LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mimi Sina elimu ndio maana siwezi kubeza muungano mkubwa kama wa BRICS.
Sasa wewe unaebeza onesha uwezo wako kwa vitendo.
Ndio ni kweiKuna nchi ndani ya BRICS zina migogoro je BRICS Haipo?
Au nani kawawekea bunduki vichwani ili wakubali kukaa pamoja ndani ya BRICS?
Ukiona wamo ujue wameona faida yake.
Wewe ni nani hata uwapangie kuwemo licha ya tofauti zao?
Eti muungano wa BRICS hautadumu,yaani umekaa kiutabiritabiri TU.
Leo hii BRICS Ina miaka zaidi ya 20 na Kila siku Kuna nchi zinaomba kujiunga
Bongo noma sana.
⬇️

When was BRICS formed and why?

Economist Jim O'Neill created the term BRIC in 2001 (for Brazil, Russia, India, and China) with the belief that these economies would dominate global growth by 2050. The BRICS nations offered a source of foreign expansion for firms and strong returns for institutional investors.
 
Wewe Mtanzania wa Mwandiga unaona BRICS ni Kikoba wakati Marais,mawaziri wa nje,mawaziri wa Fedha na wachumi wa nchi hizi wanatamani kujiunga.
Ama kweli bongo Ina wataaalam wasioonekana kwa macho ya kawaida.
⬇️
WHICH NATIONS WANT TO JOIN BRICS AND WHY?
Over 40 countries, including Iran, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Argentina, Algeria, Bolivia, Indonesia, Egypt, Ethiopia, Cuba, Democratic Republic of Congo, Comoros, Gabon, and Kazakhstan have expressed interest in joining the forum, according to 2023 summit chair South Africa.
They view BRICS as an alternative to global bodies viewed as dominated by the traditional Western powers and hope membership will unlock benefits including development finance, and increased trade and investment.
 
Bricks iliundwa ili kutafuta njia ya kuleta mageuzi katika taasisi za kifedha za kimataifa kama IMF na WB kwa nchi zinazoibukia kiuchumi, bahati mbaya sana imefeli hasa kwa nchi za Africa % kubwa zinategemea IMF na WB
 
Urussi kashavuliwa nguo..ila hataki kuchutama
 
U Umemjibu vizuri sana kwa Tanzania mtu akishaa jua ka theory cha demand and supply basi anajua kila kitu kwa maswala ya uchumi duniani hawezi kumwambia kitu kingien na kamwe hawezi kuamini kua dollar inaweza kuwa na mbadla yeye ni kupinga pinga tu
 
U
Umemjibu vizuri sana kwa Tanzania mtu akishaa jua ka theory cha demand and supply basi anajua kila kitu kwa maswala ya uchumi duniani hawezi kumwambia kitu kingien na kamwe hawezi kuamini kua dollar inaweza kuwa na mbadla yeye ni kupinga pinga tu
Bado hatuoni mbadala, hiyo bricks migogoro kibao ndio ije kutunishiana misuli na G7? upo curious kweli
 
Vladimir Putin submitted to the State Duma a bill on ratification of the treaty on comprehensive strategic partnership between the Russian Federation and the DPRK.
================

je saa mbovu imeanza kuongea ukweli?
 
Urusi ikigundua kuwa sehemu ni muhimu na atapoteza wanajeshi wengi kuichukua basi anachofanya ni kutupia mabomu mazito mengi iwezekanavyo na kulitwaa eneo usika bila pingamizi
 
Duh ! Hata kama propaganda,hii hapa imezidi
 
Urusi ikigundua kuwa sehemu ni muhimu na atapoteza wanajeshi wengi kuichukua basi anachofanya ni kutupia mabomu mazito mengi iwezekanavyo na kulitwaa eneo usika bila pingamizi
Urusi kwa sasa vita vya kumvizia kama kipindi kile ni ngumu kumpata.Sasa ivi Warusi wakifika karibu na mji wanaupiga sana mabomu alafu baada ya hapo drone zinachunguza kuona waliobaki watakuwa wamejificha wapi.
Wakiona kupo fresh wanatuma wanajeshi kazaa na kifaru.ukishambulia tu basi hapo ulipo tegemea kupokea kitu kizito.

Ndo maana Defence ya Uraine imekuwa dhaifu sana kuliko mwanzio wa vita kwa sababu Warusi wanatumia mbinu mpya na silaha za kisasa.mjji kama Ugledar umechukuliwa kiwepesi sana wakati mwanzo Warusi walipata hasara kubwa sana mpaka wakamua kuachana na habari ya kuuteka huo mji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…