Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Mkuu wewe ulitaka hizo Nchi zikubali kwa njia ya mdomo tu au ??,kwani hujui kwamba Historian inaonesha Himaya za Nchi kama USA,USSRA na Nchi zingine nyingi zilifanikiwa Ku expand maeneo kwa njia ya vita??Kaka samahani, history book yako kutoka wapi??
1) Ukraine haina silaha za kushambulia nchi kama Urusi, kinyume walikabidhi kwa hiari yao silaha za nyuklia kwa Urusi (iliyoahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine daima)
2. Je kati ya mipaka ya Urusi ni nchi ngapi za NATO? Mipaka ya Rusi inagusana kwenye 6 % za urefu wake na nchi za NATO. (kama Urusi isingechukua ardhi ya Finland na Ujerumani, ingekuwa sehemu ndogo zaidi; ni hapa tu KArelia inagusana kidogo na Norwei na Kaliningrag inapogusana na Poland na Lithuania, tzoite mbili hazikuw maeneo ya Kirusi kabla ya 1945
3. Vita za Urusi dhidi ya nchi nyingine:
a) Urusi imepanuka na kujenga milki ya koloni ambazo ziko nyingi hadi leo (ila ajabu Waafrika wengi hawaelewi): Siberia yoote ilivamiwa na kuchukuliwa kama makoloni ya Urusi katika karne zilizopita;
Nchi zote za Asia ya Kati (ambazo zimepata uhuru mwaka 1991) zilikuwa koloni za Urusi tangu karne ya 19; nchi za Kaukazi (Azerbaijan, Georgia, Chechnia, Armenia, Cherkesia) zilivamiwa katika karne ya 19 kwa damu nyingi;
1939 Urusi ilivamia Poland (pamoja na Ujerumani) na Finland;
1940 ilivamia Estonia, Latvia na Lithuania
1953 ilituma majeshi kukandamiza mapinduzi katika Ujerumani Mashariki
1956 ilituma jeshi kukandamiza uhuru wa Hungaria
1968 ilituma jeshi kukandamiza uhurui wa Chekoslovakia
1994/96 na 1999/2009 ilipiga vita kukomesha uhuru wa Chechnya
Si ajabu majirani wengi wana mashaka kuhusu Urusi na ahadi zake.
Kweli kipindi ichi mmejua kulishwa matangi pori
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] That's why nikaamua kumzoom kwanza reputation yake... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna comment moja hapo anasema Assad kwa kusaidiwa na Russia, daesh na magaidi wengine waliharibu Syria imekuwa nchi ya njaa tupu!? Alivyo hana aibu.
Kweli katika kuharibika kwa Syria USA & Co. Wasihusike kbs na badala yake mzigo apewe Putin!? Tena anawekwa kundi moja na daesh na magaidi wengine. Duh! Ama kweli mapenzi upofu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Zote hizoo ni ela za walipa kodi [emoji848][emoji848][emoji848]Biden said the United States will transfer $1 billion in defense aid to Ukraine this week.
Here's what he says it includes:
- 800 anti-aircraft systems;
- Air defense of a larger range and ammunition for them;
- 9 thousand anti-tank systems;
- 7 thousand units of small arms;
- 20 million ammunition;
- drones.
Galip SV Liwagu View attachment 2153295
Unajua watu wanadhani URUSI ni kikundi kama SELEKA, M23, BOKO HARAM nk. Wanasahau wana vifaa hatari zaidi.Ndoto iyo ya mchana kweupe.kurudisha tu sehemu walizochukua Warusi iyo sahau labda Warusi wenyewe waamue kuondoka.
Hizo Republics zitaona Russia iko weak na Putin ana mambo mengi ya kuzingatia zitaanza kutaka kujitenga na vile zinajua kuna msaada wa Westerns. Endapo vikwazo vitaibana sana Russia watapata shida within. Kina Dagestan na Chechen republics sio kwamba wanapenda sana kuwa within Russian FederationJeshi la Ukraine limejiimarisha kwa muda mfupi sana baada ya vita, Nina wasiwasi baada ya Vita wakajiimalisha zaidi na hata kuunda Some sort of Weapons of Mass Destruction.
I don't know how many wars Russia itabidi ibigane na nchi jirani au some republics ndani ya Russia
Then it's world war |||The United States will transfer $1 billion worth of defense assistance to Ukraine this week, Joe Biden said.
The new military aid includes 800 air defense systems and 9,000 anti-tank systems, the US president said.
In addition, it will include 7 thousand small arms, 20 million ammunition and drones.
Galip SV Liwagu View attachment 2153284
kuliko wale wezi wa kuku? wwfuatilia rt wala usijichoshe huwezi furahi maana umechagua upande wako ungekuw neutral sawa ningekuelewaKweli kipindi ichi mmejua kulishwa matangi pori
Zamani ipi hiyo unaizungumzia?Asante ila nisahihishe kidogo: vita ya Putin imeleta hatari na kupanda kwa bei. Maana kumjibu kwa vikwazo - sanctions ni njia ya kirafiki ya kumjibu mhuni anayevunja amani na sheria ya kimataifa.
Zamani angeona tu jibu la kijeshi ambayo ingekuwa hatari zaidi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mkuu historia ina desturi ya kujirudia, before USA, UK ndio alikuwa SUPER POWER, nakuhakikishia huu ndio mwanza wa mwisho wa USUPER POWER WA USA.Hizo Republics zitaona Russia iko weak na Putin ana mambo mengi ya kuzingatia zitaanza kutaka kujitenga na vile zinajua kuna msaada wa Westerns. Endapo vikwazo vitaibana sana Russia watapata shida within. Kina Dagestan na Chechen republics sio kwamba wanapenda sana kuwa within Russian Federation