Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
sijachukulia poa mkuu ,Russia ni taifa la pili kwa uwezo wa kijeshi akitanguliwa na US,shida unaposema anaweza kumpiga US ,sijui umetumia vigezo vipi.Hakuna ambacho Russia anacho ambacho US hana.Pia kiuchumi kaachwa mbali sana ufahamu kuwa uchumi ni muhimu ukiwa vitani.Tatizo lako unachukulia poa nchi ya urusi
USA awezi vita huo ndiyo ukweli hata vita vya pili vya dunia aliye mshinda Germany ni mrussi ...marekani ni mzuri kwa vita vya ukibaraka tu ila siyo kuingia front mwenyewe pia siyo mzuri kwenye vita ambavyo vinapigwa hadi nyumbani mwake ....urussi ndiyo baba wa vita duniani yeye anaweza kukushinda vita hata upige mabomu milioni ndani ya nchi yake na kuchukua nusu ya ardhi yake ..katika vita ya pili ya dunia takwimu zipo wazi kuwa katika kila askari 20 wa ujerumani walio uliwa 18 waliuliwa na jeshi la urusi RED ARMY .. wawili 2 tu ndiyo waliuliwa na USA panoja na UK na UFARANSA NK..ukubwa wa uchumi unafanya kazi tu kwenye vita ndogo ..ila kwenye vita kubwa hakuna hiyo KANUNI ...kama kwa sasa urussi na ukrain ndiyo ilitskiwa NATO NA USA wafsnikiwe kumsumbua urusi ila wameshindwa ..vinapokuja vita kamili vya dunia swala la uchumi linakuwa nikama 0 ..ushindi wa vita unakuwa nje ya mambo ya uchumi ...kitu cha kwanza kuteketea kwenye vita vya dunia ni uchumi mnakuwa kama sawa tu ..wengi mnadhani vita vya dunia vikitokea uchumi unabaki salama ..moja ya vitu vinavyo angamizwa ni uchumisijachukulia poa mkuu ,Russia ni taifa la pili kwa uwezo wa kijeshi akitanguliwa na US,shida unaposema anaweza kumpiga US ,sijui umetumia vigezo vipi.Hakuna ambacho Russia anacho ambacho US hana.Pia kiuchumi kaachwa mbali sana ufahamu kuwa uchumi ni muhimu ukiwa vitani.
mkuu kumbuka hapo ilikua USSRUSA awezi vita huo ndiyo ukweli hata vita vya pili vya dunia aliye mshinda Germany ni mrussi ...marekani ni mzuri kwa vita vya ukibaraka tu ila siyo kuingia front mwenyewe pia siyo mzuri kwenye vita ambavyo vinapigwa hadi nyumbani mwake ....urussi ndiyo baba wa vita duniani yeye anaweza kukushinda vita hata upige mabomu milioni ndani ya nchi yake na kuchukua nusu ya ardhi yake ..katika vita ya pili ya dunia takwimu zipo wazi kuwa katika kila askari 20 wa ujerumani walio uliwa 18 waliuliwa na jeshi la urusi RED ARMY .. wawili 2 tu ndiyo waliuliwa na USA panoja na UK na UFARANSA NK
Mkuu mwezi unaisha huu kuna mtu alisema tumuite Aisha mitako endapo mwezi ukiisha na Ukraine bado yupo KurskZimebaki siku takriban 41 Ili tuweze kujua mwelekeo na hatma ya hii vita
Tanzania tulipigana vita uganda unakata kusema bila ya zanzibar tusinge shinda ? Ussr na urusi ya sasa hakuna tofauti ni kama zanzibar ijitenge kwa tanganyika ..pia kumbuka USSR SIYO STRONG KULIKO URUSSI YA SASA + WASHIRIKA WAKE mfano URUSSI NA CHINA TU NI ZAIDI YA USSRmkuu kumbuka hapo ilikua USSR
Tutajie udhalimu wao hizo nchi ulizotaja!?Kama ni wadhalimu ni mtazamo wako na nauheshimu. Ila hiyo haiondoi ukweli wangu na NATo kuwa Russia, China, North Korea na Iran ni mataifa dhalimu.
Crimea hakulipua na long range missiles.usichoelewa hizo long-range tayari anazo shida ni kupiga ndani ya russia,unadai zitakua guided na US-satelite kwan alivyopiga crimea zilikua guided na satelite za wap
Ukraine is already using long-range missiles, fighter aircraft and other high-grade weaponry provided by its Western allies to hit Russian targets in Crimea and other occupied areas inside Ukraine.Crimea hakulipua na long range missiles.
Alitumia rockets.
🤣🤣Mkuu mwezi unaisha huu kuna mtu alisema tumuite Aisha mitako endapo mwezi ukiisha na Ukraine bado yupo Kursk
Haha muda wa kutimiza ahadi huu😂
Daah, wewe kweli ni mtoto wa shule! Hivi kwako weweMark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Huwa anakuja kuchungulia na kusepa zake kimyakimyaHaha muda wa kutimiza ahadi huu😂
Nadhani Watu Wengi mnadhani Urusi ni kama Afrika na kwamba wale wanaoiongoza Urusi ni hamnazo kabisaa kama huku!!!Mark my word. Putin na Russia LAZIMA waanguke. Mwaka 1945 baada ya WWI NATO iliweka malengo ya kuisambaratisha USSR and allies na wakafanikiwa miaka 45 baadae yaani mwaka 1990. Sasa hivi wameweka malengo ya "kuisambaratisha kabisa" Russia. Wakati wewe unaangalia leo, NATO imaangalia mbele zaidi. Hakuna Taifa dhalimu litabaki SALAMA katika dunia ya wastaarabu!?
Tupe takwimu za watu kuhamia mataifa mbali mbali kusaporti madai yako.Inategemea na mtazamo wako. Ukiwaona Putin na Kiduku na nchi zao ni wastaarabu sawa. Ukiwaona USA na wapambe wake wa Ulaya Magharibi ni wastaarabu nayo sawa. By the way, kwanini wahamiaji ni wengi zaidi Marekani na Ulaya Magharibi na sio Russia, Korea Kaskazini na China? Ukinijibu hapo ndio utajua maana ya ustaarabu ninaouzungumzia! Ahahahahaha!!!!
Mkuu,unaishi sayari gani.., Ukraine ameshamkung'uta urusi huku akimnyang'anya na kulikalia kimabavu eneo la urusi lenye ukubwa unaokaribiana na mkoa wa dareslamUzuri ni kwamba siku akipigwa urusi hakutakuwa na kitu kinachoitwa maisha Tena hapa duniani