UK = UNITED KINGDOMHuyu sio wewe!?View attachment 3093435
Sasa tokalini UK ikawa Ukraine? au ulikuwa hujanielewa vizurii mkuu?
Niliisoma vibaya I know that UK equals to UNITED KINGDOM.🙏🙏🙏UK = UNITED KINGDOM
Hofu yetu sisi mashabiki wa Urusi ni Ukraine kuendeleza vita vyake huko Kursk, sasa unaenda mwezi wa pili malengo ya Ukraine hayajafanikiwa, lakini uvamizi huu bado umweka doa au mimi ndio nattizama vibaya mkuuNaongea kwa kukusisitiza.
Kwanza unajua lengo la Ukraine kuvamia Russia!??
Malengo yalikua matatu;
-Kukamata nuclear plant iliopo Kursk ili iwe kama leverage kipindi cha majadiliano.
-Kupunguza kasi ya mashambulizi ya Russia ndani ya Ukraine.
-Kulipunguza jeshi la Russia ndani ya Ukraine na kulivuta Kursk.
Je kuna kilichofanikiwa!??
Pia nimekuuliza Russia kwa kukiwekea ulinzi kinu cha Kursk na kuweka vizuizi mji wa Sumy ambao Ukraine ndio hutumia kupitisha misaada,unavyodhani wewe anamaanisha nini??
Skynews na BBC political analysts.Hofu yetu sisi mashabiki wa Urusi ni Ukraine kuendeleza vita vyake huko Kursk, sasa unaenda mwezi wa pili malengo ya Ukraine hayajafanikiwa, lakini uvamizi huu bado umweka doa au mimi ndio nattizama vibaya mkuu
Achana na warusi, mimi nimekuuliza wewe kama wewe, Uganda ivamie Kagera alafu sisi Tanzania tuite SMO hiyo inaingiaje akilini?Dah ndugu yangu,hivi wewe na Urusi nani anajua maan ya SMO?
Wao wenyewe waniita SMO,wewe unakuja kupinga.
Hebu kuwa serious basi.
Hebu tuwaachie warusi wenyewe wanaoiona hii smo kua ni smo.
wewe mwafrika mwenzangu pamoja na ujuajibwako wote huu wa masuala ya vita,ujuaji huo wewe ama walimu wako walisomea kwa warusi wachina au wengine.
Urusi ni moja ya nchi yenye vyuo vingi sana vya kijeshi na hao hao ndio sisi tunapeleka raia wetu kwenda kusoma lkn hakuna hata Mrusi mmoja utakae mkuta kwenye vyuo vyetu hutaki acha lkn huo ndio ukweli wenyewe.
Labda kwetu chuo Cha Sanaa Bagamoyo ndio unaweza ukawakuta Warusi wanajifunza Sanaa zetu.
Kwa hiyo kama Urusi wao bado wanaoiona hii smo kua ni smo tuwaachie wao.
NYIE MNAPENDA SANA COMMENT ZA KUWAFURAHISHA MNAYOYAPENDA. MKIONA MTU ANATOA MAONI YANAYOBEBA UPANDE USIOUPENDA MNAKASIRIKA.U
Umeruka rukaaaa mwisho wa siku tumejua rangi yako na wewe.
Kumbe nawewe ni shabiki tu Bora ungebaki neutral tu.🤓
Kustahimili u-neutral katika huu Uzi ni ngumu sana hasa ukiwa unapenda kuchangia ni lazima utaonesha tu upande wako.
Lililo bora ni kuoneshe tu upande wako mapema Ili utoe ngebe huku watu tunajua wewe ni waupande upi.
Mmmmh!! Wewe kweli sio yule mchekeshaji anayeitwa SIDEDah! hata wewe pia ni mbogo unaejitia mjuaji kama wabongo wengine.
hapa umeongea mambo mengi sana ambayo wewe umeonesha unayajua, kua,IPO siku nukes zote za Urusi zitapigwa,wewe umeyaona haya hivyo unaamini kabisa Urusi hawajayaona haya.
Ingawa najua umeongea mawazo Yako TU.
Kwamba wewe umejua lakini wa Russia wasijue.
Hii bongo Kila mtu ni mjuaji aisee.
Mkosoaji na mkosolewa wote wajuaji.
Wewe unaonaje?Umeelezea mengi sana ila nakuliza, anachokofaya Putin kule Kursk ni SMO?
Wachana na WW2 ambapo USSR ilipewa misaada na marekani, kwanza USSR ilipoteza wanajeshi wengi kuliko walioshindwa vita, tuongelee vita ya Leo ambapo urusi ipo peke ake, nimekuelewa sana mkuu wangu ila ngoja tuone Putin atafanya nini kuhusu uvamizi huu wa UkraineSkynews na BBC political analysts.
Walisema kuwa uvamizi wa Ukraine ndani ya Kursk ni big blunder kwasababu zifuatazo;
-Askari waliotumiwa Kursk ni most elite force wa Ukraine,hii imesababisha kuacha maeneo mengi wazi Ukraine kwa upungufu wa man power.
-Sumy kumizuiliwa,inamaana Ukraine hatopata access ya kupeleka msaada wa chakula wala silaha ndani ya Kursk kusaidia askari waliomo.Inamaana askari wa Ukraine vitu walivyonvyo iwe silaha,madawa ama vyakula ndivyo walivyonavyo,vikiisha hawana pa kupata njia Russia wameifunga.
Nambie bro hapo Ukraine ana jipya tena!??
Hapo Kursk achana napo,Nazi Germany walipoteza askari wengi hapo Kursk vita ya pili ya dunia.
Tena walikua na jeshi kubwa kuliko.
Unajua unachokosea ni kuzifananisha mgogoro uliokua wa Tanzania na Uganda ukifananisha mgogoro wa Urusi na Ukraine hivi ni vitu viwili tofauti.Achana na warusi, mimi nimekuuliza wewe kama wewe, Uganda ivamie Kagera alafu sisi Tanzania tuite SMO hiyo inaingiaje akilini?
Wewe unaonaj
SMO ipo Ukraine sio KurskWewe unaonaje?
Kwahyo kule Kursk bado ni SMO sioUnajua unachokosea ni kuzifananisha mgogoro uliokua wa Tanzania na Uganda ukifananisha mgogoro wa Urusi na Ukraine hivi ni vitu viwili tofauti.
Tanzania tuliita vita kwa sababu ya malengo yetu yalikua kwenda kumtoa adui kwenye mipaka yetu(Kagera)
Kwetu sisi haikua smo kulingana na ukubwa wa mgogoro wenyewe ukilinganisha na uwezo wetu na uwezo wa adui.
Tanzania tulikua tunaingia vitani na nchi yenye uwezo kama sisi kijeshi na kiuchumi.
Urusi yeye aniita SMO kutokana na malengo yake na jinsi anavyojiona uwezo wake ukilinganisha na nchi anayoenda kukabiliana nayo.
Kumbuka Ukraine Ile kabla NATO hawajingilia.
Urusi Malengo yake alishayasema ni demilitarization na denazification.
Ndani yake ni kuwakomboa wananchi wa Donbas waliokua wakiteswa na serikali ya Ukraine
Wakati Ukraine kwa upande wake yeye aniita vita.
Mkuu kwa komenti hii naomba nimtetee mdau uliekua unamjibu kwa hoja yake ya uwezo wa Urusi kuifuta UK katika uso wa Dunia.Haaahaaa!! Eti UK inaweza futika na kuzamishwa. WABONGO HEBU ACHENI UJUAJI. Yaani wewe unajua kuliko Muingereza mwenyewe. Kama ingekuwa hivyo unafikiri UK angesubutu kuichokoza Russia. Kimsingi hayo mataifa makubwa ya Magharibi yameshafanya tathimini na wanajua Russia anapigika tu na wanachofanya ni hatua kwa hatua kwa kuitumia Ukraine. IPO SIKU DUNIA ITASHANGAZWA ITAKAPOSIKIA NUCLEAR PLANS ZOTE ZA RUSSIA ZIMEPIPIGWA ILI MADHARA YABAKI KWAO HUKOHUKO.
PIA KWENYE HII DUNIA MWENYE JEURI YA KUTAMBIA NUCLEAR NI MAREKANI TU MAANA NI YEYE TU AMBAYE ALIIFANYIA KAZI . WENGINE WANAWEZA KUSEMA WANA NUCLEAR LAKINI KUMBE NI TUI LA TATU LA NAZI
Dah!Kwahyo kule Kursk bado ni SMO sio
Umeeleweka boss.Niliisoma vibaya I know that UK equals to UNITED KINGDOM.🙏🙏🙏