LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaouliwa Kursk kutokana na taarifa mnazopost hapa itafikia hatua inazidi idadi ya Wanajeshi wa Ukraine mliosema wameingia Kursk huku mkisema njia zote za kutoka na kuingia zimefungwa.
Sijui mtaanza kurudi nyuma au lahaa; hapo bado hmjasema wale waliotekwa...yaani wanajeshi wanaouliwa wanakwenda kwa figure kama pesa 12000, 13000, 13200.
Serikali ichunguze akili za wananchi wake.
 
Zaidi ya askari 45,000 wa Ukraine waliingia Kursk kwa awamu mbalimbali
 
🤣🤣🤣🤣 ivi ujachoka tu kuokoteza habari kwenye vijiwe vya kahawa.yani wenzako wanaikimbia Kurks, wewe unaleta taarifa ya kwamba wanasonga mbele.we kweli unachekesha😂😂😂😂
unashindwa kuelewa ya kwamba wanasonga mbele kuelekea ukraine nahio imeshindikana nako wanaliwa vichwa kipanya kachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom