Wanajeshi 13,400 ni wengi sana, vijana na wazee Ukraine wanaisha wakati huo Marekani na washirika wake wanachekelea tu.Ndege tatu za Ukraine zimekula vumbi leo
Unachekesha sana muite, angalia dude hilo la kudungua satellite S- 550Atazifikiaje hizo satellite. Ni vema mkajua umbali uliopo huko juu zilipo satellite. Labda afanikiwe kuharibu vituo vinavyoendesha hizo satellite
Ilifanyq kazi wapi ikatungu satelliteUnachekesha sana muite, angalia dude hilo la kudungua satellite S- 550
View: https://youtu.be/DSmNrW-Ex8A?si=ssFSQkLCJQ9EkgRr
Zaidi ya askari 45,000 wa Ukraine waliingia Kursk kwa awamu mbalimbaliIdadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaouliwa Kursk kutokana na taarifa mnazopost hapa itafikia hatua inazidi idadi ya Wanajeshi wa Ukraine mliosema wameingia Kursk huku mkisema njia zote za kutoka na kuingia zimefungwa.
Sijui mtaanza kurudi nyuma au lahaa; hapo bado hmjasema wale waliotekwa...yaani wanajeshi wanaouliwa wanakwenda kwa figure kama pesa 12000, 13000, 13200.
Serikali ichunguze akili za wananchi wake.
Vipi Bado Ukraine amevamia Urusi!?? Amefika wapi!??.....Mdiyo mkuu
Ila kumbuka Ukrane anaelekea mwezi mmoja tangu tangu aivamie rasimi Russia
Subiri na yeye ifike miaka 2 kama ilivyo uvamizi kwa Russia ndani ya aridhi ya Ukrane halafu tuje tulinganishe uyasemayo
Hivi NATO iliundwa kujihami dhidi ya Nani!?? ..... Mbona Urusi ameomba kujiunga nao mara kibao wanakataa!?? Hivyo wanajihami dhidi ya Burundi!?? .....Kama ni ushabiki urusi ni washabiki sana na mifano ipo ya wachangiaji.
Umetoka kwenye kushinda Vita mpk chanzo cha vitaUnafahamu chanzo Cha vita ya Korea? Nani alianza kumvamia mwenzake?
Subiria utaona.Ilifanyq kazi wapi ikatungu satellite
unashindwa kuelewa ya kwamba wanasonga mbele kuelekea ukraine nahio imeshindikana nako wanaliwa vichwa kipanya kachanganyikiwa🤣🤣🤣🤣 ivi ujachoka tu kuokoteza habari kwenye vijiwe vya kahawa.yani wenzako wanaikimbia Kurks, wewe unaleta taarifa ya kwamba wanasonga mbele.we kweli unachekesha😂😂😂😂