mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Baada ya wiki 2 zijazo mkimuona tena Kipanya44 hapa jukwaani basi mniite Asha mitako 😂😂😂
Mkuu nakushauri tu usifikie huku kipanya huyo yeye kashajitoa ufahamu hata ukraine ikabomolewa yote haelewi we ufikiri mpaka leo anaamin bakhmut haijakombolewa na warusi, sio mtu mzuri huyo.Baada ya wiki 2 zijazo mkimuona tena Kipanya44 hapa jukwaani basi mniite Asha mitako 😂😂😂
Sema wanajeshi wa Ukraine kuna vitu itakuwa wanalishwa sio bure,yaani wanaivamia Russia kama wanaivamia SOMALI LANDWameamua kupanya flat waanze kujenga upya na ndio Ukraine walikuwa wameweka ngome yao
Uko sawa ni zaidi ya 12,000 lakini wote wamekwama yaani wamewekwa kati hawawezi kusonga mbele wala kurudi nyuma.In fact Mkuu hatujui idadi kamili ya wa Ukraine( NATO)(West)walioingia
Lakini kama ni elfu 12 Hadi kuifikia mwezi wa 10 wote watakua wamemalizwa.
Labda wawe lakini na zaidi.
Hata hivyo wanazidi kupoteza vifaa Kila siku ,Sasa sijui watawezaje kujilinda wakiwa ndani ya Kursk.
Na kadri siku zinavyozidi kwenda mbele Urusi wanazidi kuwa dhibiti zaidi na wao wanazidi kupungua nguvu,mwisho wa siku watashindwa TU.
Naongelea huko kursk.
Chanzo kimoja cha habari kinasema mji unafutwa ..WA.Ukraine Wachache waliosalia wamenukuliwa wakisema hivyoMkuu kunani huko?
Lengo kubwa ambalo halisemwi lilikuwa Ukraine wachukue kinu cha nyuklia kilichopo Kursk na hiyo mission wakashindwa.Sema wanajeshi wa Ukraine kuna vitu itakuwa wanalishwa sio bure,yaani wanaivamia Russia kama wanaivamia SOMALI LAND
Ilikuwa ya watalii
Sawa kabisa, Ukraine anateseka na ktk muktadha wako, Russia atakuwa anateseka zaidi kwani ndo mwenye "shughuli".Kelele za chura hazimzuii ndovu kunywa maji.
Ukraine inateseka na itaendelea kuteseka.
Usidhani Russia atakaa kimya pasi na kulipiza hilo shambulizi.
Tena yeye hulipiza mara dufu.
Kaa mkao wa kula usikimbie Russia akilipiza.
Supper power mwenye jeshi kubwa anakodi vipi majeshi?Lengo kubwa ambalo halisemwi lilikuwa Ukraine wachukue kinu cha nyuklia kilichopo Kursk na hiyo mission wakashindwa.
Wangechukua hicho kinu Ukraine wangekuwa na sauti kubwa na wangewalazimisha Russia waketi kwa mazungumzo.
Hicho kinu chalindwa na majeshi halisi ya Russia na si wapiganaji wa kukodiwa.
Ni part ya militarty strategy ndo maana NATO na Marekani wamtumia Zelensky badala ya kumkabili Russia wao wenyewe, ambae nae amekodi wapiganaji kutoka nchi kama Colombia.Supper power mwenye jeshi kubwa anakodi vipi majeshi?
Tafadhali bwana. Usiwaharass watakao timiza hilo.Baada ya wiki 2 zijazo mkimuona tena Kipanya44 hapa jukwaani basi mniite Asha mitako 😂😂😂
Kwanini Russia ateseke zaidi??Sawa kabisa, Ukraine anateseka na ktk muktadha wako, Russia atakuwa anateseka zaidi kwani ndo mwenye "shughuli".
....kwamba sasa hivi kaanza kulipia????....elewa neno mwenye shughuli.
Kwamba watoka kwenda kumwadhibu bwana Kosugi kwa mfano, then in that process unaanza kulipiza! .........KULIPIZA...Kwanini Russia ateseke zaidi??
Itizame Ukraine ina hali gani kesha urudi hapa.
Kuna Nini tena?Hivi mnafuatilia kinachoendelea huko Sudza, Kursk?
Wanashushiwa warusi au wa Ukraine?Shelling zinashuka kama mvua