Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin fake?
 
Mbona ile hotuba ya kawaida kaka, hotuba ya kuwatisha raia ni ile ya PUTIN kusema atatoa msaada mkubwa zaidi UKRAINE akipunguza bajet ya CIVID nk
 
Ninachoweza kukuhakikishia, hata ukifika miaka 150, hii Marekani utaiacha ikiwa superpower hivi hivi.
 
Then it's world war |||
Hakuna WW3 hapa. Marekani inapeleka hizo silaha zinapitishwa mipakani ambapo majeshi ya Russia hayana contact na Ukrainians. Hakuna engagement baina yao itatokea. Labda Urusi ivamie kina Poland na hata hivyo haina ubavu dhidi yao ikileta nukes sio yenyewe tu inazo. Haihitajiki NATO nzima kuizuia Urusi.

Ukraine wanapewa air defense systems angani Russia anapata upinzani mkali. Wanaongezewa drones na kuna munitions za kupiga misururu ya magari
 
[emoji635][emoji1255][emoji779]Rosgvardiya took the Kakhovskaya hydroelectric power station under guard, the Ukrainian side surrendered it without a fight, the local paramilitary guards laid down their arms and went home - department

[emoji635][emoji1255][emoji779]Rosgvardiya imechukua kituo cha umeme cha Kakhovskaya "under guard", upande wa Kiukreni ulisalimu amri bila mapigano, walinzi wa jeshi la eneo hilo waliweka silaha zao chini na kwenda nyumbani - Report toka idara.
 
Kwani kikosi ni nini?
Idadi gani ya askari ifikie ndio kiitwe kikosi?
Liaison office kule Austria utafananisha na ushirikiano uliopo Ukraine? Kweli!
Hivi hoja zako ulizisoma kweli kabla hujaandika?
Unaweza kuelezea uwepo wa bio labs zaidi ya 30 ndani ya Ukraine!?
Hivi unaifahamu hili sio jambo la juzi
 
Video ya leo ikionesha rubani wa ndege ya kivita wa jeshi la Russia akiingia kwenye ndege na kwenda kushambulia targets ndani ya Ukraine. Watu 20,000 wame-like video, huku wengine kibao wakisifia kazi nzuri na ya lazima ya kulinda usalama wa nchi ya Russia ifanywayo na wanajeshi wa Russia nchini Ukraine


 
[emoji635][emoji1255][emoji298]The Russian Ministry of Defense showed a missile and artillery depot in the Kherson region that came under the control of the Russian military: there are more than 10 thousand boxes with F-1 grenades, hundreds of boxes with shots for anti-tank grenade launchers, thousands with cartridges - this will be handed over to the forces of the DPR and LPR

[emoji635][emoji1255][emoji298]Wizara ya Ulinzi ya Urusi imeonyesha ghala la kombora na silaha katika eneo la Kherson ambalo kwa sawa lipo chini ya udhibiti wa jeshi la Urusi: kuna zaidi ya masanduku elfu 10 na mabomu ya F-1, mamia ya masanduku yenye risasi za "anti-tank grenade launchers" maelfu na cartridges - Silaha hizo zitakabidhiwa kwa vikosi vya DPR na LPR
 
Ndugu mpendwa, ukiwa mtaalamu hapa:
sema ni kweli Urusi iliahidi kuheshimu mipaka ya Ukraine na kutunza usalama wake katika mkataba wa 1994 au la???
Ni sawa kusema kwamba uvamizi wa sasa unavunja mkataba na ahadi hiyo?
Hapana ila kutaka kujiunga na NATO ndio kulivunja huo mkataba.
 
Mkono wake una nini?
 
Putin juzi alishaonya kwamba atashambulia misafaraya inayo leta misaada Ukraine,we unafikiri Russia hawawezi kuona hizo movements za misafara ya hizo various Eid ambazo US anataka kuprovide kwa Zelensk.
 
Hapana ila kutaka kujiunga na NATO ndio kulivunja huo mkataba.
Kumbe huujui mkataba huu. Hujawahi kuuangalia. soma hapa. Ukraine ina haki zake za kujiamulia, hakuna vikwazo. Ukraine haijafanya kitu chochte cha kushambulia Urusi, haiko NATO wala NATO haiko Ukraine.
Urusi umevunja mkataba wake tangu 2014.
Hii sababu kwamba majirani yake hawaamini Urusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…