LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Nyie jamaa ni mahafidhina aisee (mahaba yenu kwa Putin yamepindukia) na mobilization yote Ile bado hamuoni full scale war ?....
Hata mwanzo kabla ya mobilization Ukraine na washirika wake hawakuwahi kuitambia hii kama SMO bali kama vita. Labda tuelimishane tofauti ya SOM na Full scale War ni nini ili wote tuwe kwenye uelewa unaofanana
 
Hii ni mara ya pili urusi anaamisha raia huko Kursk ikiwa na maana Ukraine anazidi kusonga mbele na uwanja wa mapigano unaongezeka
Hebu nenda kasome vizuri tena, hilo eneo wanatoa watu wote wawili, Ukraine na Urusi.

Kwa concept yako kwamba Urusi ana evacuate kwa kushindwa, na yeye Ukraine anawatoa hapo watu kwa upande wake naye ameshindwa ama!?
It's like Namanga border, upande wa Tz uwaambie raia watoke na Kenya awaambie raia atoke, inakuwa inaashiria eneo hilo inaenda kutokea Clashes
 
Kila nchi inakuwa na limit ya idadi ya askari, kupitia hii vita ukiashilia kufa na kutumia au ulemavu, wamebadilisha doctrine na police ya reserve and active unit, ambayo by default hakiwezi kuanza leo wala kesho sababu lazima kitakuwa na budget ishu.
Tofautisha kuongeza idadi na mobilisation
 
Hata mwanzo kabla ya mobilization Ukraine na washirika wake hawakuwahi kuitambia hii kama SMO bali kama vita. Labda tuelimishane tofauti ya SOM na Full scale War ni nini ili wote tuwe kwenye uelewa unaofanana
Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.
Full-scale war na special military operation zinatofautiana kwa mambo haya makuu:

1. Ukubwa wa Operesheni:

Full-Scale War: Vita kamili inayohusisha matumizi ya vikosi vyote vya kijeshi (nchi kavu, anga, baharini), pamoja na rasilimali zote za taifa. Ni vita ambavyo huathiri nchi nzima.

Special Military Operation: Ni operesheni ndogo za kijeshi, zinazolenga malengo maalum, mara nyingi zikihusisha vikosi maalum au operesheni za siri. Ni za kiwango kidogo zaidi.

2. Malengo:

Full-Scale War: Lengo ni kushinda vita kwa ujumla, kuharibu uwezo wa adui kijeshi, kudhibiti maeneo, au kubadilisha uongozi wa adui.

Special Military Operation: Lengo ni kufanikisha malengo maalum, kama kudhibiti tishio maalum, kulinda maslahi ya kitaifa, au kufanikisha malengo ya kisiasa bila kuingia kwenye vita vikubwa.

3. Athari kwa Raia na Uchumi:

Full-Scale War: Huathiri raia kwa kiasi kikubwa, kwani inaweza kuhusisha mashambulizi ya moja kwa moja kwenye miji, miundombinu, na uchumi wa taifa.

Special Military Operation: Inajaribu kuepuka madhara makubwa kwa raia na miundombinu, ikilenga shughuli za kijeshi kwa tahadhari zaidi.

4. Muda:

Full-Scale War: Huchukua muda mrefu na inaweza kuendelea kwa miaka, kulingana na uhusiano wa nguvu za kijeshi.

Special Military Operation: Mara nyingi ni ya muda mfupi au wa kati, ikifanyika haraka ili kufanikisha malengo maalum.

5. Siasa na Diplomasia:

Full-Scale War: Inaweza kusababisha athari kubwa za kidiplomasia, kama kuvunjika kwa mahusiano ya kimataifa au hata vita vya kanda nzima.

Special Military Operation: Mara nyingi inafanywa bila kutangazwa rasmi kama vita, ikiendeshwa kwa namna isiyovutia tahadhari kubwa ya kimataifa. (Kwa hisani ya Chatgpt).

==============

Urusi inapigana na Ukraine Full scale war na sio SMO.

Gagnija TUJITEGEMEE
 
Kwa hiyo wewe na Urusi nani anajua zaidi maana ya smo?
Tatizo la watanzania bado ni lilelile.
Wabondo huwa wajuaji sana. Yaani mkazi wa Kimara Baruti anajua mambo ya Urusi kuliko Mrusi mwenyewe.
Kuna mkazi mmoja humu jf nadhani anajiita Kp Kipanya 44 , siku moja humu alikuja na taarifa ya Kikao cha Zeleinsky na NATO hadi nikaogopa, yaani alivyoandika nikahisi huenda yeye ndiye alikuwa katibu wa kikao hicho, Maana aliyoandika hakuna media yoyote iliyoripoti.

TUNA KIPAJI KIKUBWA SANA KWA KWELI
 
Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.
Full-scale war na special military operation zinatofautiana kwa mambo haya makuu:

1. Ukubwa wa Operesheni:

Full-Scale War: Vita kamili inayohusisha matumizi ya vikosi vyote vya kijeshi (nchi kavu, anga, baharini), pamoja na rasilimali zote za taifa. Ni vita ambavyo huathiri nchi nzima.

Special Military Operation: Ni operesheni ndogo za kijeshi, zinazolenga malengo maalum, mara nyingi zikihusisha vikosi maalum au operesheni za siri. Ni za kiwango kidogo zaidi.

2. Malengo:

Full-Scale War: Lengo ni kushinda vita kwa ujumla, kuharibu uwezo wa adui kijeshi, kudhibiti maeneo, au kubadilisha uongozi wa adui.

Special Military Operation: Lengo ni kufanikisha malengo maalum, kama kudhibiti tishio maalum, kulinda maslahi ya kitaifa, au kufanikisha malengo ya kisiasa bila kuingia kwenye vita vikubwa.

3. Athari kwa Raia na Uchumi:

Full-Scale War: Huathiri raia kwa kiasi kikubwa, kwani inaweza kuhusisha mashambulizi ya moja kwa moja kwenye miji, miundombinu, na uchumi wa taifa.

Special Military Operation: Inajaribu kuepuka madhara makubwa kwa raia na miundombinu, ikilenga shughuli za kijeshi kwa tahadhari zaidi.

4. Muda:

Full-Scale War: Huchukua muda mrefu na inaweza kuendelea kwa miaka, kulingana na uhusiano wa nguvu za kijeshi.

Special Military Operation: Mara nyingi ni ya muda mfupi au wa kati, ikifanyika haraka ili kufanikisha malengo maalum.

5. Siasa na Diplomasia:

Full-Scale War: Inaweza kusababisha athari kubwa za kidiplomasia, kama kuvunjika kwa mahusiano ya kimataifa au hata vita vya kanda nzima.

Special Military Operation: Mara nyingi inafanywa bila kutangazwa rasmi kama vita, ikiendeshwa kwa namna isiyovutia tahadhari kubwa ya kimataifa. (Kwa hisani ya Chatgpt).

==============

Urusi inapigana na Ukraine Full scale war na sio SMO.

Gagnija TUJITEGEMEE
Kwa hiyo wewe unataka kuwalazimsha Urusi kile ambacho wewe unakitaka?
Kwa kifupi bado hawajatangaza vita kamili,naomba tuheshinu mipango Yao.
 
Russia Hits Energy Infrastructure Supporting Ukraine's Military-Industrial Complex
17.09.2024

According to the Russian Defense Ministry, air defenses also shot down a US-made HIMARS rocket and 36 drones over the past day.
Russian forces carried out strikes on Ukraine's energy facilities that supply the military-industrial complex, the Ministry of Defense has reported. Weapons and ammunition depots were also hit.
 
Ukraine Loses Over 14,200 Soldiers During Operation in Kursk Area - MoD
34 minutes ago
17.09.2024

MOSCOW (Sputnik) - The Russian armed forces have eliminated more than 14,200 Ukrainian soldiers and 119 tanks during military operations in the border areas of the Kursk Region, the Russian Ministry of Defense (MoD) said on Tuesday.
"Since the beginning of hostilities in Kursk region, the Armed Forces of Ukraine have lost more than 14,200 troops, 119 tanks, 45 infantry fighting vehicles, 91 armored personnel carriers, 743 armored fighting vehicles, 445 motor vehicles, 103 artillery guns," the ministry said in a statement.
Over the past 24 hours, Kiev has lost up to 400 soldiers in battles in the Kursk Region, the ministry said.
 
😁👉 The Reason Russia is Complaining is that According to Lavrov, Lavrov, the United States and NATO are directly involved in the conflict, including not only by supplying weapons, but also by training personnel in the UK, Germany, Italy, and other countries The Kremlin stated that 👈🤨😁👉 They no Longer Have Space in Their Museum for The New Tanks and Future Downed NATO F16 Fighter 🇺🇸 jets Like 🇫🇷 Dassault and 🇬🇧 British Tornados and Shot Down🇫🇷🇩🇪 Storm Shadow Missiles;A Verifiable Future Condition in Real Time at Museums and Hope the U.N Will Help Them Reduce Occupancy of Space in Their Museums by Sanctions of Western and U.S Weapons to Nazi🇺🇦Ukraine😲😜 .🤔💯🤫Too Much Junk😁😏
 
Top Russian, North Korean diplomats discuss developing ties, strategic partnership

MOSCOW, September 17. /TASS/. Russian Foreign Minister Sergey Lavrov and his North Korean counterpart Choe Son Hui discussed the development of bilateral relations within the framework of the comprehensive strategic partnership at a meeting in Moscow, the Foreign Ministry said in a statement.

**********************************

Four Chinese warships to enter Vladivostok after drills with Russia — Foreign Ministry

The flotilla consists of the destroyers Xining and Wuxi, the frigate Linyi, and the support vessel Taihu

MOSCOW, September 17. /TASS/. A four-ship flotilla from the Chinese People's Liberation Army (PLA) Northern Fleet is set to arrive in Vladivostok following joint exercise with Russia, the local Foreign Ministry’s office announced.
 
Austrian military analyst predicts Ugledar will likely fall as Russian forces gain ground

Colonel Markus Reisner said Russian troops are trying to strengthen their strikes on the flanks of Krasnoarmeysk
BERLIN, September 16. /TASS/. The city of Ugledar will probably fall as Russian forces continue to advance, overcoming Ukrainian resistance, Austrian military analyst Colonel Markus Reisner told NTV television.
 
Ha ha haa,
Wameshaanza kurukana,kukanana,kukwepana,kutosana.

NATO imeanza kuwatenga Wanachama wake mmojammoja kua mtu akiruhusu kombora lake kutupwa ndani ya Urusi,NATO haihisiki.
Yaani Kwa lugha nyingine ni kwamba,Urusi akiiipiga nchi hiyo NATO haitaingilia,NATO haimo,NATO haihusiki.

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
16 SEP, 19:55

NATO not to become conflict side if West authorizes Kiev to strike at Russia — Stoltenberg

According to the Secretary General, NATO closely monitors what Russia is doing in its nuclear posture

BRUSSELS, September 16. /TASS/. NATO will not become a party to the Ukrainian conflict if its member states authorize Kiev to strike at Russian territory with Western-made weapons, NATO Secretary General Jens Stoltenberg said in an interview with Foreign Policy, livestreamed on its website.

"This is not correct when President Putin says that we will become party to the conflict," Stoltenberg claimed.

He also added that NATO does not consider Iran and North Korea parties to the conflict over the alleged military aid to Moscow.

According to the Secretary General, NATO closely monitors what Russia is doing in its nuclear posture.

"So far, we haven't seen any changes in their nuclear posture that require any changes from our side," he said, pointing out that there will be no winners in a nuclear war.

Previously, Russian President Vladimir Putin told reporters that Ukraine is incapable of carrying out strikes deep into Russian territory without help from the West, because such strikes require satellite intelligence and flight missions. The Russian leader noted that NATO countries are currently not merely discussing whether to allow Ukraine to use their long-range weapons, but are essentially deciding whether to become directly involved in the Ukrainian conflict. He noted that Moscow will make decisions based on the threats posed to Russia.
 
MILITARY OPERATION IN UKRAINE
17 SEP, 17:57
Kennedy Jr., Trump Jr. call for direct talks with Russia on Ukraine

"Nuclear war would mean the end of civilization as we know it, maybe even the end of the human species," they said
WASHINGTON, September 17. /TASS/. Donald Trump Jr., a son of Republican candidate Donald Trump, and Robert F. Kennedy Jr., a former independent candidate for US president, have called for talks with Russia on Ukraine amid threats of a nuclear war.

"It is past time to de-escalate this conflict. This is more important than any of the political issues our nation argues about. Nuclear war would mean the end of civilization as we know it, maybe even the end of the human species," they wrote in an article for The Hill newspaper.

"We need to demand, right now, that [Democratic candidate Kamala] Harris and President [Joe] Biden reverse their insane war agenda and open direct negotiations with Moscow," they emphasized.
 
Kursk :Mtego wa Ukraine uliowanasa wenyewe.

MILITARY OPERATION IN UKRAINE
17 SEP, 17:23
Zaluzhny objected to attacking Russia’s Kursk Region — media

Russia’s tactical successes and ongoing offensive in Donbass cause big losses in the Ukrainian army, Politico said, citing the Ukrainian military

BRUSSELS, September 17. /TASS/. Ukraine’s former army commander-in-chief, Valery Zaluzhny, was against Ukraine’s operation in Russia’s borderline Kursk Region, the Politico news outlet said, citing unnamed high-ranking Ukrainian officers.

According to these sources, Zaluzhny strongly objected to invading Russia’s territory due to the lack of a clear plan of action after the border was breached. He never received a clear answer from Ukrainian President Vladimir Zelensky about the Ukrainian army’s further actions and thought it was a reckless step, they said.

Russia’s tactical successes and ongoing offensive in Donbass cause big losses in the Ukrainian army, Politico said, citing the Ukrainian military. This has forced Ukrainian Commander-in-Chief Alexander Syrsky to begin redeploying some of army units from the Kursk Region to the special military operation zone.
 
Kwa kifupi, full-scale war inahusisha mapambano makubwa na madhara kwa taifa lote, wakati special military operation inalenga malengo maalum na hufanywa kwa kiwango kidogo zaidi na tahadhari zaidi.
Full-scale war na special military operation zinatofautiana kwa mambo haya makuu:
Hapo juu umefafanua vizuri. Full scale war inahusisha madhara kwa Taifa lote wakati SMO inalenga malengo maalumu.
SMO ya Russia malengo yake ni maalumu ambayo ni Demilitarization and Denazification!!!
Demilitarization imeshafanikiwa pakubwa, elites military personnel wengi wa Ukraine walisha'lazwa'. Ndiyo maana sophisticated military hardware kwenye front line zinafanywa na So called mercenaries wakati ni askari wa NATO. Sweden watakupa udhibitisho wa hili.
1. Ukubwa wa Operesheni:

Full-Scale War: Vita kamili inayohusisha matumizi ya vikosi vyote vya kijeshi (nchi kavu, anga, baharini), pamoja na rasilimali zote za taifa. Ni vita ambavyo huathiri nchi nzima.

Special Military Operation: Ni operesheni ndogo za kijeshi, zinazolenga malengo maalum, mara nyingi zikihusisha vikosi maalum au operesheni za siri. Ni za kiwango kidogo zaidi.
Na hapa upo Sahihi, Russia anavikosi vingi vya kijeshi vikihusisha vikosi vya nyuklia na kadhalika. Kuonyesha hii si full scale war Russia haijatumia vikosi hivi vya nyuklia zaidi ya kuviweka tayari kama taratibu za kijeshi zilivyo si kwa Russia tu Hata nchi nyingine. Ndiyo maana NATO Kila Mwaka wanafanya mazoezi ya kijeshi pembezoni mwa Russia. Pia kuonyesha hii si full war, Askari wote wa Russia (rasilimali zote za Taifa) hawatumiki kwenye SMO hii.
2. Malengo:

Full-Scale War: Lengo ni kushinda vita kwa ujumla, kuharibu uwezo wa adui kijeshi, kudhibiti maeneo, au kubadilisha uongozi wa adui.

Special Military Operation: Lengo ni kufanikisha malengo maalum, kama kudhibiti tishio maalum, kulinda maslahi ya kitaifa, au kufanikisha malengo ya kisiasa bila kuingia kwenye vita vikubwa.
Russia hajabadiri uongozi wa Ukraine, pia ameamu kudhibiti maeneo maalumu Donobasi, Crimea, na Yale majimbo mawili kulinda raia wenye asili ya Russia. Hii inadhibitisha ni SMO
3. Athari kwa Raia na Uchumi:

Full-Scale War: Huathiri raia kwa kiasi kikubwa, kwani inaweza kuhusisha mashambulizi ya moja kwa moja kwenye miji, miundombinu, na uchumi wa taifa.

Special Military Operation: Inajaribu kuepuka madhara makubwa kwa raia na miundombinu, ikilenga shughuli za kijeshi kwa tahadhari zaidi.
Russia anaepuka kuumiza raia wa Ukraine ndiyo maana anapiga miundombinu ya kijeshi na Ile inayosaidia miundo mbinu ya kijeshi kama Umeme, na vituo vya reli nakadhalika. Hii yote inakupa ushahidi wa SMO
4. Muda:

Full-Scale War: Huchukua muda mrefu na inaweza kuendelea kwa miaka, kulingana na uhusiano wa nguvu za kijeshi.

Special Military Operation: Mara nyingi ni ya muda mfupi au wa kati, ikifanyika haraka ili kufanikisha malengo maalum.
Hapa Sasa utatakiwa urudi kwenye drawing board utunge attributes mpya za Full scale war(FSW). FSW umesema kuondoa utawala, na kuchukua muda mrefu. Hivi kilichotokea Yugoslavia na Georgia ilikuwa SMO ama FSW?
Hivi lengo la Denazification (ideology) unaweza kulitimiza kwa muda mfupi chini ya mwaka?

Hapa sikubaliani na attributes hizi.
5. Siasa na Diplomasia:

Full-Scale War: Inaweza kusababisha athari kubwa za kidiplomasia, kama kuvunjika kwa mahusiano ya kimataifa au hata vita vya kanda nzima.

Special Military Operation: Mara nyingi inafanywa bila kutangazwa rasmi kama vita, ikiendeshwa kwa namna isiyovutia tahadhari kubwa ya kimataifa. (Kwa hisani ya Chatgpt).
Hapa umesema vyema pia. SMO ndiyo iliopo kwenye viunga vya Ukraine kwa sababu hakuna uhusiano uliovunjika baina ya mataifa. Ndiyo maana Russia bado anamuuzia bidhaa US, ndiyo maana Russia bado anauza bidhaa Ulaya (Hungary nadhalika). Pia Ndiyo maana Balozi wa Russia bado wapo kwenye nchi za Magharibi na Balozi wa Magharibi bado wapo Russia!

Pia hakuna vita vya Kanda vilivyotangazwa bali ni vita vya kikundi cha nchi kama 30 hivi dhidi ya nchi moja (Russia) ingekuwa ni vita kati ya makundi mawili ya nchi zilizoungana ingekuwa vita ya kikanda. Hivyo, hakuna FSW bali SMO
==============

Urusi inapigana na Ukraine Full scale war na sio SMO.

Gagnija TUJITEGEMEE
Kwa maelezo hayo hapo juu niliyokupatia Russia bado anadunda na SMO yake.

Karibu
 
Hapo juu umefafanua vizuri. Full scale war inahusisha madhara kwa Taifa lote wakati SMO inalenga malengo maalumu.
SMO ya Russia malengo yake ni maalumu ambayo ni Demilitarization and Denazification!!!
Demilitarization imeshafanikiwa pakubwa, elites military personnel wengi wa Ukraine walisha'lazwa'. Ndiyo maana sophisticated military hardware kwenye front line zinafanywa na So called mercenaries wakati ni askari wa NATO. Sweden watakupa udhibitisho wa hili.

Na hapa upo Sahihi, Russia anavikosi vingi vya kijeshi vikihusisha vikosi vya nyuklia na kadhalika. Kuonyesha hii si full scale war Russia haijatumia vikosi hivi vya nyuklia zaidi ya kuviweka tayari kama taratibu za kijeshi zilivyo si kwa Russia tu Hata nchi nyingine. Ndiyo maana NATO Kila Mwaka wanafanya mazoezi ya kijeshi pembezoni mwa Russia. Pia kuonyesha hii si full war, Askari wote wa Russia (rasilimali zote za Taifa) hawatumiki kwenye SMO hii.

Russia hajabadiri uongozi wa Ukraine, pia ameamu kudhibiti maeneo maalumu Donobasi, Crimea, na Yale majimbo mawili kulinda raia wenye asili ya Russia. Hii inadhibitisha ni SMO

Russia anaepuka kuumiza raia wa Ukraine ndiyo maana anapiga miundombinu ya kijeshi na Ile inayosaidia miundo mbinu ya kijeshi kama Umeme, na vituo vya reli nakadhalika. Hii yote inakupa ushahidi wa SMO

Hapa Sasa utatakiwa urudi kwenye drawing board utunge attributes mpya za Full scale war(FSW). FSW umesema kuondoa utawala, na kuchukua muda mrefu. Hivi kilichotokea Yugoslavia na Georgia ilikuwa SMO ama FSW?
Hivi lengo la Denazification (ideology) unaweza kulitimiza kwa muda mfupi chini ya mwaka?

Hapa sikubaliani na attributes hizi.

Hapa umesema vyema pia. SMO ndiyo iliopo kwenye viunga vya Ukraine kwa sababu hakuna uhusiano uliovunjika baina ya mataifa. Ndiyo maana Russia bado anamuuzia bidhaa US, ndiyo maana Russia bado anauza bidhaa Ulaya (Hungary nadhalika). Pia Ndiyo maana Balozi wa Russia bado wapo kwenye nchi za Magharibi na Balozi wa Magharibi bado wapo Russia!

Pia hakuna vita vya Kanda vilivyotangazwa bali ni vita vya kikundi cha nchi kama 30 hivi dhidi ya nchi moja (Russia) ingekuwa ni vita kati ya makundi mawili ya nchi zilizoungana ingekuwa vita ya kikanda. Hivyo, hakuna FSW bali SMO

Kwa maelezo hayo hapo juu niliyokupatia Russia bado anadunda na SMO yake.

Karibu
👏👏👏👏💪💪💪💪💪💪💪✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️✔️👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
 
kp kipanya44 upo?? Hii ni jana! Halafu ni wachambuzi wabobevu kutoka magharibi!

Russian forces recently advanced near Toretsk and Pokrovsk and southwest of Donetsk City.

September 17, 2024, 6:35pm ET

Back
Top Bottom