Zero 2 Hero
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 532
- 1,072
Hata mwanzo kabla ya mobilization Ukraine na washirika wake hawakuwahi kuitambia hii kama SMO bali kama vita. Labda tuelimishane tofauti ya SOM na Full scale War ni nini ili wote tuwe kwenye uelewa unaofananaNyie jamaa ni mahafidhina aisee (mahaba yenu kwa Putin yamepindukia) na mobilization yote Ile bado hamuoni full scale war ?....
Hebu nenda kasome vizuri tena, hilo eneo wanatoa watu wote wawili, Ukraine na Urusi.Hii ni mara ya pili urusi anaamisha raia huko Kursk ikiwa na maana Ukraine anazidi kusonga mbele na uwanja wa mapigano unaongezeka
Kila nchi inakuwa na limit ya idadi ya askari, kupitia hii vita ukiashilia kufa na kutumia au ulemavu, wamebadilisha doctrine na police ya reserve and active unit, ambayo by default hakiwezi kuanza leo wala kesho sababu lazima kitakuwa na budget ishu.================
Russia is fighting a Full Scale war in Ukraine.
Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.Hata mwanzo kabla ya mobilization Ukraine na washirika wake hawakuwahi kuitambia hii kama SMO bali kama vita. Labda tuelimishane tofauti ya SOM na Full scale War ni nini ili wote tuwe kwenye uelewa unaofanana
Kwa hiyo wewe na Urusi nani anajua zaidi maana ya smo?Inawezekana ikawa nikweli mkuu, lakini SMO inayotumia zaidi ya wanajeshi million kwa kwa pande zote mbili? Hii inawezekana inaizidi hata vita ya Korea, ila ngoja tuone itakavokuwa
Wabondo huwa wajuaji sana. Yaani mkazi wa Kimara Baruti anajua mambo ya Urusi kuliko Mrusi mwenyewe.Kwa hiyo wewe na Urusi nani anajua zaidi maana ya smo?
Tatizo la watanzania bado ni lilelile.
Kwa hiyo wewe unataka kuwalazimsha Urusi kile ambacho wewe unakitaka?Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.
Full-scale war na special military operation zinatofautiana kwa mambo haya makuu:
1. Ukubwa wa Operesheni:
Full-Scale War: Vita kamili inayohusisha matumizi ya vikosi vyote vya kijeshi (nchi kavu, anga, baharini), pamoja na rasilimali zote za taifa. Ni vita ambavyo huathiri nchi nzima.
Special Military Operation: Ni operesheni ndogo za kijeshi, zinazolenga malengo maalum, mara nyingi zikihusisha vikosi maalum au operesheni za siri. Ni za kiwango kidogo zaidi.
2. Malengo:
Full-Scale War: Lengo ni kushinda vita kwa ujumla, kuharibu uwezo wa adui kijeshi, kudhibiti maeneo, au kubadilisha uongozi wa adui.
Special Military Operation: Lengo ni kufanikisha malengo maalum, kama kudhibiti tishio maalum, kulinda maslahi ya kitaifa, au kufanikisha malengo ya kisiasa bila kuingia kwenye vita vikubwa.
3. Athari kwa Raia na Uchumi:
Full-Scale War: Huathiri raia kwa kiasi kikubwa, kwani inaweza kuhusisha mashambulizi ya moja kwa moja kwenye miji, miundombinu, na uchumi wa taifa.
Special Military Operation: Inajaribu kuepuka madhara makubwa kwa raia na miundombinu, ikilenga shughuli za kijeshi kwa tahadhari zaidi.
4. Muda:
Full-Scale War: Huchukua muda mrefu na inaweza kuendelea kwa miaka, kulingana na uhusiano wa nguvu za kijeshi.
Special Military Operation: Mara nyingi ni ya muda mfupi au wa kati, ikifanyika haraka ili kufanikisha malengo maalum.
5. Siasa na Diplomasia:
Full-Scale War: Inaweza kusababisha athari kubwa za kidiplomasia, kama kuvunjika kwa mahusiano ya kimataifa au hata vita vya kanda nzima.
Special Military Operation: Mara nyingi inafanywa bila kutangazwa rasmi kama vita, ikiendeshwa kwa namna isiyovutia tahadhari kubwa ya kimataifa. (Kwa hisani ya Chatgpt).
==============
Urusi inapigana na Ukraine Full scale war na sio SMO.
Gagnija TUJITEGEMEE
Mimi nimesema inawezekana, maana yake mimi sijui kuwazidi hao wakubwa wenyewe, Mbona unataka kunifundisha namna ya kuandika erooKwa hiyo wewe na Urusi nani anajua zaidi maana ya smo?
Tatizo la watanzania bado ni lilelile.
😂😂🤣🤣🙏Mimi nimesema inawezekana, maana yake mimi sijui kuwazidi hao wakubwa wenyewe, Mbona unataka kunifundisha namna ya kuandika eroo
Hapo juu umefafanua vizuri. Full scale war inahusisha madhara kwa Taifa lote wakati SMO inalenga malengo maalumu.Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.
Full-scale war na special military operation zinatofautiana kwa mambo haya makuu:
Na hapa upo Sahihi, Russia anavikosi vingi vya kijeshi vikihusisha vikosi vya nyuklia na kadhalika. Kuonyesha hii si full scale war Russia haijatumia vikosi hivi vya nyuklia zaidi ya kuviweka tayari kama taratibu za kijeshi zilivyo si kwa Russia tu Hata nchi nyingine. Ndiyo maana NATO Kila Mwaka wanafanya mazoezi ya kijeshi pembezoni mwa Russia. Pia kuonyesha hii si full war, Askari wote wa Russia (rasilimali zote za Taifa) hawatumiki kwenye SMO hii.1. Ukubwa wa Operesheni:
Full-Scale War: Vita kamili inayohusisha matumizi ya vikosi vyote vya kijeshi (nchi kavu, anga, baharini), pamoja na rasilimali zote za taifa. Ni vita ambavyo huathiri nchi nzima.
Special Military Operation: Ni operesheni ndogo za kijeshi, zinazolenga malengo maalum, mara nyingi zikihusisha vikosi maalum au operesheni za siri. Ni za kiwango kidogo zaidi.
Russia hajabadiri uongozi wa Ukraine, pia ameamu kudhibiti maeneo maalumu Donobasi, Crimea, na Yale majimbo mawili kulinda raia wenye asili ya Russia. Hii inadhibitisha ni SMO2. Malengo:
Full-Scale War: Lengo ni kushinda vita kwa ujumla, kuharibu uwezo wa adui kijeshi, kudhibiti maeneo, au kubadilisha uongozi wa adui.
Special Military Operation: Lengo ni kufanikisha malengo maalum, kama kudhibiti tishio maalum, kulinda maslahi ya kitaifa, au kufanikisha malengo ya kisiasa bila kuingia kwenye vita vikubwa.
Russia anaepuka kuumiza raia wa Ukraine ndiyo maana anapiga miundombinu ya kijeshi na Ile inayosaidia miundo mbinu ya kijeshi kama Umeme, na vituo vya reli nakadhalika. Hii yote inakupa ushahidi wa SMO3. Athari kwa Raia na Uchumi:
Full-Scale War: Huathiri raia kwa kiasi kikubwa, kwani inaweza kuhusisha mashambulizi ya moja kwa moja kwenye miji, miundombinu, na uchumi wa taifa.
Special Military Operation: Inajaribu kuepuka madhara makubwa kwa raia na miundombinu, ikilenga shughuli za kijeshi kwa tahadhari zaidi.
Hapa Sasa utatakiwa urudi kwenye drawing board utunge attributes mpya za Full scale war(FSW). FSW umesema kuondoa utawala, na kuchukua muda mrefu. Hivi kilichotokea Yugoslavia na Georgia ilikuwa SMO ama FSW?4. Muda:
Full-Scale War: Huchukua muda mrefu na inaweza kuendelea kwa miaka, kulingana na uhusiano wa nguvu za kijeshi.
Special Military Operation: Mara nyingi ni ya muda mfupi au wa kati, ikifanyika haraka ili kufanikisha malengo maalum.
Hapa umesema vyema pia. SMO ndiyo iliopo kwenye viunga vya Ukraine kwa sababu hakuna uhusiano uliovunjika baina ya mataifa. Ndiyo maana Russia bado anamuuzia bidhaa US, ndiyo maana Russia bado anauza bidhaa Ulaya (Hungary nadhalika). Pia Ndiyo maana Balozi wa Russia bado wapo kwenye nchi za Magharibi na Balozi wa Magharibi bado wapo Russia!5. Siasa na Diplomasia:
Full-Scale War: Inaweza kusababisha athari kubwa za kidiplomasia, kama kuvunjika kwa mahusiano ya kimataifa au hata vita vya kanda nzima.
Special Military Operation: Mara nyingi inafanywa bila kutangazwa rasmi kama vita, ikiendeshwa kwa namna isiyovutia tahadhari kubwa ya kimataifa. (Kwa hisani ya Chatgpt).
Kwa maelezo hayo hapo juu niliyokupatia Russia bado anadunda na SMO yake.
👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯Hapo juu umefafanua vizuri. Full scale war inahusisha madhara kwa Taifa lote wakati SMO inalenga malengo maalumu.
SMO ya Russia malengo yake ni maalumu ambayo ni Demilitarization and Denazification!!!
Demilitarization imeshafanikiwa pakubwa, elites military personnel wengi wa Ukraine walisha'lazwa'. Ndiyo maana sophisticated military hardware kwenye front line zinafanywa na So called mercenaries wakati ni askari wa NATO. Sweden watakupa udhibitisho wa hili.
Na hapa upo Sahihi, Russia anavikosi vingi vya kijeshi vikihusisha vikosi vya nyuklia na kadhalika. Kuonyesha hii si full scale war Russia haijatumia vikosi hivi vya nyuklia zaidi ya kuviweka tayari kama taratibu za kijeshi zilivyo si kwa Russia tu Hata nchi nyingine. Ndiyo maana NATO Kila Mwaka wanafanya mazoezi ya kijeshi pembezoni mwa Russia. Pia kuonyesha hii si full war, Askari wote wa Russia (rasilimali zote za Taifa) hawatumiki kwenye SMO hii.
Russia hajabadiri uongozi wa Ukraine, pia ameamu kudhibiti maeneo maalumu Donobasi, Crimea, na Yale majimbo mawili kulinda raia wenye asili ya Russia. Hii inadhibitisha ni SMO
Russia anaepuka kuumiza raia wa Ukraine ndiyo maana anapiga miundombinu ya kijeshi na Ile inayosaidia miundo mbinu ya kijeshi kama Umeme, na vituo vya reli nakadhalika. Hii yote inakupa ushahidi wa SMO
Hapa Sasa utatakiwa urudi kwenye drawing board utunge attributes mpya za Full scale war(FSW). FSW umesema kuondoa utawala, na kuchukua muda mrefu. Hivi kilichotokea Yugoslavia na Georgia ilikuwa SMO ama FSW?
Hivi lengo la Denazification (ideology) unaweza kulitimiza kwa muda mfupi chini ya mwaka?
Hapa sikubaliani na attributes hizi.
Hapa umesema vyema pia. SMO ndiyo iliopo kwenye viunga vya Ukraine kwa sababu hakuna uhusiano uliovunjika baina ya mataifa. Ndiyo maana Russia bado anamuuzia bidhaa US, ndiyo maana Russia bado anauza bidhaa Ulaya (Hungary nadhalika). Pia Ndiyo maana Balozi wa Russia bado wapo kwenye nchi za Magharibi na Balozi wa Magharibi bado wapo Russia!
Pia hakuna vita vya Kanda vilivyotangazwa bali ni vita vya kikundi cha nchi kama 30 hivi dhidi ya nchi moja (Russia) ingekuwa ni vita kati ya makundi mawili ya nchi zilizoungana ingekuwa vita ya kikanda. Hivyo, hakuna FSW bali SMO
Kwa maelezo hayo hapo juu niliyokupatia Russia bado anadunda na SMO yake.
Karibu