine.
Waswahili uku sie tupo na tweets na media za mlengwa mmoja zikitwambia "Wanashinda" Mrusi kachakaa... Hatujiulizi wala yule "Ghost of Kyiv" yu wapi sasa... Hatujiulizi huyu "Deadliest Sniper" walomtangaza kwa mbwembwe alipopoteza uhai wake walikaa kimya...
Naleta ushahidi
This is a common propaganda during war times. Without verification it's hard to believe on its verasity. Usually the opposite sides will issue information indicating the other side has bitten more than it can chew but on the ground it might be something different.
NATO haivunjiki, tena kutokana na aggression ya Mrusi NATO members wanaboresha mifumo yao ulinzi lakini pia ambao hawakuwa wanachama wa NATO kwa sasa wanakabiliwa na mtihani mgumu, wabakie neutral na siku wakipishana na Kremlin wakubali kupewa mashartiat au watafute usalama ndani ya NATO. Kuna members wapo ndani ya NATO hawana mchango wa maana kivita, ila wapo kwenye strategic position ya kupambana kwa ukaribu na maadui wa NATO.Lengo la NATO ni kuicontrol URUSI, na adui namba moja wa NATO ni URUSI, na adui namba moja wa URUSI ni NATO.
Huu mzozo hauwezi isha mpaka siku NATO ikivunjika.
Ukrainians are very strategically...Hivi zile zilizoshambulia pale ni rockets au artillery. Nimeona picha kwa Maxar na Planet Lab kuna madhara mengi yametokea hasa kwenye helicopters. Huu uwanja mara ya pili Ukraine wanaushambulia. Wao wenyewe waliondoka haraka Urusi ilipovamia na kutaka kuuchukua mapema iutumie kiasi waliacha silaha zao nyingi.
Ila Ukraine somehow wana professionalism zile training za NATO nilizokuwa nadharau miaka iliyopita naona hazikuwa bure