MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Mkubwa, embu niambie tofauti yake ikiwa issue ni kukaa madarakani kwa muda mrefu?Ahahahahaha! Dogo unachanganya Ufalme na uongozi wa kuchagiliwa? Ahahahahaha!! Mbona hujazungumzia Uwaziri Mkuu ambao unapigiwa kura? Ahahahahaha! Tena kwa Uingereza inatwa Constitutional Monarchy. Sijui unaelewa maana yake?
Ahahahahaha!!USA ni nchi ya matakoni wachache sana hasa wamiliki wa viwanda vya siraha Hilo ndo ukweli ndo maana bajeti Yao kubwa Ipo kwenye kununua silaha za kivita
Dah!Mkubwa, embu niambie tofauti yake ikiwa issue ni kukaa madarakani kwa muda mrefu?
Ikiwa uchaguzi hata Vladimir Vladimilovich Putin anapigiwa kura.
Inaenda kuanguka wana wameshaingia mpaka City Center.The battles for Ugledar became one of the bloodiest for Moscow during the entire war, - Forbes.
The publication notes that during the two years of fighting for Vugledar, the Armed Forces of Ukraine destroyed approximately two brigades of equipment - that is, 6% of all equipment that Muscovy has lost since the beginning of the large-scale invasion of the territory of UkraineView attachment 3109172.
Dah!
Sifa za ufalme ni kwamba raia hawana uwezo wa kuchagua kiongozi wao, haijalishi atakuja kilaza wa namna gani?Usikute na mimi ningekwepa umande ningeandika kama alivyoandika huyo jamaa.
Embu taja elimu yako kijanaUsikute na mimi ningekwepa umande ningeandika kama alivyoandika huyo jamaa.
Ushawahi jiuliza wananchi wa kawaida wananufaika vipi na vita ambayo USA inapigana kuziangusha serikali nyingine au wananufaika vipi na mamilioni ya fedha yanayotengwa kueneza kampeni za ushoga duniani kote ndo maana maRais wapenda amani kama Trump wanapigwa sana vita na globalist?Ahahahahaha!!
Hakuna F16 hata Moja iliyobakiAmmunition za kutosha kutumika takriban miezi mitatu na jeshi la urusi zimechakazwa na drones za Ukraine shekhe,amka!
Russia rattles the nuclear sabre again, as Ukraine devastates its munitions
Ukraine may have destroyed three months’ worth of Russian ammunition in one night using its drones.www.aljazeera.com
Russia angepiga huyu Kenge
mkuu unaongea nnUchumi ndio unapigana au jeshi? Kwa hio sababu Kikwete ana fedha nyingi hawezi kupigwa na raia wa kawaida tu?
Naongea ambacho kipo, unaweza kuwa na mahela mengi ila still ukachapika.mkuu unaongea nn
Unaongea na pang'ang'a kaka.Kwa kifupi,haya mambo yako juu ya uwezo wako wakufikiri,umejaza comments kibao humu ndani,you are logical less, you don't even know why this war happens, you doesn't even know the background of NATO &RUSSIA.
You don't have even capability to question your self, % kubwa ya majirani wa Russia mostly wameshajiunga na NATO na Umoja wa ulaya,but RUSSIA doesn't take any action, lakini kwa Ukraine RUSSIA ame take action, do you know why?? .
Nimefuatilia majibizano yako humu ndani na baadhi ya watu nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa hauji hata kwanini NATO ilianzishwa,hauji pia nikwanini members wengi wa NATO wanatoka ukanda Russia ilipo ,umeshajiuliza the founder na kiranja wa NATO USA anatoka bara la America lakini asilimia 95 ya members wa NATO wanatoka ulaya ,do you know why??
USA na NATO wana base nyingi sana za kijeshi Duniani (Africa, Asia na s.America) lakini huoni akizishawishi hzo nchi alizo weka base zake wajiunge na NATO,do you know why? .
Rudi tena kwenye maktaba yako,soma vzuri History background ya Cold War, kuvunjika kwa USSR ,mvutano wa Cuba ,USA na Russia nini kilitokea ? Unayajua makubaliano ya Russia na USA juu ya makombora ya nuclear pale Cuba?.
Vita ya NATO na Russia ndani ya ardhi ya Ukraine was inevitable, zelensky and Ukraine is a NATO military branch purposely for Russia.