Endelea kuamini hivyo.....na endelea kusubiriMrussi kajipanga na hakuna anaemtisha unafikiri hajui hivyo??? Zama za marekani soon zinapotea coz hata kiuchumi marekani kashaachwa na china muda sana sema data hazitoki sahihi.
Ukija kiuchumi russia anamilikia 75% ya mafuta na gas kwa Europe na nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta duniani akizuia na yeye unategemea nini?? Bei ya mafuta tayari imeshapanda. Lazima warudi mezani na mrussi ametengeneza uchumi wa kujitegemea hakuna wa kumtisha kwa sasa anajua nini anafanya sisi tusubir mwisho
Hii ndiyo maana Putin amezionya Finland na Sweden nao wakijifanya kutaka kujiunga na NATO watapigwa vibaya.
Una chekesha, time will tellMrussi kajipanga na hakuna anaemtisha unafikiri hajui hivyo??? Zama za marekani soon zinapotea coz hata kiuchumi marekani kashaachwa na china muda sana sema data hazitoki sahihi.
Ukija kiuchumi russia anamilikia 75% ya mafuta na gas kwa Europe na nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta duniani akizuia na yeye unategemea nini?? Bei ya mafuta tayari imeshapanda. Lazima warudi mezani na mrussi ametengeneza uchumi wa kujitegemea hakuna wa kumtisha kwa sasa anajua nini anafanya sisi tusubir mwisho
Ngoja tusubiri tuone itakuwaje. Kumbe nguvu ya Urusi si kama tulivyoaminishwa
Mrusi hajajipanga kiuchumi.. Huwezi kupeleka nchi vitani kukiwa na mdororo wa uchumi kidunia kufuatia janga la covid19.Mrussi kajipanga na hakuna anaemtisha unafikiri hajui hivyo??? Zama za marekani soon zinapotea coz hata kiuchumi marekani kashaachwa na china muda sana sema data hazitoki sahihi.
Ukija kiuchumi russia anamilikia 75% ya mafuta na gas kwa Europe na nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta duniani akizuia na yeye unategemea nini?? Bei ya mafuta tayari imeshapanda. Lazima warudi mezani na mrussi ametengeneza uchumi wa kujitegemea hakuna wa kumtisha kwa sasa anajua nini anafanya sisi tusubir mwisho
Adriz,Nilikuwa nikiperuzi na freebasic hivyo sikuona chochote , ngoja niiicheki.
Minsk Agreement I and II of Belarus hauwezi kutekelezeka kwasababu Russia anasema yeye ni mwangalizi wa amani na sio gaidi...!!!!Mkataba wa Minsk uliosainiwa sijui miaka mingapi iliweka wazi kwamba NATO haitaendelea kujitanua kuelekea upande wa Urusi hivyo kitendo cha NATO kutaka kupokea Ukraine ni kuvunja mkataba huo.
unachekesha kwakweli😀😀😀Unashangaa hayo, mbona hushangai Israel akisaidiwa na mmarekani wamegonga mwamba kwa palestrina
Gadafi alishachokwa kama umesoma vizuri history of North Africa hasa mambo ya 2011 Arabs spring utakuwa umeelewaAchana na huyo nanga! Wanaiona Ukraine ndiyo binadamu halisi kuliko watoto walioko Goma, kivu, Darfur, Tigray, mozambique, Nigeria, n.k?
Gaddafi alipopigwa kwenye ardhi ya Africa walilaani kama wafanyavyo sasa?
Mrusi hajajipanga kiuchumi.. Huwezi kupeleka nchi vitani kukiwa na mdororo wa uchumi kidunia kufuatia janga la covid19.
Pia hii sio kama ile ya 2014 ya Crimea Peninsula. Ukrain ni Nchi kubwa ambayo kuiwekea kibaraka pale ni ngumu. Ukrain wenyewe kwa sasa wanautaka umoja wa Ulaya na sio Urusi..
Mkuu dinia ya sasa sio ya Maguvu Bali ni akili. Huu no mtego kwa Mrusi na (japo Ukraine anaumia zaidi) Mataifa ya Magharibi na Marekani ni wajanja sana.Mrussi kajipanga na hakuna anaemtisha unafikiri hajui hivyo??? Zama za marekani soon zinapotea coz hata kiuchumi marekani kashaachwa na china muda sana sema data hazitoki sahihi.
Ukija kiuchumi russia anamilikia 75% ya mafuta na gas kwa Europe na nchi ya 2 kwa uzalishaji mafuta duniani akizuia na yeye unategemea nini?? Bei ya mafuta tayari imeshapanda. Lazima warudi mezani na mrussi ametengeneza uchumi wa kujitegemea hakuna wa kumtisha kwa sasa anajua nini anafanya sisi tusubir mwisho
Si ajabu kihiivyo. 2003 IRAQ alipambana na USA na washirika wake 16 jumla wakawa 17Kwahiyo kwasasa Nchi ndogo ya Ukraine inapambana na nchi 3;
1.Urusi
2.Belarus
3.Chechnya.
Hii ni Aibu kubwa Sana. Ukraine kumbe Wanajeshi imara kweli kweli.
Yaani mtu na ajili zake ,imagine![emoji848]JAMAAANI kama umeshidwa kuchangia si unaacha tu mmmmh mmezoea kwenye maguroup yenu ya fecebook unaleta ujinga huku
Ni wajinga wachache jamaa kajipanga vilivyoBado kuna watu wanaamini Russia hajafanya Assesment yoyote kabla ya kuingia Ukrane
Hivi Ukraine si ni nchi huru?Chanzo ni Ukraine kukubali kujiunga na NATO lakini sio hilo tu kingine ni kukubali marekani na NATO kuingiza silaha zao ndani ya nchi ya Ukraine
Kama unavyojua Russia na Ukraine ni majirani na hawezi kukubali kuona silaha za maadui zake NATO na marekani zinakuja karibu
Huko ni kuhatarisha usalama wake
So anajilinda ndio maana anamwambia Ukraine ajiondoe NATO na asiruhusu silaha kuingia Ukraine.
Kingine ni watu wenye asili ya urusi wa majimbo ya Donetsk na luhanski waliopo ndani ya Ukraine wanaotaka kujitenga na Ukraine na kujiunga na Russia