LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Ahahahahaha! Dogo unachanganya Ufalme na uongozi wa kuchagiliwa? Ahahahahaha!! Mbona hujazungumzia Uwaziri Mkuu ambao unapigiwa kura? Ahahahahaha! Tena kwa Uingereza inatwa Constitutional Monarchy. Sijui unaelewa maana yake?
Mkubwa, embu niambie tofauti yake ikiwa issue ni kukaa madarakani kwa muda mrefu?

Ikiwa uchaguzi hata Vladimir Vladimilovich Putin anapigiwa kura.
 
The battles for Ugledar became one of the bloodiest for Moscow during the entire war, - Forbes.
The publication notes that during the two years of fighting for Vugledar, the Armed Forces of Ukraine destroyed approximately two brigades of equipment - that is, 6% of all equipment that Muscovy has lost since the beginning of the large-scale invasion of the territory of UkraineView attachment 3109172.
Inaenda kuanguka wana wameshaingia mpaka City Center.
Soon utasikia liberated
 

Usikute na mimi ningekwepa umande ningeandika kama alivyoandika huyo jamaa.
Sifa za ufalme ni kwamba raia hawana uwezo wa kuchagua kiongozi wao, haijalishi atakuja kilaza wa namna gani?

Head of state pale Uingereza ni mfalme, Spain, Denmark na Ubelgiji, Sweden na Norway, Canada, Australia.

Huyu mtu raia hawawezi kumwajibisha kwa lolote.

Unasema Demokrasia?
Unajua maana demokrasia?
Au Ile demokrasia Yao ni ya vipande vipande?
Usikute na mimi ningekwepa umande ningeandika kama alivyoandika huyo jamaa.
Embu taja elimu yako kijana
 
Naam, ni zaidi ya elf Moja na mianne walilambishwa mchanga Jana 🥱 🥱 🥱 🥱 🥱
1727511380071.jpg
 
BECAUSE OF THE RUSSIAN INVASION IN UKRAINE- NATO will have its headquarters in the Finnish city of Mikkeli, which is approximately 140 km from the border and 300 km from Saint Petersburg in Russia.
1727520440127.jpg
 
Kwa kifupi,haya mambo yako juu ya uwezo wako wakufikiri,umejaza comments kibao humu ndani,you are logical less, you don't even know why this war happens, you doesn't even know the background of NATO &RUSSIA.

You don't have even capability to question your self, % kubwa ya majirani wa Russia mostly wameshajiunga na NATO na Umoja wa ulaya,but RUSSIA doesn't take any action, lakini kwa Ukraine RUSSIA ame take action, do you know why?? .

Nimefuatilia majibizano yako humu ndani na baadhi ya watu nimejiridhisha pasipo na shaka kuwa hauji hata kwanini NATO ilianzishwa,hauji pia nikwanini members wengi wa NATO wanatoka ukanda Russia ilipo ,umeshajiuliza the founder na kiranja wa NATO USA anatoka bara la America lakini asilimia 95 ya members wa NATO wanatoka ulaya ,do you know why??

USA na NATO wana base nyingi sana za kijeshi Duniani (Africa, Asia na s.America) lakini huoni akizishawishi hzo nchi alizo weka base zake wajiunge na NATO,do you know why? .

Rudi tena kwenye maktaba yako,soma vzuri History background ya Cold War, kuvunjika kwa USSR ,mvutano wa Cuba ,USA na Russia nini kilitokea ? Unayajua makubaliano ya Russia na USA juu ya makombora ya nuclear pale Cuba?.

Vita ya NATO na Russia ndani ya ardhi ya Ukraine was inevitable, zelensky and Ukraine is a NATO military branch purposely for Russia.
Unaongea na pang'ang'a kaka.
Hana uelewa wa kukielewa ulichokieleza.
 
Back
Top Bottom